Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KILA MWANANCHI ANAWAJIBU WA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI-BALOZI ALI IDDI

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe kuzindua mradi wa uchimbaji Visima vya Maji Zanzibar unaofadhiliwa na Mtawala wa RAS Al - Khaimah hpo Chumbuni.  Balozi Seif akishuhudi kasi ya maji inayotoka miongoni mwa Visima 50 vilivyochimbwa maeneo mbali mbali ya Zanzibar hapo Chumbuni ndani ya iliyokuwa zamani studio ya Sauti ya Tanzania Zanzibar.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watendaji watakiwa kutunza vyanzo vya maji

MKUU wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego, amewaagiza watendaji wa vijiji, mitaa na kata kuhakikisha wanatunza na kulinda vyanzo vya maji ikiwemo miundombinu yake ili kuwepo na uhakika wa maji....

 

11 years ago

Michuzi

Wananchi Wilayani Mpanda waaswa kutunza vyanzo vya maji na mazingira

Na Kibada Kibada –Katavi
Wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda wamepewa changamoto kutunza vyanzo vya maji na kuhifadhi  mazingira  kwani kuharibu mazingira kunapelekea kuchangia ukame na kukosekana na maji ambayo  ndiyo uhai wa viumbe na tegemeo la maisha ya wanadamu na wanyama.
Changamoto hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mpanda Kibiriti Yasini wakati akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Milala Kata ya Kabungu kwenye  maandalizi ya wiki ya maji inayotarajiwa kufanyika...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AZINDUA MRADI WA MAJI NA SALAMA KASKAZINI UNGUJA

 Balozi Seif Ali Iddi akizindua Mradi wa Maji safi na salama katika kisiwa cha Tumbatu ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964. Balozi Seif akimtwisha ndoo ya Maji Bibi Miza Ali Haji mara baada ya kuuzindua mradi wa maji safi na salama katika kisiwa cha Tumbatu kiliopo Mkoa wa Kaskazini Unguja.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza na Wananchi wa Kisiwa cha Tumbatu waliohudhuria uzinduzi wa maji safi na...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi aongea na vyombo vya habari leo

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar haitegemei kuona kura ya Maoni ya Katiba Mpya ya Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu unakumbwa na vurugu zinazoweza kuepukwa mapema. Akizungumza na Shirika la Utangazaji Tanzania { TBC } mapema wiki hii Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba vyombo vya Dola vitakuwa makini muda wote kabla na baada ya matukio hayo mawili katika...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi azindua rasmi kitabu cha Historia ya Vyombo vya Habari Zanzibar

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi kitabu cha Historia ya Vyombo vya Habari Zanzibar hapo katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Bweach Resort Mbweni nje kidogo ya mji wa Zanzibar. Anayemsaidia kufungua ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania { MCT } Kajubi Mukanjanga na kulia ya balozi ni Mkuu wa Mkoa Mjini Maghribi Mh. Abdulla Mwinyi.  Balozi Seif akinyanyua kopi ya vitabu viwili vinavyoelezea Historia ya Vyombo vya Hbari Tanzania kulia yake ...

 

9 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akizawdia vifaa vya michezo Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki

Mwenyekiti wa Mtandao wa Afya na Elimu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki Bibi Kokushubila Kairuk alisema kitendo cha baadhi ya Viongozi na washirika wa maendeleo kuendelea kuunga mkono Taasisi za Umma za zile binafsi huleta faraja katika Jamii.Bibi Kokushubila alieleza hayo wakati akipokea msaada wa vifaa vya michezo vilivyotolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hapo Ofisini kwake Mtaa wa Mikocheni Mjini Dar es salaam. Vifaa hivyo vikiwa ni pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

DC MAKUNGA ATEMBELEA VYANZO VYA MAJI VYA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA)

Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akiongozana na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi(MUWSA) Sharry Raymond wakati akitembelea chanzo cha maji cha Kilimanjaro.
Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Patrick Kibasa akimueleza jambo mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga wakati wa ziara yake ya siku moja kutembelea vyanzo vya maji vya mamlaka hiyo.
DC Makunga akisikiliza kwa makini...

 

9 years ago

StarTV

Uharibifu Vyanzo Vya Maji Mto Zigi vya waweza kusababisha tatizo la maji Tanga

Mamlaka ya majisafi na majitaka Tanga UWASA imesema uharibifu wa mazingira katika vyanzo vya maji vya mto Zigi unaweza kusababisha jiji hilo kuingia kwenye tatizo la maji.

Tayari Mamlaka hiyo imeanzisha Umoja wa Wakulima hifadhi Mazingira Kihuwhi Zigi, UWAMAKIZI kama harakati ya kukabiliana na uchimbaji wa madini, kilimo na ukataji wa miti kwa ajili ya mbao.

Jiji la Tanga hutegemea maji ya mto zigi kama chanzo pekee cha maji na shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya mto huo huenda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani