Sumaye: Wanawake wanawajibika kutunza amani
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema wanawake wanao wajibu wa kudumisha amani na usalama barani Afrika. Sumaye alisema hayo mwishoni mwa wiki ikiwa ni mwendelezo wa uwasilishaji wa mada za...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV01 Oct
Samia awatahadharisha wananchi kutunza amani
Chama cha Mapinduzi CCM kupitia Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais Samia Suluhu amewataka wananchi kulinda na kutunza amani iliyopo katika kipindi hiki cha Kampeni na Uchaguzi nchi nzima ili kuepuka kumwaga damu kama zilivyo nchi nyingine.
Samia ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara ulifanyika sirari,Tarime Mkoani Mara alipokuwa akifanya kampeni za kuomba kura pamoja na kunadi Ilani ya uchaguzi ya Chama hicho.
Mara baada ya viwanja vya kata ya sriar samia alipata nafasi ya kufafanua...
10 years ago
Habarileo07 Dec
Sumaye aasa vijana kulinda amani
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amewataka vijana kote nchini kuwa mstari wa mbele kulinda amani, usalama na utulivu wa nchi katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 na kukemea siasa za chuki kwani mfumo uliopo ni mfumo wa vyama vingi, hivyo kila mmoja anapaswa kumheshimu mwenzake.
11 years ago
Habarileo12 Feb
Sumaye: Uvunjifu wa amani ni hatari kwa nchi
JAMII imehadharishwa dhidi ya uvunjifu wa amani kuwa ni hatari kwa maendeleo ya uchumi wa nchi na watu kwa ujumla. Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye alisema hali ya utulivu ni chachu katika kukuza uchumi.
10 years ago
Mwananchi07 Dec
Sumaye: Tume ya Uchaguzi imeweka amani rehani
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Wabunge wanawajibika kuimarisha elimu majimboni?
11 years ago
BBCSwahili26 Mar
Wanawake wamechangia vipi amani?
11 years ago
BBCSwahili03 Mar
Wanawake waeneza amani DRC
11 years ago
Mtanzania11 Aug
Mama Pinda: Wanawake wote tunataka amani
![Mke wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Tunu-Pinda.jpg)
Mke wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda
NA MWANDISHI WETU, SEOUL
MKE wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda, amesema wanawake wote duniani wanalilia amani na hawapendi vita wala machafuko kwani husababisha amani kutoweka.
Mama Pinda alitoa wito huo jana wakati akitoa mada kama mzungumzaji mkuu kwenye mkutano wa dunia wa siku tano ulioanza Seoul, Korea Kusini jana.
Mkutano huo ambao umeandaliwa na Taasisi ya Universal Peace Federation (UPF) ambayo inatoa ushauri kwenye Baraza...