Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake wamechangia vipi amani?

Shirika la UNEP linazindua ripoti yake hii leo kuhusu mchango wa wanawake katika maeneo ya vita

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wanawake waeneza amani DRC

Zaidi ya wanawake 700 kutoka nchi 77 wanakutana mjini Kinshasa, kujadili mchango wa wanawake katika masuala ya amani,

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumaye: Wanawake wanawajibika kutunza amani

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema wanawake wanao wajibu wa kudumisha amani na usalama barani Afrika. Sumaye alisema hayo mwishoni mwa wiki ikiwa ni mwendelezo wa uwasilishaji wa mada za...

 

11 years ago

Mtanzania

Mama Pinda: Wanawake wote tunataka amani

Mke wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda

Mke wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda

NA MWANDISHI WETU, SEOUL

MKE wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda, amesema wanawake wote duniani wanalilia amani na hawapendi vita wala machafuko kwani husababisha amani kutoweka.

Mama Pinda alitoa wito huo jana wakati akitoa mada kama mzungumzaji mkuu kwenye mkutano wa dunia wa siku tano ulioanza Seoul, Korea Kusini jana.

Mkutano huo ambao umeandaliwa na Taasisi ya Universal Peace Federation (UPF) ambayo inatoa ushauri kwenye Baraza...

 

9 years ago

Vijimambo

Amani na uwezeshaji kiuchumi vitainua wanawake: Pindi Chana


Naibu waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na watoto wa Tanzania Pindi Chana katika mahojiano na Joseph Msami.(Picha:Idhaa ya Kiswahili/video capture)Ulinzi kwa wanawake na uwezeshaji kuchumi ni muhimu katika ustawi wa wanawake amesema Naibu waziri wa  maendeleo ya jamii, jinsia na watoto wa Tanzania Pindi Chana katika mahojiano na Joseph Msami wa idhaa ya Kiswahili ya redio ya Umoja wa Mataifa  muda mfupi baada ya kuhutubia kikao cha baraza la usalama kilichojadili azimio namba 1325 kuhusu...

 

11 years ago

Michuzi

WANAWAKE WOTE DUNIANI TUNALILIA AMANI - MAMA PINDA

MKE WA WAZIRI MKUU, Mama Tunu Pinda amesema wanawake wote duniani wanalilia amani na hawapendi vita wala machafuko kwani husababisha amani kutoweka kwenye familia na vifo vya watu wasio na hatia.
Ametoa wito huo leo mchana (Jumapili, Agosti 10, 2014) wakati akitoa mada kama mzungumzaji mkuu (keynote speaker) kwenye Mkutano wa Dunia wa siku tano ulioanza leo jijini Seoul, Korea Kusini.
Mkutano huo ambao umeandaliwa na taasisi ya Universal Peace Federation (UPF) ambayo inatoa ushauri kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

NI MAFANIKIO KUWA NA ASKARI WANAWAKE KATIKA ULINZI WA AMANI UN - MHE SIMBA

Katika picha hii ya maktaba anaoneka Mhe. Asha-Rose Migiro ( Mb) wakati huo akiwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akiwa na baadhi ya askari wanawake kutoka JWTZ wanaoshiriki katika operesheni ya kulinda amani kupitia Umoja wa Mataifa huko Lebanon. Katika mchango wake, Mhe. Simba pamoja na mafanikio mengine ambayo Tanzania imeyapata katika miaka 20 tangu mkutano wa Beijing ni pamoja na askari wanawake kupata fursa za kushiriki katika operesheni za kulinza amani zinazoratibiwa na Umoja...

 

10 years ago

Vijimambo

NI MAFANIKIO KUWA NA ASKARI WANAWAKE KATIKA ULINZI WA AMANI UN-MHE SIMBA

Mhe. Sophia Simba ( Mb) Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto akizungumza (alhamisi) katika majadiliano ya jumla katikamkutano wa Kamisheni 59 kuhusu Hadhi ya Wanawake. Mhe. Waziri anaongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwamo wajumbe kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.Tanzania ni kati ya nchi 13 zinazoiwakilisha Afrika katika Kamisheni hii inayoundwa na nchi 45.Katika picha hii ya maktaba anaoneka Mhe. Asha-Rose Migiro ( Mb) wakati huo akiwa Naibu Katibu Mkuu wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mkataba wa amani Afghanistan: “Huenda wanawake wasiruhusiwe tena kufanya kazi”

Mazungumzo ya Amani kati ya Marekani na Taliban yanakaribia, Tahera Rezai daktari wa mifugo mwenye umri wa miaka 30, anahofia hatma ya maisha yake.

 

9 years ago

Raia Mwema

Tufanye yote, wimbo wetu uwe amani, amani, amani

Wiki hii Raia Mwema lilifanya mahojiano na mwanasheria mkuu wa serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani

Mwandishi Wetu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani