Mkataba wa amani Afghanistan: “Huenda wanawake wasiruhusiwe tena kufanya kaziâ€
Mazungumzo ya Amani kati ya Marekani na Taliban yanakaribia, Tahera Rezai daktari wa mifugo mwenye umri wa miaka 30, anahofia hatma ya maisha yake.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi03 Oct
11 years ago
BBCSwahili06 Apr
Afghanistan yafanya uchaguzi wa amani
Raia nchini Afghanistan wanasherehekea kile kinachoonekana kama uchaguzi wa urais wa amani licha ya vitisho vya kundi la Taleban.
11 years ago
BBCSwahili04 Feb
Wanawake taabani Afghanistan
Watetezi wa wanawake wamemuasa Rais Hamid Karzai kutotia saini mswada utakaopelekea kuwa vigumu kuwapata na hatia wanaowadhulumu wanawake.
5 years ago
BBCSwahili19 Feb
Mwanamke raia wa Afghanistan aliyefanya mazungumzo ya amani na wanamgambo wa Taliban
Fawzia Koofi alikuwa sehemu ya ujumbe katika awamu tatu na kukutana na wawakilishi wa Taliban mara mbili mjini Moscow na mara moja mjini Doha.
9 years ago
BBCSwahili16 Aug
Mkataba wa amani wa Sudan-K watarajiwa
Viongozi wa Afrika Mashariki wakusanyika Ethiopia kwa mkutano kuhusu mkataba wa amani wa Sudan Kusini
11 years ago
BBCSwahili23 Jan
Sudan.K: Kusaini mkataba wa amani
Pande zinazozozana kwenye mgogoro wa Sudan Kusini zinatarajiwa kutia saini mkataba wa kusitisha vita mjini Addis Ababa Ethiopia
11 years ago
BBCSwahili11 May
Mkataba wa amani waafikiwa Sudan kusini
Mkataba wa usitishaji uhasama kati ya serikali na waasi nchini Sudan kusini waanza kutekelezwa.
11 years ago
BBCSwahili13 Dec
Ni rasmi - Mkataba wa amani DRC na M23
Viongozi wa Maziwa makuu, akiwemo mwenyekiti wao Yoweri Museveni, wameidhinisha mkataba wa amani kati ya M23 na DRC jijini Nairobi
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
Kiir aahidi kutekeleza mkataba wa amani
Akihutubu kupitia runinga ya taifa Kiir amesema amejitolea kufanikisha mkataba wa amani uliotiwa saini mwezi uliopita.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania