Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Afghanistan yafanya uchaguzi wa amani

Raia nchini Afghanistan wanasherehekea kile kinachoonekana kama uchaguzi wa urais wa amani licha ya vitisho vya kundi la Taleban.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

PRESS CLUB ZNZ YAFANYA UCHAGUZI NA KUSISITIZWA MAADILI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

 Katibu Mkuu msaafu wa Jumuiya ya Wandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) Suzan Peter Kundambi katikati akitoa taarifa ya mwaka kwa Wanachama wa Jumuiya hiyo katika mkutano wa Mwaka wa ZPC ulioambatana na uchaguzi. Mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Ekrotanal Mjini Unguja. Wajumbe walioshiriki uchaguzi wa Jumuiya ya Wandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) wakipiga kura kuchagua uongozi mpya katika mkutano wa Mwaka wa Jumuiya hiyo ambao uliambatana na uchaguzi huo ambao uliofanyika ukumbi wa Ekrotanal...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwanamke raia wa Afghanistan aliyefanya mazungumzo ya amani na wanamgambo wa Taliban

Fawzia Koofi alikuwa sehemu ya ujumbe katika awamu tatu na kukutana na wawakilishi wa Taliban mara mbili mjini Moscow na mara moja mjini Doha.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mkataba wa amani Afghanistan: “Huenda wanawake wasiruhusiwe tena kufanya kazi”

Mazungumzo ya Amani kati ya Marekani na Taliban yanakaribia, Tahera Rezai daktari wa mifugo mwenye umri wa miaka 30, anahofia hatma ya maisha yake.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi mkuu wa Afghanistan ni kesho

Mamilioni ya waafghanistan watapiga kura jumamosi kumchagua rais atakayemrithi Hamid Karzai katika uchaguzi mkuu .

 

9 years ago

Michuzi

WADAU WA AMANI MKOA WA SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI JINSI YA KUDUMISHA AMANI KIPINDI CHA UCHAGUZI

Hapa ni katika ukumbi wa Vigirmark Hotel mjini Shinyanga ambako jana Jumanne,Oktoba 20,2015,wadau mbalimbali wa amani mkoani Shinyanga wamekutana kwa ajili ya majadiliano ya ushirikiano wa kudumisha amani katika kipindi cha uchaguzi mkuu 2015.Kikao hicho kimeandaliwa na uongozi wa mkoa wa Shinyanga likiwemo jeshi la polisi kwa kushirikiana na Shirika la Save The Children linalojihusisha na utetezi wa haki za watoto.
Mambo kadha wa kadha yamejadiliwa ikiwemo kuhakikisha ulinzi na usalama wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Guinea Bissau yafanya Uchaguzi wa pili

Taifa la Magharibi mwa afrika ,Guinea Bissau linafanya awamu ya pili ya uchaguzi wa urais hii leo.

 

10 years ago

Vijimambo

CCM NEW YORK YAFANYA UCHAGUZI NA KUPATA VIONGOZI WAO WA TAWI

Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi Bwana Isaac Kibodya akitoa maelezo ya jinsi ya upigaji kura. Tawi la CCM New York lilifuguliwa Miaka mitatu iliyopita lilikuwa alijawahi kufanya uchaguzi na kipindi hicho chote lilikuwa linaongozwa na viongozi wa muda. Sasa Tawi limepata viongozi wake Mwenyekiti ni Seif Akida na viongozi wengi ni katibu mwenezi wa siasa ni Steve Bubelwa, wajumbe ni bwana Magawa Ernest, Mauris Mwingira, Shaban Mseba na Ibrahim Selungwi. Kwa upande wa umoja wa vijana...

 

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Rais-Utumishi yafanya Uchaguzi kumtafuta Mfanyakazi Bora 2015

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu akimtangaza mfanyakazi bora wa ofisi wa mwaka 2015 mara baada ya uchaguzi kufanyika jana katika ofisi hiyo.Mfanyakazi bora wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma wa mwaka 2015 Bw. Francis Sangunaa (kulia) akiwashukuru watumishi baada ya kuchaguliwa katika uchaguzi uliofanyika jana.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

ADC YAFANYA MKUTANO WA HADHARA KUWATAMBULISHA WAGOMBEA WA URAIS KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

 Mgombea urais wa Tanzania  kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC),  Lutasola Yemba (katikati), akimtambulisha kwa wananchi mgombea mwenza Said Miraj (kulia) na mgombea urais wa chama hicho, Zanzibar, Hamad Rashid Hamad  kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Buguruni Sheli Dar es Salaam jana.  Mgombea urais wa Tanzania  kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC),  Lutasola Yemba (katikati), akimtambulisha kwa wananchi mgombea mwenza Said Miraj (kushoto), baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani