Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ofisi ya Rais-Utumishi yafanya Uchaguzi kumtafuta Mfanyakazi Bora 2015

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu akimtangaza mfanyakazi bora wa ofisi wa mwaka 2015 mara baada ya uchaguzi kufanyika jana katika ofisi hiyo.Mfanyakazi bora wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma wa mwaka 2015 Bw. Francis Sangunaa (kulia) akiwashukuru watumishi baada ya kuchaguliwa katika uchaguzi uliofanyika jana.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DK,SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS, UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora  katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha  Julai-Disemba 2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Nd,Yakout Hassan...

 

9 years ago

Michuzi

Mhe. Anjela Kairuki Aanza Kazi rasmi Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Anjella Kairuki (Mb) (wa pili kutoka kushoto) akiwasili ofisini na kulakiwa na watendaji wa ofisi yake mara baada ya kuapishwa. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Bw. Tixon Nzunda. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Anjella Kairuki (Mb) akiweka saini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili rasmi katika ofisi yake leo Jumamosi. Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Utumishi na...

 

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Rais-Utumishi iliposhiriki Maadhimisho Mei mosi 2015 jijini Dar

Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakitoa salamu kwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakiimba wimbo wa mshikamano katika maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi...

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM?: Selemani Jafo – Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora

Jafo Selemani Saidi ndiye Naibu Waziri wa TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora. Wizara hii iko chini ya Ofisi ya Rais katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli.

 

10 years ago

Michuzi

JOPO LA MAJAJI KWA AJILI YA KUMTAFUTA MSHINDI WA TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA JAMII NA UWEZESHAJI YAFANYA ZIARA KATIKA MIGODI YA BULYANHULU NA BUZWAGI

Mkurugenzi Mtendaji wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu Gold Mine Bw. Peter Burger ( wa kwanza kushoto) akizungumza na jopo la majajaji na sekretarieti iliyotembelea mgodi huo kwa ajili ya kumtafuta mshindi wa Tuzo ya Rais ya Huduma za Jamii na Uwezeshaji. Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Ibanza Bw. Dions Kagiye (katikati) akizungumza na baadhi ya majaji waliotembelea shule hiyo inayofadhiliwa na mgodi wa Bulyanhulu Gold Mine kwa ajili ya kuifanyia tathmini. Mmoja wa majaji Dkt....

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI CCM 2015: Profesa Mark Mwandosya: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais

Profesa Mark Mwandosya alizaliwa Desemba 28, 1949 mkoani Mbeya (atafikisha miaka 68 Desemba mwaka huu).

 

9 years ago

Michuzi

BONANZA LA OFISI YA RAIS-UTUMISHI

 Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (wa tatu kutoka kulia) akifanya mazoezi  na Watumishi wa ofisi yake wakati wa Bonanza la Watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi lililofanyika Leaders Club siku ya Jumamosi Septemba 12, 2015. Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakifanya mazoezi ya viungo wakati wa Bonanza la Watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi lililofanyika Leaders Club siku ya Jumamosi Septemba 12, 2015. Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu...

 

9 years ago

Michuzi

Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi

 Baadhi ya Wajumbe wa  Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi wakiwa katika mkutano wa baraza hilo uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Dar es Salaam mapema leo.Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu akifungua mkutano wa  baraza la wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Dar es Salaam mapema leo. Picha na Happy Shayo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani