Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BONANZA LA OFISI YA RAIS-UTUMISHI

 Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (wa tatu kutoka kulia) akifanya mazoezi  na Watumishi wa ofisi yake wakati wa Bonanza la Watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi lililofanyika Leaders Club siku ya Jumamosi Septemba 12, 2015. Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakifanya mazoezi ya viungo wakati wa Bonanza la Watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi lililofanyika Leaders Club siku ya Jumamosi Septemba 12, 2015. Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi

 Baadhi ya Wajumbe wa  Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi wakiwa katika mkutano wa baraza hilo uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Dar es Salaam mapema leo.Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu akifungua mkutano wa  baraza la wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Dar es Salaam mapema leo. Picha na Happy Shayo

 

9 years ago

Michuzi

Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi lafanyika

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu akifungua mkutano wa  baraza la wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Dar es Salaam mapema leo.Baadhi ya Wajumbe wa  Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi wakiwa katika mkutano wa baraza hilo uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Dar es Salaam mapema leo. 

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MABADILIKO YA ANUANI YA OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma inapenda kuwafahamisha wadau wake kuwa anuani yake imebadilika hivyo kuanzia sasa mawasiliano yafanyike kwa kutumia anuani ifuatayo;
OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA UTUMISHI HOUSE 8 BARABARA YA KIVUKONI 11404 DAR ES SALAAM au PRESIDENT’S OFFICE, PUBLIC SERVICE MANAGEMENT UTUMISHI HOUSE 8 KIVUKONI ROAD 11404 DAR ES SALAAM
Anuani hii inachukua nafasi ya Sanduku la Posta 2483, Dar es salaam. Hivyo, mawasiliano yote yazingatie...

 

9 years ago

Michuzi

Viongozi wateule wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakutana na Watumishi wote

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais- Utumishi Bw. HAB Mkwizu akizungumza na na watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi katika hafla iliyowakutanisha watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi. Naibu Katibu Mkuu Bw. Tixon Nzunda (aliyesimama) akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi katika hafla fupi, iliyowakutanisha watumishi wote, wa kwanza kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Bw. HAB Mkwizu.Mkurugenzi wa Idara ya Utawala katika Utumishi wa Umma, Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Nyakimura M. Muhoji...

 

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Rais-Utumishi yafanya Uchaguzi kumtafuta Mfanyakazi Bora 2015

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu akimtangaza mfanyakazi bora wa ofisi wa mwaka 2015 mara baada ya uchaguzi kufanyika jana katika ofisi hiyo.Mfanyakazi bora wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma wa mwaka 2015 Bw. Francis Sangunaa (kulia) akiwashukuru watumishi baada ya kuchaguliwa katika uchaguzi uliofanyika jana.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

WATAALAM WA KUJITOLEA WA KIJAPANI WAKUTANA NA KATIBU MKUU OFISI YA RAIS - UTUMISHI

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi (katika kiti kikubwa) akiongea na wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japani waliomtembelea ofisini kwake kujitambulisha. Wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japani wakipiga makofi kumshukuru Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi mara baada ya kuwakaribisha nchini kufanya kazi sekta mbalimbali. Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. ...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AZUNGUMZAA UONGOZI WA OFISI YA RAIS,KAZI NA UTUMISHI WA UMMA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais,Kazi na Utumishi wa Umma katika mkutano wa utekelezaji mpango kazi wa robo tatu ya mwaka Julai-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

 

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Rais-Utumishi iliposhiriki Maadhimisho Mei mosi 2015 jijini Dar

Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakitoa salamu kwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakiimba wimbo wa mshikamano katika maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani