Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT. SHEIN AZUNGUMZAA UONGOZI WA OFISI YA RAIS,KAZI NA UTUMISHI WA UMMA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais,Kazi na Utumishi wa Umma katika mkutano wa utekelezaji mpango kazi wa robo tatu ya mwaka Julai-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DK,SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS, UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora  katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha  Julai-Disemba 2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Nd,Yakout Hassan...

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YAKUTANISHA WADAU KUTOA MAONI KUHUSU MIKATABA YA UTENDAJI KAZI KATIKA TAASISI ZA UMMA

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi akifungua mkutano wa wadau kuhusu Mikataba ya Utendaji Kazi katika Taasisi za Umma katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Mkutano huo uliandaliwa mahsusi ili wadau waweze kufahamu mambo muhimu juu ya Mfumo wa Mikataba ya Utendaji Kazi hususan chimbuko, maana na faida zake, mambo ya msingi yatakayofanikisha utekelezaji wa mfumo huo, fomu ya mkataba wa utendaji kazi na vipengele vyake, vigezo vya upimaji...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS IKULU

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi  na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la ...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ



 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ,  uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,  wakati wakiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi.Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee  na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KAZI UWEZESHAJI WAZEE WANAWAKE NA WATOTO


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar, katika mkutano wa uwasilishaji taarifa ya Utekelezaji Mpango Kazi wa Wizara hiyo kwa kipindi cha mwezi  wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar..(kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MABADILIKO YA ANUANI YA OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma inapenda kuwafahamisha wadau wake kuwa anuani yake imebadilika hivyo kuanzia sasa mawasiliano yafanyike kwa kutumia anuani ifuatayo;
OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA UTUMISHI HOUSE 8 BARABARA YA KIVUKONI 11404 DAR ES SALAAM au PRESIDENT’S OFFICE, PUBLIC SERVICE MANAGEMENT UTUMISHI HOUSE 8 KIVUKONI ROAD 11404 DAR ES SALAAM
Anuani hii inachukua nafasi ya Sanduku la Posta 2483, Dar es salaam. Hivyo, mawasiliano yote yazingatie...

 

9 years ago

Michuzi

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma yaomboleza msiba wa marehemu Celina Kombani


Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma imepata msiba wa kuondokewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani (Mb) aliyefariki tarehe 24 Septemba, 2015 katika Hospitali ya Apollo nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. 
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, marafiki na Serikali kwa ujumla kwa kuondokewa na kiongozi mchapakazi, mwadilifu, mzalendo na aliyekuwa na mapenzi mema na...

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YAWAAGA WATAALAMU 6 WALIOMALIZA MUDA WA KUJITOLEA HAPA NCHINI

 Katibu Mkuu Utumishi Bw. George D. Yambesi akimsikiliza Mwakilishi Mkazi wa JICA Tanzania Bw. Yasunori Onishi (kulia) akielezea kuhusu watalaam wa kujitolea kutoka nchini Japan  walivyofanya kazi hapa nchini katika hafla fupi ya kuwaaga wataalamu hao iliyofanyika ukumbi wa Utumishi mapema leo.  Mtaalamu wa Kujitolea katika fani ya Sayansi na Hesabu  kutoka Japan Bw. Tomotaka Tani akiwasilisha mada kuhusu uzoefu wake hapa nchini, katika hafla fupi ya kuwaaga wataalamu sita waliomaliza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani