RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS IKULU
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziRAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-TemWwfoAqKY/XlQH6QFicyI/AAAAAAALfL4/Ykttwhp5t5gC-lnMHjuxPBW6Jmc2st3kgCLcBGAsYHQ/s72-c/DSC6355AA-1024x599.jpg)
RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR IKULU
![](https://1.bp.blogspot.com/-TemWwfoAqKY/XlQH6QFicyI/AAAAAAALfL4/Ykttwhp5t5gC-lnMHjuxPBW6Jmc2st3kgCLcBGAsYHQ/s640/DSC6355AA-1024x599.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/DSC6357AA-1024x613.jpg)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, katika mkutano wa uwasilishaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Ofisi hiyo kwa kipindi cha mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/DSC6365AA-1024x606.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-qEoiD0sC0WQ/XkbN7OFErTI/AAAAAAALdbM/H8H700epV3EqlV3EoNbPG0YC4PwT6xofwCLcBGAsYHQ/s72-c/8b7d75d3-8935-4a7a-9d21-6f678c552e28.jpg)
RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AHUDHURIA MAZIKO YA MAREHEMU ALI SALIM HAFIDH NA AZUNGUMZA NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA IKULU ZANZIBAR.
![](https://1.bp.blogspot.com/-qEoiD0sC0WQ/XkbN7OFErTI/AAAAAAALdbM/H8H700epV3EqlV3EoNbPG0YC4PwT6xofwCLcBGAsYHQ/s640/8b7d75d3-8935-4a7a-9d21-6f678c552e28.jpg)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ali Salim Hafidh, aliyekuwa Msaidi wa Rais Hutuba , maziko hayo yamefanyika katika makaburi ya family Fuoni Mambosasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/f4aaa3cf-e447-42d0-abfa-d6e575f60f00.jpg)
5 years ago
MichuziRAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-iL7SqP7OdgE/Xkvg4zBjU2I/AAAAAAALd5A/camlm9b4bs0IrK5AHlQtMbLx--LOM3CZACLcBGAsYHQ/s72-c/DSC_94360.jpg)
RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA, MAJI NA NISHATI
![](https://1.bp.blogspot.com/-iL7SqP7OdgE/Xkvg4zBjU2I/AAAAAAALd5A/camlm9b4bs0IrK5AHlQtMbLx--LOM3CZACLcBGAsYHQ/s640/DSC_94360.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-m52vjRM9Qok/Xkvg_YfUEyI/AAAAAAALd5I/V7UyPiGObp8ko8jxnZPO_YE6mjcAgjTfQCLcBGAsYHQ/s640/DSC_94840.jpg)
5 years ago
MichuziRAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI ZANZIBAR
5 years ago
MichuziRAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI SIMBACHAWENE IKULU JIJINI ZANZIBAR
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WcwB0kRI3oc/U1-74yobF8I/AAAAAAAFeB4/I8bb_4wiYI8/s72-c/unnamed+(4).jpg)
UONGOZI WA OFISI YA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR WAZUNGUMZA NA DK. SHEIN, IKULU
![](http://3.bp.blogspot.com/-WcwB0kRI3oc/U1-74yobF8I/AAAAAAAFeB4/I8bb_4wiYI8/s1600/unnamed+(4).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-CKNb2vmkfjs/U1-75HQ-9VI/AAAAAAAFeB8/uZkvxU0iC2M/s1600/unnamed+(5).jpg)
5 years ago
MichuziRAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KAZI UWEZESHAJI WAZEE WANAWAKE NA WATOTO