RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI SIMBACHAWENE IKULU JIJINI ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Mhe. Goerg Simbachawene, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha na kufanya mazunguzo yaliofanyika leo 10-3-2020, katika ukumbi wa Ikulu., baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Mhe. Goerg Simbachawene,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogWAZIRI SIMBACHAWENE AJITAMBULISHA KWA RAIS DK.SHEIN, IKULU JIJINI ZANZIBAR, LEO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Goerge Simbachawene, Ikulu jijini Zanzibar, leo. (Picha na Ikulu, Zanzibar)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-8eC0AlXm19E/Xk_3YK5ZK1I/AAAAAAALevM/rjGyrMUvausn3Tp8Sz4eNr2yDPOOnLT1ACLcBGAsYHQ/s72-c/a1c52346-b866-48f9-a6b7-ba8b65c01f90.jpg)
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC,DKT.TAX IKULU,ZANZIBAR
![](https://1.bp.blogspot.com/-8eC0AlXm19E/Xk_3YK5ZK1I/AAAAAAALevM/rjGyrMUvausn3Tp8Sz4eNr2yDPOOnLT1ACLcBGAsYHQ/s640/a1c52346-b866-48f9-a6b7-ba8b65c01f90.jpg)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar alipofika kuonana na kufanya mazungumzo leo 21-2-2020.(Picha na Ikulu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/06640c7d-a9e9-44de-93bf-11e78c79fed8.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-g1bQiFSh6Hs/XmeYY7y0b3I/AAAAAAALibQ/5RsVZdWeWD8WEDQo7upWwzUFZmcicT0YwCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-1AAA-2-768x512.jpg)
RAIS, DK SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI SIMBACHAWENE, IKULU ZANZIBAR, LEO
![](https://1.bp.blogspot.com/-g1bQiFSh6Hs/XmeYY7y0b3I/AAAAAAALibQ/5RsVZdWeWD8WEDQo7upWwzUFZmcicT0YwCLcBGAsYHQ/s640/PIX-1AAA-2-768x512.jpg)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), wakati alipofika kujitambulisha na kufanya mazungunzo, Ikulu Zanzibar, leo.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/PIX-2AA-5-1024x682.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6lhUS6SgJiI/XmD1_eSTwLI/AAAAAAALhNs/6uznIcNLYZEvDB6w6IGOdNzmQcs1us25gCLcBGAsYHQ/s72-c/DSC7911AAA-768x439.jpg)
5 years ago
CCM BlogRAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA NIGERIA IKULU JIJINI ZANZIBAR, LEO
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-gUZqBZ9-Kpk/Xl1lxRuskfI/AAAAAAALgeQ/pmSkmuDTzcIrc3ttBUarqR-r-B-SP_cfACLcBGAsYHQ/s72-c/DSC7104AA-768x426.jpg)
RAIS SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI ZANZIBAR. IKULU JIJINI ZANZIBAR
![](https://1.bp.blogspot.com/-gUZqBZ9-Kpk/Xl1lxRuskfI/AAAAAAALgeQ/pmSkmuDTzcIrc3ttBUarqR-r-B-SP_cfACLcBGAsYHQ/s640/DSC7104AA-768x426.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/DSC7110AA-1024x567.jpg)
RAIS wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein , akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, wakati wa kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Wizara hiyo kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 , mkutano uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais)...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-qEoiD0sC0WQ/XkbN7OFErTI/AAAAAAALdbM/H8H700epV3EqlV3EoNbPG0YC4PwT6xofwCLcBGAsYHQ/s72-c/8b7d75d3-8935-4a7a-9d21-6f678c552e28.jpg)
RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AHUDHURIA MAZIKO YA MAREHEMU ALI SALIM HAFIDH NA AZUNGUMZA NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA IKULU ZANZIBAR.
![](https://1.bp.blogspot.com/-qEoiD0sC0WQ/XkbN7OFErTI/AAAAAAALdbM/H8H700epV3EqlV3EoNbPG0YC4PwT6xofwCLcBGAsYHQ/s640/8b7d75d3-8935-4a7a-9d21-6f678c552e28.jpg)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ali Salim Hafidh, aliyekuwa Msaidi wa Rais Hutuba , maziko hayo yamefanyika katika makaburi ya family Fuoni Mambosasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/f4aaa3cf-e447-42d0-abfa-d6e575f60f00.jpg)
11 years ago
MichuziRAIS SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI MATHIAS CHIKAWE IKULU ZANZIBAR LEO