Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UONGOZI WA OFISI YA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR WAZUNGUMZA NA DK. SHEIN, IKULU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi wa Robo tatu ya mwaka Julai-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo asubuhi. Baadhi ya maafisa wa idara mbali mbali za Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wakiwa katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi wa Robo tatu ya mwaka Julai-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS IKULU

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi  na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la ...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR IKULU



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, katika mkutano wa uwasilishaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Ofisi hiyo kwa kipindi cha mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini ZanzibarWAZIRI...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AHUDHURIA MAZIKO YA MAREHEMU ALI SALIM HAFIDH NA AZUNGUMZA NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA IKULU ZANZIBAR.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ali Salim Hafidh, aliyekuwa Msaidi wa Rais Hutuba , maziko hayo yamefanyika katika makaburi ya family Fuoni Mambosasa  Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein , (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kulia kwa Rais) Rais Mstaaf wa Zanzibar...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI ZANZIBAR. IKULU JIJINI ZANZIBAR




RAIS wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein , akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, wakati wa kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Wizara hiyo kwa  mwezi wa Julai  hadi Disemba 2019 , mkutano uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais)...

 

11 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk.Shein afanya mazungumzo na Makamo wa Rais India

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa India Mohamed Hamid Ansari wakati walipokuwatana nchini India.
Tanzania na India zimeeleza kuridhishwa na uhusiano na ushirikiano uliopo baina yao na kusisitiza dhamira ya kweli ya kuona kuwa ushirikiano huo unazidi kuimarika kwa manufaa ya Serikali na wananchi wa nchi hizo.
Hayo yamejitokeza leo wakati wa mazungumzo kati ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Michuzi

DK. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA ZANCHICK,IKULU ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Kampuni ya ZANCHICK inayojishuhulisha na biashara ya Kuuza Kuku (Perdue)kutoka Marekani Dk.David Elua akiwa na ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Mjini Unguja jana kwa mazungumzo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Kampuni ya ZANCHICK inayojishuhulisha na biashara ya Kuuza Kuku (Perdue) kutoka Marekani unaoongozwa na ...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME ILIOFANYIKA VIWANJA VYA AFISI KUU YA CCM ZANZIBAR

VIONGOZI wa Madhehemu  (kushoto) Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar. Hafidh Michael na Kiongozi wa Madhehebu ya Hindu Zanzibar. Pramuk  Yoges  wakielekea katika eneo la kaburi la Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, kwa ajili ya  kumuombea dua iliofanyika leo katika kaburi la marehemu viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihudhuria hafla ya dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI IDARA MAALUM ZA SMZ IKULU ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dkt.Ali Mohamed Shein(katikati) akizungumza na Uongozi wa Idara Maalum za SMZ katika mkutano wa utekelezaji mpango kazi wa robo tatu ya mwaka Julai-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo asubuhi. Baadhi ya makamanda wa Idara maalum za SMZ wakimsikiliza Waziri wa Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ,Mhe,Haji Omar Kheri (hayupo pichani) alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji mpango...

 

10 years ago

Vijimambo

Dk.Shein akutana na Uongozi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao siku moja cha Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum na Idara zake mbali mbali wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Haji Omar Kheir (hayupo pichani)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani