Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa Zanzibar Dk.Shein afanya mazungumzo na Makamo wa Rais India

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa India Mohamed Hamid Ansari wakati walipokuwatana nchini India.
Tanzania na India zimeeleza kuridhishwa na uhusiano na ushirikiano uliopo baina yao na kusisitiza dhamira ya kweli ya kuona kuwa ushirikiano huo unazidi kuimarika kwa manufaa ya Serikali na wananchi wa nchi hizo.
Hayo yamejitokeza leo wakati wa mazungumzo kati ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dkt. Shein afanya mazungumzo na Balozi Mdogo wa China


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake Zanzibar Bw. Xie Xiaowu wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake  Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake Zanzibar  Bw. Xie Xiaowu wakati  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa  ajili ya kusalimiana Rais wa...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS, DK SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI SIMBACHAWENE, IKULU ZANZIBAR, LEO



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), wakati alipofika kujitambulisha na kufanya mazungunzo, Ikulu Zanzibar, leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (katikati), akiwa katika picha ya...

 

11 years ago

Michuzi

UONGOZI WA OFISI YA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR WAZUNGUMZA NA DK. SHEIN, IKULU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi wa Robo tatu ya mwaka Julai-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo asubuhi. Baadhi ya maafisa wa idara mbali mbali za Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wakiwa katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi wa Robo tatu ya mwaka Julai-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete afanya Mazungumzo Rasmi na Wziri Mkuu wa India


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Wziri Mkuu wa India Narendra Modi katika ikulu ya New Delhi muda mfupi kabla ya kuanza mazungumo rasmi(official talks) leo asubuhi.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo rasmi(Official talks) na Waziri Mkuu wa India na viongozi wandamizi wa serikali yake katika ikulu ya New Delhi India leo mchana
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi akimsikiliza kwa makini Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa mkutano...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA OFISI YA RAIS,TAWALA ZA MIKOA NA IDARA MAALUM ZA SMZ LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Ungozi wa Ofisi ya Rais tawala za Mikoa na idara Maalum za SMZ katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi wa robo tatu ya mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi. Baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya za Zanzibar pamoja na Maafisa Tawala wakiwa katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi wa robo tatu ya mwaka kutoka...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR DR MOHAMED SHEIN AFANYA UFUNGUZI WA HOTEL YA HYATT ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa Hotel ya Park Hyatt Zanzibar iliyopo Mambo Msiige Mji Mkongwe wa Zanzibar (kulia) Kaimu Waziri wa Fedha na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini (kushoto) Mmiliki wa Hoteli hiyo Sheikh Ali Sayeed AlbawardyRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akifungua pazia kuashiria ufunguzi...

 

11 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar afanya mazungumzo na Balozi Mdogo wa Serikali ya Jamuhuri ya Watu wa China

Balozi Mdogo wa Serikali ya Jamuhuri ya Watu wa China Bwana Xie Yunliang akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Balozi Mdogo wa Serikali ya Jamuhuri ya Watu wa China Bwana Xie Yunlia aliyefika Ofisini kwake kusalimiana naye. Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete afanya Mazungumzo na Rais Kabila wa DRC Dar es Salaam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana, kufanya mazungumzo ya faragha na kisha kuagana na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC wakati Rais huyo aliposimama kwa muda katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam leo mchana na kisha kurejea Kongo.(picha na Freddy Maro)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani