Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma yaomboleza msiba wa marehemu Celina Kombani
![](http://2.bp.blogspot.com/-vZXgrZXtXG4/VgetJWXHjwI/AAAAAAAH7XQ/eeh4924OkKw/s72-c/cc.png)
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma imepata msiba wa kuondokewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani (Mb) aliyefariki tarehe 24 Septemba, 2015 katika Hospitali ya Apollo nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, marafiki na Serikali kwa ujumla kwa kuondokewa na kiongozi mchapakazi, mwadilifu, mzalendo na aliyekuwa na mapenzi mema na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DK. BILAL AONGOZA MAZISHI YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA TUMISHI WA UMMA MAREHEMU CELINA KOMBANI LEO
11 years ago
MichuziOFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YAKUTANISHA WADAU KUTOA MAONI KUHUSU MIKATABA YA UTENDAJI KAZI KATIKA TAASISI ZA UMMA
11 years ago
Michuzi30 Apr
TAARIFA YA MABADILIKO YA ANUANI YA OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA
OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA UTUMISHI HOUSE 8 BARABARA YA KIVUKONI 11404 DAR ES SALAAM au PRESIDENT’S OFFICE, PUBLIC SERVICE MANAGEMENT UTUMISHI HOUSE 8 KIVUKONI ROAD 11404 DAR ES SALAAM
Anuani hii inachukua nafasi ya Sanduku la Posta 2483, Dar es salaam. Hivyo, mawasiliano yote yazingatie...
10 years ago
VijimamboUJUMBE WA TAASISI YA KIJERUMANI YA HANNS SEIDEL FOUNDATION WAITEMBELEA OFISI YA RAIS,MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7O7bbezVtkI/VNJvQAMFcvI/AAAAAAAHBxw/GpZ971lciBA/s72-c/unnamed%2B(41).jpg)
ujumbe wa Taasisi ya Kijerumani ya Hanns Seidel Foundationwatembelea Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma leo.
![](http://3.bp.blogspot.com/-7O7bbezVtkI/VNJvQAMFcvI/AAAAAAAHBxw/GpZ971lciBA/s1600/unnamed%2B(41).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-hwAZX927KBA/VNJvQH-8EPI/AAAAAAAHBx4/2rSEfkFmhFo/s1600/unnamed%2B(42).jpg)
11 years ago
MichuziOFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YAWAAGA WATAALAMU 6 WALIOMALIZA MUDA WA KUJITOLEA HAPA NCHINI
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hITYstu3ZZs/VgaawQi8RFI/AAAAAAAH7So/eSZ6EpsD07E/s72-c/unnamed%2B%252843%2529.jpg)
MWILI WA MAREHEMU CELINA O. KOMBANI WAWASILI DAR ES SALAAM MUDA HUU, WATUMISHI WA OFISI YAKE WAMLILIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-hITYstu3ZZs/VgaawQi8RFI/AAAAAAAH7So/eSZ6EpsD07E/s320/unnamed%2B%252843%2529.jpg)
Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu na watumishi wote wa Ofisi ya Rais-Utumishi wataendelea kukukumbuka daima kwa busara zako na uongozi wako mzuri.-------------------------------------------------------------------Wakati huo huo mwili wa Marehemu Celina O. Kombani umewasili muda huu katika uwanja wa ndege wa kimatifa wa...
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-01-Up8IqjEI/VgkYn-O2kHI/AAAAAAAD_BI/1e4lLIenKUY/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI KUAGA MWILI WA MAREHEMU CELINA KOMBANI, DAR, KUZIKWA KESHO MOROGORO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-01-Up8IqjEI/VgkYn-O2kHI/AAAAAAAD_BI/1e4lLIenKUY/s640/01.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-m_Tn3pSJJtU/VgkYn7E9YiI/AAAAAAAD_BQ/6xUUXwekPEw/s640/03.jpg)