Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge wanawajibika kuimarisha elimu majimboni?

Hali ya elimu katika maeneo mengi nchini siyo nzuri. Kinachosikitisha ni kuwa baadhi ya maeneo hayo yanasimamiwa na wabunge waliojipambanua kwa uhodari na umahiri wao wa kujenga hoja bungeni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wabunge waweka kambi majimboni

>Baada ya kumalizika mkutano wa 18 wa Bunge Jumamosi iliyopita, wabunge wengi wamekimbilia kwenye majimbo yao hatua inayohusishwa na homa ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

10 years ago

CloudsFM

NUSU YA WABUNGE WOTE WACHOKWA MAJIMBONI

KARIBU nusu ya wabunge wa majimbo yote ya uchaguzi nchini, wapo hatarini kuangushwa na wapigakura wao katika katika uchaguzi mkuu wa mwakani, kutokana na kutotekeleza ahadi walizotoa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.
Asilimia 47 ya Watanzania wote, wameweka wazi kutowapigia kura wabunge wao, kutokana na kushindwa kuzitekeleza au kuzitekeleza kwa kiwango kidogo ahadi, walizotoa wa kampeni za uchaguzi.

Ahadi hizo zilihusisha kuboresha barabara, miradi ya maji, kujenga hospitali na zahanati,...

 

9 years ago

Mwananchi

Sugu aongoza orodha wabunge waliovuna kura nyingi majimboni

Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ndiye aliongoza kwa kuchaguliwa na wapigakura wengi kuliko mbunge yeyote kati ya wabunge 257 waliochaguliwa katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu.     

 

10 years ago

Dewji Blog

Baadhi ya wabunge mkoa wa Singida wapumulia mashine kwenye nafasi zao majimboni

6

Mbunge wa jimbo la Manyoni Mashariki Mh. John Chiligati pamoja na Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mh. Mohammed Dewji wakipungia mikono wakazi wa Singida wakati wa mikutano ya chama cha Mapinduzi mkoani humo.

JIMBO LA MKALAMA.

Hili kwa sasa linafananishwa na ‘mzoga’ kwa madai hadi sasa kuna dalili ya watu 12 wanaonyesha dalili la kuliwania jimbo hilo ambalo zamani lilikuwa likijulikana kwa jina la Iramba mashariki.

Mbunge wa sasa Salome Mwambu wa CCM ambaye anamaliza kipindi chake cha...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbinu 10 za kuimarisha sekta ya elimu Tanzania

Hali ya elimu nchini hairidhishi. Matokeo yasiyoridhisha ya wahitimu wa darasa la saba na kidato cha nne katika miaka ya karibuni, yanatosha kuwa kiashiria cha hali mbaya inayoikabili sekta ya elimu.

 

9 years ago

Mwananchi

Mbinu za kuimarisha sekta ya elimu Tanzania

Hali ya elimu nchini hairidhishi. Matokeo yasiyoridhisha ya wahitimu wa darasa la saba na kidato cha nne katika miaka ya hivi karibuni yanatosha kuwa kiashiria cha hali mbaya inayoikabili sekta ya elimu.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kuimarisha elimu ya ufundi miradi mikubwa

NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama amesema serikali inafanya uwekezaji wa elimu ya ufundi kwenye maeneo yenye miradi mikubwa kama gesi, makaa ya mawe na yalipogunduliwa madini ya urani.

 

11 years ago

Michuzi

Muungano wa Tanzania waendelea kuimarisha Ubora wa Elimu ya Juu

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bi. Samia Suluhu Hassan (kulia) akimweleza jambo Afisa Habari Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Jovina Bujulu leo Mjini Dodoma.  
Na Jovina Bujulu-Maelezo, Dodoma Ubora wa elimu ya juu umeendelea kuimarika kwa kiasi kikubwa kutokana na kuwepo kwa Taasisi za muungano kama Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bi. Samia Suluhu Hassan wakati wa mahojiano na Afisa Habari wa Idara...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali na mikakati ya kuimarisha elimu nje ya mfumo rasmi

Pamoja na kusimamia na kusimamia elimu ya mfumo rasmi, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi haijaipa kisogo elimu ya watu wazima na ile ya nje ya mfumo rasmi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani