Sugu aongoza orodha wabunge waliovuna kura nyingi majimboni
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ndiye aliongoza kwa kuchaguliwa na wapigakura wengi kuliko mbunge yeyote kati ya wabunge 257 waliochaguliwa katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu. Â Â Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo505 Nov
Beyonce aongoza orodha ya Forbes ya wanawake kwenye muziki walioingiza fedha nyingi zaidi 2014
10 years ago
Mwananchi01 Sep
Nyota waliovuna fedha nyingi usajili 2014/15
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Sugu ataka wenzake wakae majimboni
MBUNGE wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (CHADEMA), amesema wabunge wanatakiwa kutambua majimboni si sehemu ya kupakimbia na wapaone kuwa ni nyumbani kwao. Alitoa kauli hiyo jana bungeni alipokuwa akizungumza na...
10 years ago
Mwananchi10 Feb
Wabunge waweka kambi majimboni
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Wabunge wanawajibika kuimarisha elimu majimboni?
10 years ago
CloudsFM14 Nov
NUSU YA WABUNGE WOTE WACHOKWA MAJIMBONI
KARIBU nusu ya wabunge wa majimbo yote ya uchaguzi nchini, wapo hatarini kuangushwa na wapigakura wao katika katika uchaguzi mkuu wa mwakani, kutokana na kutotekeleza ahadi walizotoa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.
Asilimia 47 ya Watanzania wote, wameweka wazi kutowapigia kura wabunge wao, kutokana na kushindwa kuzitekeleza au kuzitekeleza kwa kiwango kidogo ahadi, walizotoa wa kampeni za uchaguzi.
Ahadi hizo zilihusisha kuboresha barabara, miradi ya maji, kujenga hospitali na zahanati,...
9 years ago
Bongo510 Sep
Hii ni orodha ya wachezaji 10 wanaolipwa fedha nyingi kwenye EPL
9 years ago
Bongo505 Sep
Orodha ya wachezaji 12 wa tennis duniani walioingiza fedha nyingi mwaka 2015
11 years ago
Bongo505 Aug
Forbes: Orodha ya waigizaji wa kike wa Hollywood waliolipwa pesa nyingi zaidi 2013-2014