Forbes: Orodha ya waigizaji wa kike wa Hollywood waliolipwa pesa nyingi zaidi 2013-2014
Forbes imetoa orodha ya waigizaji wa kike wa Hollywood ambao wamelipwa pesa nyingi zaidi katika kipindi cha kati ya June 2013 na June 2014 kupitia filamu (Hollywood’s Highest Paid Actresses). Miongoni na waigizaji walioingia kwenye Top 10 ni pamoja na Sandra Bullock, Angelina Jolie, Jennifer Lawrence na Cameron Diaz. Hii ni Top 10: 1. Sandra […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo522 Jul
Forbes: Waigizaji wa kiume wa Hollywood wanaolipwa fedha nyingi zaidi 2014
Mtandao wa Forbes umetoa orodha ya waigizaji wa kiume wa Hollywood wanaolipwa fedha nyingi zaidi. Nao ni kama wafuatao: Robert Downey, Jr. Robert Downey, Jr. $75 million Dwayne Johnson ‘The Rock’ $52 million Bradley Cooper $46 million Leonardo DiCaprio $39 million Chris Hemsworth $37 million Liam Neeson $36 million Ben Affleck $35 million Christian Bale […]
10 years ago
Bongo505 Nov
Beyonce aongoza orodha ya Forbes ya wanawake kwenye muziki walioingiza fedha nyingi zaidi 2014
Beyonce ndiye mwanamke kwenye muziki aliyeingiza fedha nyingi zaidi mwaka 2014. Kwa mujibu wa jarida la Forbes, mke huyo wa Jay Z ameingiza dola milioni 115 mwaka huu ikiwa ni zaidi ya nusu ya aliyoingiza mwaka jana. Fedha hizo zimepatikana zaidi kutokana na ziara yake ya muziki duniani na hivyo kumpiku Taylor Swift ambaye mwaka […]
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Wanamichezo waliolipwa fedha nyingi 2014
Wanacheza na kufurahisha mamilioni ya watu duniani, lakini vilevile wanapata fedha nyingi kutokana na matangazo ya kibiashara, tuzo za fedha na ujira.
Wafuatao ni wanamichezo 20 waliolipwa fedha nyingi mwaka 2014 kwa mujibu wa Jarida la Forbes la Marekani:
10 years ago
Bongo525 Aug
MTV VMA 2014: Beyonce azoa tuzo nyingi zaidi, Drake, Eminem, Miley Cyrus pia washinda (orodha kamili)
Beyonce licha ya kupata tuzo ya ‘Michael Jackson Video Vanguard Award, ndiye aliyeshinda tuzo nyingi zaidi katika MTV VMA 2014 zilizofanyika Jumapili (Agosti 24), huko California, Marekani. Bey alishinda tuzo nyingine tatu, ‘Best Collaboration’ na Jay Z, ‘Best Video With a Social Message’ pamoja na ‘Best Cinematography’. Wengine walioshinda ni Drake, Miley Cyrus, Eminem na […]
10 years ago
BBCSwahili06 Aug
Je ni msanii yupi anayelipwa pesa nyingi zaidi ?
Robert Downey Jr awapiku Jackie Chan na Tom Cruise katika orodha ya Forbes ya wasanii waliopokea mshahara mkubwa zaidi
10 years ago
Africanjam.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-xJJ-zEgkCes/VYmR6c45qJI/AAAAAAAACMg/n5TyPxN_kUg/s72-c/Apresentacao-Kaka-Foto-DivulgacaoOrlando-City_LANIMA20140807_0210_25.jpg)
LIST YA WACHEZAJI WANAOLIPWA PESA NYINGI ZAIDI LIGI YA MAREKANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-xJJ-zEgkCes/VYmR6c45qJI/AAAAAAAACMg/n5TyPxN_kUg/s400/Apresentacao-Kaka-Foto-DivulgacaoOrlando-City_LANIMA20140807_0210_25.jpg)
Kwanza kabisa ujue Kaka ndie mchezaji anaelipwa pesa nyingi kuliko wachezaji wote kwenye MLS ambapo yeye anapokea $7.16m (£4.51m) kwa mwaka. Pia anaefuatia sio Lampard wala Gerrad.Clint Dempsey ambae alikua Fulham and Tottenham na sasa anachezea Seattle Sounders, Michael Bradley wa Toronto FC wanalipwa pesa nyingi kuliko wachezaji hawa wa England.
![](http://2.bp.blogspot.com/-RVqc5XtTMr8/VYmRGmXgxtI/AAAAAAAACMQ/mz6cuKwuZIc/s400/2462E86100000578-2895288-image-m-8_1420291496128.jpg)
.
Clint Dempsey analipwa kiasi cha $6.7m (£4.2m) na Michael Bradley analipwa $6.5m (£4.1m).Namba 4 anakaa Steven Gerrard amabe anacheza L.A Galaxy...
10 years ago
Michuzi03 Dec
ORODHA KAMILI YA WANAOWANIA TUZO ZA TASWA 2013/2014
KAMATI ya Kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ilikutana Dar es Salaam jana na kupitia majina ya wanamichezo waliopendekezwa kuwania tuzo hizo. Tuzo itafanyika Desemba 12 mwaka huu ukumbi wa Diamond, Jubilee (VIP), Dar es Salaam, ambapo wanamichezo mbalimbali waliofanya vizuri kati ya Juni 2013 hadi Juni 2014 watakabidhiwa tuzo zao. Ni imani yetu kwamba zaidi ya wanamichezo 40 watakabidhiwa tuzo zao siku hiyo,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania