Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTV VMA 2014: Beyonce azoa tuzo nyingi zaidi, Drake, Eminem, Miley Cyrus pia washinda (orodha kamili)

Beyonce licha ya kupata tuzo ya ‘Michael Jackson Video Vanguard Award, ndiye aliyeshinda tuzo nyingi zaidi katika MTV VMA 2014 zilizofanyika Jumapili (Agosti 24), huko California, Marekani. Bey alishinda tuzo nyingine tatu, ‘Best Collaboration’ na Jay Z, ‘Best Video With a Social Message’ pamoja na ‘Best Cinematography’. Wengine walioshinda ni Drake, Miley Cyrus, Eminem na […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

MTV VMA 2015: Tazama mavazi ya vituko aliyovaa Miley Cyrus (Picha)

Aliyekuwa host wa tuzo za MTV VMA 2015 zilizotolewa usiku wa Jumapili August 30,2015 nchini Marekani, Miley Cyrus ni miongoni mwa mastaa wanaozungumziwa zaidi kutokana na mavazi aliyovaa kwenye tukio hilo. Jionee mwenyewe picha za Miley alivyoonekana kwenye jukwaa la MTV VMA 2015. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram […]

 

10 years ago

Bongo5

MTV VMA 2014: Jay Z na Blue Ivy walipopanda jukwaani kumkabidhi Beyonce tuzo na ‘kiss’ (picha)

Beyonce, Jay Z na binti yao Blue Ivy au waite The Carters, Jumapili (Agosti 24) kwenye tuzo za MTV VMA wameendelea kuthibitisha kuwa ni ‘happy family’ licha ya ripoti mbalimbali ambazo zimeendelea kutolewa kuhusu matatizo ya ndoa yao. Beyonce alishinda tuzo ya ‘Michael Jackson Video Vanguard Award’ kwenye tuzo za MTV VMA 2014. Lakini kubwa […]

 

10 years ago

Bongo5

Beyonce aongoza orodha ya Forbes ya wanawake kwenye muziki walioingiza fedha nyingi zaidi 2014

Beyonce ndiye mwanamke kwenye muziki aliyeingiza fedha nyingi zaidi mwaka 2014. Kwa mujibu wa jarida la Forbes, mke huyo wa Jay Z ameingiza dola milioni 115 mwaka huu ikiwa ni zaidi ya nusu ya aliyoingiza mwaka jana. Fedha hizo zimepatikana zaidi kutokana na ziara yake ya muziki duniani na hivyo kumpiku Taylor Swift ambaye mwaka […]

 

9 years ago

Bongo5

Orodha kamili ya vipengele vyote vya tuzo za MTV EMA 2015

Taylor Swift ndiye msanii anayeongoza kwa nominations nyingi kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 akiwa anawania vipengele 9, akifuatiwa na Justin Bieber mwenye nominations 6. Tuzo hizo zitaoaneshwa Live Jumapili ya October 25 kupitia MTV (DStv channel 130) na MTV Base (DStv channel 322) kutokea Milan, Italy zitakakotolewa. Upigaji kura tayari umefunguliwa kupitia […]

 

9 years ago

Bongo5

MTV EMAs 2015: Justin Bieber anyakua tuzo 5, pata orodha kamili ya washindi

Jumapili ya Oct.25 ulikuwa ni usiku wa furaha zaidi kwa mwimbaji wa Canada, Justin Bieber ambaye ameshinda tuzo 5 kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 zilizofanyika Milan, Italy. Bieber ambaye pia alitumbuiza hit song yake ‘What Do You Mean?’ ameshinda vipengele vya ‘Best Male’, ‘Best Look’, ‘Worldwide Act: North America’, ‘Biggest Fans’ na […]

 

10 years ago

Bongo5

Video: Hutaamini ukubwa wa timu iliyomuandaa Beyonce kwenye MTV VMA

Timu iliyomuandaa Beyonce kwenye performance yake katika tuzo za MTV VMA hivi karibuni si ndogo, ni kma kijiji kizima. Jionee video hii kuona mambo ya nyumba ya jukwaa kabla Beyonce hajapanda jukwaani.

 

10 years ago

Bongo5

Beyonce awa mwanamke aliyetajwa kuwania tuzo za Grammy mara nyingi zaidi

Beyonce amekuwa mwanamke kwenye muziki aliyewahi kutajwa kuwania tuzo nyingi zaidi za Grammy. Kabla ya majina mapya yaliyotajwa Ijumaa, Queen Bey alikuwa analingana na Dolly Parton kwa kuwa na nomination 46 za Grammy. Hata hivyo baada ya album yake Beyoncé kutajwa kuwania ‘Best Urban Contemporary Album’, Beyonce amefikisha nomination 47. Beyonce amewahi kushinda tuzo 17 […]

 

10 years ago

Michuzi

ORODHA KAMILI YA WANAOWANIA TUZO ZA TASWA 2013/2014

 KAMATI ya Kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ilikutana Dar es Salaam jana na kupitia majina ya wanamichezo waliopendekezwa kuwania tuzo hizo. Tuzo itafanyika Desemba 12 mwaka huu ukumbi wa Diamond, Jubilee (VIP), Dar es Salaam, ambapo wanamichezo mbalimbali waliofanya vizuri kati ya Juni 2013 hadi Juni 2014 watakabidhiwa tuzo zao. Ni imani yetu kwamba zaidi ya wanamichezo 40 watakabidhiwa tuzo zao siku hiyo,...

 

11 years ago

Bongo5

Forbes: Orodha ya waigizaji wa kike wa Hollywood waliolipwa pesa nyingi zaidi 2013-2014

Forbes imetoa orodha ya waigizaji wa kike wa Hollywood ambao wamelipwa pesa nyingi zaidi katika kipindi cha kati ya June 2013 na June 2014 kupitia filamu (Hollywood’s Highest Paid Actresses). Miongoni na waigizaji walioingia kwenye Top 10 ni pamoja na Sandra Bullock, Angelina Jolie, Jennifer Lawrence na Cameron Diaz. Hii ni Top 10: 1. Sandra […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani