Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ORODHA KAMILI YA WANAOWANIA TUZO ZA TASWA 2013/2014

 KAMATI ya Kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ilikutana Dar es Salaam jana na kupitia majina ya wanamichezo waliopendekezwa kuwania tuzo hizo. Tuzo itafanyika Desemba 12 mwaka huu ukumbi wa Diamond, Jubilee (VIP), Dar es Salaam, ambapo wanamichezo mbalimbali waliofanya vizuri kati ya Juni 2013 hadi Juni 2014 watakabidhiwa tuzo zao. Ni imani yetu kwamba zaidi ya wanamichezo 40 watakabidhiwa tuzo zao siku hiyo,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Majina ya wanaowania tuzo za TASWA 2013/2014 haya hapa

Mkurugenzi wa Times Fm, Rehure Nyaulawa akisisitiza jambo

Mwenyekiti Kamati ya Tuzo, Bw. Rehure Nyaulawa.

KAMATI ya Kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ilikutana Dar es Salaam jana na kupitia majina ya wanamichezo waliopendekezwa kuwania tuzo hizo.

Tuzo itafanyika Desemba 12 mwaka huu ukumbi wa Diamond, Jubilee (VIP), Dar es Salaam, ambapo wanamichezo mbalimbali waliofanya vizuri kati ya Juni 2013 hadi Juni 2014 watakabidhiwa tuzo zao.

Ni imani yetu kwamba zaidi ya...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUSIMAMIA TUZO ZA TASWA YATOA ORODHA YA WANAMICHEZO WANAOWANIA TUZO HIZO

KAMATI ya Kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ilikutana Dar es Salaam jana na kupitia majina ya wanamichezo waliopendekezwa kuwania tuzo hizo.
Usiku wa Tuzo utafanyika Desemba 12 mwaka huu ukumbi wa Diamond, Jubilee (VIP), Dar es Salaam, ambapo wanamichezo mbalimbali waliofanya vizuri kati ya Juni 2013 hadi Juni 2014 watakabidhiwa tuzo zao.
Ni imani yetu kwamba zaidi ya wanamichezo 40 watakabidhiwa tuzo zao siku...

 

10 years ago

Bongo5

Majina ya wanaowania tuzo za 2015 Grammy Awards yatangazwa, zitatolewa Feb. (orodha kamili)

Majina ya wasanii wanaowania tuzo kubwa za Grammy Awards yametangazwa Ijumaa Dec 5. Pharrell Williams na Ed Sheeran ndio wanaowania vipengele vikubwa vinne kikiwemo cha album bora ya mwaka. Wengine waliotajwa kuwania tuzo hizo ni pamoja na Beyonce, Iggy Azalea, Drake, Nicki Minaj, Chris Brown, Kanye West na wengine. Beyonce pia ametajwa kuwa ndio msanii […]

 

10 years ago

Bongo5

MTV VMA 2014: Beyonce azoa tuzo nyingi zaidi, Drake, Eminem, Miley Cyrus pia washinda (orodha kamili)

Beyonce licha ya kupata tuzo ya ‘Michael Jackson Video Vanguard Award, ndiye aliyeshinda tuzo nyingi zaidi katika MTV VMA 2014 zilizofanyika Jumapili (Agosti 24), huko California, Marekani. Bey alishinda tuzo nyingine tatu, ‘Best Collaboration’ na Jay Z, ‘Best Video With a Social Message’ pamoja na ‘Best Cinematography’. Wengine walioshinda ni Drake, Miley Cyrus, Eminem na […]

 

9 years ago

Bongo5

Orodha ya wanasoka 23 wanaowania tuzo ya Ballon D’or 2015

Shirikisho la soka duniani (FIFA) limetoa orodha ya wachezaji 23 ambao wanaowania tuzo ya mchezaji bora duniani kwa mwaka 2015 (the 2015 Ballon d’Or). Cristiano Ronaldo, Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar Jr ni moja kati ya majina yaliyo tajwa kuwania tuzo hiyo ya mwanasoka bora wa dunia maarufu kama Ballon d’Or kwa mwaka 2015. […]

 

10 years ago

Africanjam.Com

LIST KAMILI YA WANAOWANIA TUZO ZA KTMA 2015

Tweet

MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA- KIUME
1. Mzee Yusuf
2. Christian Bella
3. Diamond Platnumz
4. Ally Kiba


MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA- KIKE
1. Vanessa Mdee
2. Khadija Kopa
3. Isha Mashauzi
4. Shaa
5. Dayna Nyange
MWIMBAJI BORA WA KIUME- BONGO FLEVA
1. Ali Kiba
2. Ben Pol
3. Jux
4. Diamond
5. Belle 9


MWIMBAJI BORA WA KIUME- TAARAB1. Mzee Yussuf
2. Prince Amigo
3. Hassan Vocha
4. Hassan Ally
5. Mussa Kijoti

MWIMBAJI BORA WA KIUME- BENDI
1. Jose Mara
2. Kalala Junior
3. Khalidi Chokoraa
4. Chaz Baba
5....

 

11 years ago

Michuzi

Orodha kamili ya washindi wa Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013

Ankal akimkabidhi Tuzo Mtunzi bora wa mwaka bendi Christian Bella.  Ankal akila selfie na Jose Mara aliyeibuka Mwimbaji Bora wa Bendi wa Kiume Ankal na DJ Bonny Love na mdau wakiwa na mshindi wa Wimbo bora wa Afrika Mashariki  Jose Chameleone aliyeibuka kidedea kwa kibao chake cha "Tubonge" (BOFYA HAPA uusikie).
1.Wimbo bora wenye vionjo vya asili ya Tanzania ilichukuliwa na wimbo wa Bora Mchawi (Dar Bongo Massive). 2.Msanii Bora chipukizi (Young Killer). 3. Wimbo bora wa Zouk...

 

10 years ago

Bongo5

FIFA yatoa orodha ya wachezaji 23 wanaowania Ballon d’Or 2014.

Shirikisho la soka duniani FIFA limetangaza majina ya wachezaji 23 wanaowania tuzo ya FIFA ya Ballon d’Or mwaka 2014. Wachezaji sita wa Ujerumani waliocheza Kombe la dunia wametajwa, na kufanya iwe nchi yenye wawakilishi wengi kwenye orodha hiyo. Wachezaji hao wa Ujerumani ni Philipp Lahm, Mario Gotze, Toni Kroos, Thomas Muller, Manuel Neuer na Bastian […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani