Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Beyonce awa mwanamke aliyetajwa kuwania tuzo za Grammy mara nyingi zaidi

Beyonce amekuwa mwanamke kwenye muziki aliyewahi kutajwa kuwania tuzo nyingi zaidi za Grammy. Kabla ya majina mapya yaliyotajwa Ijumaa, Queen Bey alikuwa analingana na Dolly Parton kwa kuwa na nomination 46 za Grammy. Hata hivyo baada ya album yake Beyoncé kutajwa kuwania ‘Best Urban Contemporary Album’, Beyonce amefikisha nomination 47. Beyonce amewahi kushinda tuzo 17 […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

MTV VMA 2014: Beyonce azoa tuzo nyingi zaidi, Drake, Eminem, Miley Cyrus pia washinda (orodha kamili)

Beyonce licha ya kupata tuzo ya ‘Michael Jackson Video Vanguard Award, ndiye aliyeshinda tuzo nyingi zaidi katika MTV VMA 2014 zilizofanyika Jumapili (Agosti 24), huko California, Marekani. Bey alishinda tuzo nyingine tatu, ‘Best Collaboration’ na Jay Z, ‘Best Video With a Social Message’ pamoja na ‘Best Cinematography’. Wengine walioshinda ni Drake, Miley Cyrus, Eminem na […]

 

10 years ago

Bongo5

Beyonce aongoza orodha ya Forbes ya wanawake kwenye muziki walioingiza fedha nyingi zaidi 2014

Beyonce ndiye mwanamke kwenye muziki aliyeingiza fedha nyingi zaidi mwaka 2014. Kwa mujibu wa jarida la Forbes, mke huyo wa Jay Z ameingiza dola milioni 115 mwaka huu ikiwa ni zaidi ya nusu ya aliyoingiza mwaka jana. Fedha hizo zimepatikana zaidi kutokana na ziara yake ya muziki duniani na hivyo kumpiku Taylor Swift ambaye mwaka […]

 

9 years ago

Bongo5

Nomination ya Kora Awards yataka kumtoa machozi Wakazi aliyetajwa kuwania ‘Best Hip Hop Act’

wakazi2

Rapa Webiro Wassira maarufu kama Wakazi ni miongoni mwa wasanii watano wa Tanzania waliochaguliwa kuwania tuzo za Kora 2016 zitakazotolewa mwakani nchini Namibia.

wakazi2

Wakazi anawania kipengele cha ‘Best Hip Hop Act’ akichuana na wakali wengine wa Afrika akiwemo K.O wa Afrika Kusini na Sarkodie wa Ghana.

Baada ya nomination za Kora kutangazwa jana Dec 3, Wakazi alieleza furaha yake na mshituko alioupata baada ya kupokea taarifa ya kuchaguliwa kuwania tuzo hizo za kimataifa.

Katika ujumbe...

 

10 years ago

BBCSwahili

Casillas kuwania tuzo ya kipa bora zaidi

Kipa wa Real Madrid na Uhispania Iker Casillas ameorodheshwa kuwania tuzo ya FIFA ya kipa bora zaidi duniani licha ya mchezo wake duni

 

5 years ago

BBCSwahili

Mona Lisa: Kwa nini mwanamke huyu anajulikana kwa 'kupigwa busu' nyingi zaidi duniani

Wakati fulani katika karne ya 19, mwili wa msichana mdogo ambaye alikuwa amekufa maji uliokolewa katika mto Seine.

 

10 years ago

Bongo5

Peter Msechu aelezea furaha aliyoipata baada ya kutajwa kuwania tuzo (AFRIMA) kwa mara ya kwanza, ‘leo siogi’…!

Mwimbaji Peter Msechu ameelezea furaha yake baada ya kutajwa kuwania tuzo za kimataifa za ‘All African Music Awards’ 2014 (AFRIMA) za Nigeria (Ingia hapa), ambazo majina ya wanaoshindanishwa yalitangazwa wiki iliyopita. Msechu ambaye ametajwa kuwania tuzo hizo pamoja na Diamond na Vanessa Mdee, amesema kuwa ameweka rekodi katika historia yake ya muziki kwa kuwa hajawahi […]

 

10 years ago

GPL

ORODHA YA WASHINDI WA TUZO ZA GRAMMY

Tuzo za 57 za Grammy zimafanyika Los Angeles usiku wa kuamkia leo iliyopita na wasanii kama Kendrick Lamar alishinda tofauti na mwaka jana ambapo hakuambulia kitu.

Kendrick ameshinda tuzo mbili zikiwa ni Best Rap Song na Best Rap Performance kwa wimbo wake wa “i,”. Beyonce ameshnda tuzo tatu ikiwa ni Best Surround Sound Album na Best R&B Song kupitia “Drunk In Love” ft Jay Z.
Beyoncé akiwa na...

 

9 years ago

Bongo5

ALikiba: Mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo na muziki wangu una thamani zaidi ya tuzo

king kiba3

Alikiba ameweka wazi jinsi anavyozichukulia tuzo kwenye kazi yake ya muziki, na kama zinamuongezea thamani yoyote yeye kama msanii.

king kiba3

Mwimbaji huyo wa ‘Mwana’ ambaye amekuwa haendi kwenye tuzo nyingi zikiwemo hata zile ambazo anaibuka kuwa mshindi, ametaja sababu za kwanini huwa haudhurii.

“Nimegundua kwamba mimi ni mwanamuziki ambaye si focus sana kwenye tuzo japokuwa ndio moja ya sifa” Alikiba ameiambia AYO TV. “lakini kiukweli muziki wangu una thamani kubwa na mimi ni mkubwa zaidi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani