ALikiba: Mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo na muziki wangu una thamani zaidi ya tuzo
Alikiba ameweka wazi jinsi anavyozichukulia tuzo kwenye kazi yake ya muziki, na kama zinamuongezea thamani yoyote yeye kama msanii.
Mwimbaji huyo wa ‘Mwana’ ambaye amekuwa haendi kwenye tuzo nyingi zikiwemo hata zile ambazo anaibuka kuwa mshindi, ametaja sababu za kwanini huwa haudhurii.
“Nimegundua kwamba mimi ni mwanamuziki ambaye si focus sana kwenye tuzo japokuwa ndio moja ya sifa” Alikiba ameiambia AYO TV. “lakini kiukweli muziki wangu una thamani kubwa na mimi ni mkubwa zaidi ya...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo508 Dec
Muziki wangu utapata thamani zaidi nikifa – Q-Chief
![Chilla](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Chilla-300x194.jpg)
Mkali wa ‘For You’, Q-Chief, amesema kuwa hata kama akifa leo muziki wake utapanda thamani mara dufu kutokana na nyimbo zake kuwa nzuri.
Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, kuwa uwezo wake wa kutunga nyimbo za kuishi muda mrefu utawafanya wanae waishi maisha mazuri baadaye.
“Mimi sikupiga muziki ambao ni bubble gum, mimi nimepiga muziki unaoishi kuliko maisha yangu. Nikifa leo value yangu inakuwa mara tatu ya mimi kuwa hai, and therefore unaweza hata...
10 years ago
Mtanzania16 Jun
Christian Bella: Kukosa tuzo kutanifanya nitoe muziki mzuri zaidi
NA RHOBI CHACHA
MWANAMUZIKI wa Bolingo, Christian Bella, ameweka wazi kwamba kukosa kwake tuzo hata moja kutampa nguvu ya kuandaa kazi nzuri zaidi ya alizozitoa kwa mwaka jana.
Bella aliongeza kwamba, anajiamini muziki anaofanya unapendwa na wengi, kukosa tuzo hakutamrudisha nyuma bali kutamfanya aongeze nguvu zaidi ya kufanya muziki mzuri.
“Unajua mimi siku zote najijua kama nafanya kazi nzuri na mashabiki wananikubali, ila kukosa tuzo hakunivunji moyo, yaani ni sawa na kunizidishia akili...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-uxDxFNYErVU/Vfrnyv8JmuI/AAAAAAABU9A/83OzSPDIc94/s72-c/unnamed.jpg)
ULIISIKIA HII YA MANJI KUSHINDA SHANI AU TUZO KUBWA ZAIDI, TUZO AMBAYO HUWANIWA NA WATU KAMA DANGOTE
![](http://3.bp.blogspot.com/-uxDxFNYErVU/Vfrnyv8JmuI/AAAAAAABU9A/83OzSPDIc94/s640/unnamed.jpg)
Mwenyekiti wa makampuni ya Quality group, Yusuf Manji ameibuka mshindi wa tuzo maarufu ya Mfanyabiashara Gwiji Duniani.
Manji ambaye ni mwenyekiti wa mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga ameibuka mshindi wa tuzo hiyo na kuwashinda mabosi wengine kama bilionea namba moja Afrika Aliko Dangote.Kwa mujibu wa mtandao wa Business Forum, Mwenyekiti huyo wa amekuwa kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kushinda tuzo hiyo ambayo awali walikuwa wakichukua matajiri wengine wakubwa na maarufu kutoka katika...
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Chilo: Going Bongo inastahili tuzo zaidi
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Casillas kuwania tuzo ya kipa bora zaidi
9 years ago
Bongo Movies12 Nov
Mzee Chilo: Going Bongo Inastahili Tuzo Zaidi
Mwigizaji wa filamu, Chilo ametaja sababu tatu zinazoweza kuifanya filamu ya Going Bongo kushinda tuzo zaidi, ambazo ni maandalizi ya muda mrefu, kuona mbali na waigizaji kutambua kazi yao.
Mwigizaji huyo, ambaye jina lake halisi ni Ahmed Olutu, alisema inawezekana mambo mengine yamo ndani ya maandalizi, lakini kiuhalisia kila jambo linajitegemea, kwa sababu unaweza kuandaa kila kitu lakini waigizaji wakawa hawatambui thamani ya ulichokiandaa na kufanya mzaha katika kazi.
Chilo ni miongoni...
9 years ago
Dewji Blog18 Sep
Mo Dewji anyakua tuzo ya mwaka ya mfanyabiashara anayesaidia zaidi jamii
Mkurugenzi Mtendaji wa CNBC Africa, Roberta Naicker akimkabidhi tuzo ya ‘2015 Philanthropist of the year-East Africa’ Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji katika sherehe zilizofanyika hoteli ya DusitD2 jijini Nairobi.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji akizungumza kwenye hafla ya tuzo za All Africa Business Leaders Awards 2015 (AABLA). Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa CNBC Africa, Roberta...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-VF2_W9sMg6Y/VT5WuRtbvrI/AAAAAAAHTo4/D7Udfc2j7YA/s72-c/IMG_9927.jpg)
NMB YAPATA TUZO KWA KUCHANGIA ZAIDI HUDUMA ZA JAMII
Ushindi huo umetokana na utafiti uliofanywa na Taasisi ya utafiti wa huduma za maendeleo ya jamii - Research Centre for Social Development Services kwa kushirikiana na kampuni mwenza ya konsalt limited imetoa tuzo hiyo kwa NMB baada ya kujiridhisha kuwa ndiyo benki inayoongoza kwa kusaidia...
9 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_9463.jpg)
MO DEWJI ANYAKUA TUZO YA MWAKA YA MFANYABIASHARA ANAYESAIDIA ZAIDI JAMII