Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ULIISIKIA HII YA MANJI KUSHINDA SHANI AU TUZO KUBWA ZAIDI, TUZO AMBAYO HUWANIWA NA WATU KAMA DANGOTE


Mwenyekiti wa makampuni ya Quality group, Yusuf Manji ameibuka mshindi wa tuzo maarufu ya Mfanyabiashara Gwiji Duniani.
Manji ambaye ni mwenyekiti wa mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga ameibuka mshindi wa tuzo hiyo na kuwashinda mabosi wengine kama bilionea namba moja Afrika Aliko Dangote.Kwa mujibu wa mtandao wa Business Forum, Mwenyekiti huyo wa amekuwa kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kushinda tuzo hiyo ambayo awali walikuwa wakichukua matajiri wengine wakubwa na maarufu kutoka katika...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

ALikiba: Mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo na muziki wangu una thamani zaidi ya tuzo

king kiba3

Alikiba ameweka wazi jinsi anavyozichukulia tuzo kwenye kazi yake ya muziki, na kama zinamuongezea thamani yoyote yeye kama msanii.

king kiba3

Mwimbaji huyo wa ‘Mwana’ ambaye amekuwa haendi kwenye tuzo nyingi zikiwemo hata zile ambazo anaibuka kuwa mshindi, ametaja sababu za kwanini huwa haudhurii.

“Nimegundua kwamba mimi ni mwanamuziki ambaye si focus sana kwenye tuzo japokuwa ndio moja ya sifa” Alikiba ameiambia AYO TV. “lakini kiukweli muziki wangu una thamani kubwa na mimi ni mkubwa zaidi ya...

 

9 years ago

Michuzi

MO AMPIKU DANGOTE TUZO YA MFANYABISHARA BORA AFRIKA

Vinara wa biashara Afrika walipewa tuzo mbalimbali za African Business katika picha ya pamoja. Kuanzia kushoto ni Daphne Mashile Nkosi, Strive Masiyiwa, Helen Hai na Mohammed Dewji . hafla ya utoaji wa tuzo hizo ilifanyika hoteli ya Four Seasons Hotel mjini New York.Picha na African Business. Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

GPL

MANJI ANYAKUA TUZO ZA VIONGOZI WA BIASHARA AFRIKA

MWENYEKITI  wa Makampuni ya Quality Group Limited, Yusuph Manji (Pichani) amenyakua tuzo ya kielelezo cha viongozi wa biashara wa Afrika kwa mwaka 2015. Manji ambaye ni Mwenyekiti wa Klabu ya soka ya Yanga, aliwapiku wafanyabiashara wengine wakubwa akiwemo bilionea namba moja Afrika,  Aliko Dangote wa Nigeria, pamoja na wengine wengi. Watanzania wote wanajivunia tuzo hili kwani litawasaidia kupata fursa kubwa za...

 

9 years ago

BBCSwahili

Waafrika waliowahi kushinda tuzo ya Nobel

Kundi la mashirika ya kiraia Tunisia limetunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel. Je, wawajua Waafrika wengine waliowahi kushinda tuzo hiyo kuu?

 

9 years ago

Mwananchi

Manji ashinda tuzo nyingine ya mjasiriamali kijana Afrika

Mfanyabiashara maarufu nchini na Mwenyekiti wa Kampuni ya Quality Group Limited (QGL), Yusuf Manji ameshinda tuzo ya kiongozi mjasiriamali kijana wa Afrika kwa kuchangia ukuaji wa biashara barani humo.

 

9 years ago

Michuzi

YUSUPH MANJI AIBUKA KIDEDEA TUZO ZA VIONGOZI WA BIASHARA AFRIKA


MWENYEKITI  wa Makampuni ya Quality Group Limited, Yusuph Manji (PICHANI) amenyakua tuzo ya kielelezo cha viongozi wa biashara wa Afrika kwa mwaka 2015.
Manji ambaye ni Mwenyekiti wa Klabu ya soka ya Yanga, aliwapiku wafanyabiashara wengine wakubwa akiwemo bilionea namba moja Afrika,  Aliko Dangote. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na uongozi Quality Group, ilisema  tuzo hiyo ilimshtua 'bosi' wao kwani hakutarajia na kwamba itasaidia kuvutia wawekezaji pamoja na kuongeza idadi ya...

 

10 years ago

Bongo5

Mambo mawili ambayo Cassper Nyovest na Diamond walifanana siku ya tuzo za Channel O

Rapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest na Diamond Platnumz ndio walioibuka na ushindi mkubwa kwenye tuzo za Channel O zilizofanyika Jumamosi nchini Afrika Kusini. Wote waliondoka na tuzo tatu. Lakini hilo ni jambo moja tu ambalo wasanii hao walifanana siku hiyo. La pili, wote walitumia tuzo hizo kuwatambulisha wapenzi wao wapya ambao kabla ya hapo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani