Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MANJI ANYAKUA TUZO ZA VIONGOZI WA BIASHARA AFRIKA

MWENYEKITI  wa Makampuni ya Quality Group Limited, Yusuph Manji (Pichani) amenyakua tuzo ya kielelezo cha viongozi wa biashara wa Afrika kwa mwaka 2015. Manji ambaye ni Mwenyekiti wa Klabu ya soka ya Yanga, aliwapiku wafanyabiashara wengine wakubwa akiwemo bilionea namba moja Afrika,  Aliko Dangote wa Nigeria, pamoja na wengine wengi. Watanzania wote wanajivunia tuzo hili kwani litawasaidia kupata fursa kubwa za...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

YUSUPH MANJI AIBUKA KIDEDEA TUZO ZA VIONGOZI WA BIASHARA AFRIKA


MWENYEKITI  wa Makampuni ya Quality Group Limited, Yusuph Manji (PICHANI) amenyakua tuzo ya kielelezo cha viongozi wa biashara wa Afrika kwa mwaka 2015.
Manji ambaye ni Mwenyekiti wa Klabu ya soka ya Yanga, aliwapiku wafanyabiashara wengine wakubwa akiwemo bilionea namba moja Afrika,  Aliko Dangote. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na uongozi Quality Group, ilisema  tuzo hiyo ilimshtua 'bosi' wao kwani hakutarajia na kwamba itasaidia kuvutia wawekezaji pamoja na kuongeza idadi ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Manji ashinda tuzo nyingine ya mjasiriamali kijana Afrika

Mfanyabiashara maarufu nchini na Mwenyekiti wa Kampuni ya Quality Group Limited (QGL), Yusuf Manji ameshinda tuzo ya kiongozi mjasiriamali kijana wa Afrika kwa kuchangia ukuaji wa biashara barani humo.

 

9 years ago

Vijimambo

ULIISIKIA HII YA MANJI KUSHINDA SHANI AU TUZO KUBWA ZAIDI, TUZO AMBAYO HUWANIWA NA WATU KAMA DANGOTE


Mwenyekiti wa makampuni ya Quality group, Yusuf Manji ameibuka mshindi wa tuzo maarufu ya Mfanyabiashara Gwiji Duniani.
Manji ambaye ni mwenyekiti wa mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga ameibuka mshindi wa tuzo hiyo na kuwashinda mabosi wengine kama bilionea namba moja Afrika Aliko Dangote.Kwa mujibu wa mtandao wa Business Forum, Mwenyekiti huyo wa amekuwa kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kushinda tuzo hiyo ambayo awali walikuwa wakichukua matajiri wengine wakubwa na maarufu kutoka katika...

 

11 years ago

BBCSwahili

Lupita Nyong'o anyakua tuzo la Oscar

Mwigizaji mashuhuri kutoka Kenya Lupita Nyong'o amenyakuwa tuzo la Oscars la mwigizaji msaidizi wa kike.

 

10 years ago

Mwananchi

Shelda anyakua Tuzo Mwanamichezo Bora

 Mwanasoka Shelda Boniface amewapiku bondia Francis Cheka na nyota wa Azam, Erasto Nyoni kwa kunyakua Tuzo ya Mwanamichezo Bora wa Mwaka wa Taswa.

 

9 years ago

Michuzi

JK apokea Tuzo ya Utawala Bora ya Baraza la Biashara la Wana-Afrika Mashariki Waishio Marekani

Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mheshimiwa Wilson Masilingi akimkabidhi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo ya Utawala Bora ya Baraza la Biashara la Wana-Afrika Mashariki Waishio Marekani na nchi nyingine (East African Diaspora Business Council Award)  Jumatatu, Septemba 21, 2015 mjini Washington, D.C. Balozi Masilingi ndiye alimwakilisha Dkt. Kikwete katika sherehe ya kukabidhi tuzo hiyo usiku wa Jumapili, Septemba 20 kwenye Hoteli ya Hyatt Regency, Dallas, Jimbo la Texas. Picha na...

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND ANYAKUA TUZO NYINGINE NCHINI NIGERIA

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo nyingine huko Lagos nchini Nigeria kutoka The Future Awards Africa Prize in Entertainment 2014.
Tuzo hiyo ya Diamond ilipokelewa na Meneja wake Salaam na kwenye kipengele cha tuzo hiyo kulikuwa na wakali wengine wakiwemo Panshack au Ice Prince wa Nigeria na Michael Kwesi kutoka nchini Ghana.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond aliandika ujumbe huu: "Thanks God, we have cheated another one on the...

 

9 years ago

Global Publishers

Tshabalala anyakua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Simba SC

DSCF1094-768x403 Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015. Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussein Tshabalala ambapo amepata kura nyingi zaidi zilizopigwa na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka wa Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News. Akikabidhiwa tunzo pamoja na pesa taslim Tsh 500,000/= na Mwanachama na Shabiki wa Simba Mbunge...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mo Dewji anyakua tuzo ya mwaka ya mfanyabiashara anayesaidia zaidi jamii

IMG_9463

 Mkurugenzi Mtendaji wa CNBC Africa, Roberta Naicker akimkabidhi tuzo ya ‘2015 Philanthropist of the year-East Africa’ Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji katika sherehe zilizofanyika hoteli ya DusitD2 jijini Nairobi.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

IMG_9492

Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji akizungumza kwenye hafla ya tuzo za All Africa Business Leaders Awards 2015 (AABLA). Kulia ni  Mkurugenzi Mtendaji wa CNBC Africa, Roberta...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani