Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shelda anyakua Tuzo Mwanamichezo Bora

 Mwanasoka Shelda Boniface amewapiku bondia Francis Cheka na nyota wa Azam, Erasto Nyoni kwa kunyakua Tuzo ya Mwanamichezo Bora wa Mwaka wa Taswa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Tshabalala anyakua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Simba SC

DSCF1094-768x403 Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015. Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussein Tshabalala ambapo amepata kura nyingi zaidi zilizopigwa na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka wa Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News. Akikabidhiwa tunzo pamoja na pesa taslim Tsh 500,000/= na Mwanachama na Shabiki wa Simba Mbunge...

 

9 years ago

MillardAyo

Serena Williams alivyotangazwa mwanamichezo bora wa mwaka 2015…

Serena Williams katangazwa kuwa mwanamichezo bora wa mwaka 2015, katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Pier 60 uliopo New York City, ulihudhuriwa pia na dada yake Venus Williams, mlezi wao ambaye ni kocha wao Oracene Price, Will Smith na wengine.                 Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka […]

The post Serena Williams alivyotangazwa mwanamichezo bora wa mwaka 2015… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Lupita Nyong'o anyakua tuzo la Oscar

Mwigizaji mashuhuri kutoka Kenya Lupita Nyong'o amenyakuwa tuzo la Oscars la mwigizaji msaidizi wa kike.

 

9 years ago

GPL

MANJI ANYAKUA TUZO ZA VIONGOZI WA BIASHARA AFRIKA

MWENYEKITI  wa Makampuni ya Quality Group Limited, Yusuph Manji (Pichani) amenyakua tuzo ya kielelezo cha viongozi wa biashara wa Afrika kwa mwaka 2015. Manji ambaye ni Mwenyekiti wa Klabu ya soka ya Yanga, aliwapiku wafanyabiashara wengine wakubwa akiwemo bilionea namba moja Afrika,  Aliko Dangote wa Nigeria, pamoja na wengine wengi. Watanzania wote wanajivunia tuzo hili kwani litawasaidia kupata fursa kubwa za...

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND ANYAKUA TUZO NYINGINE NCHINI NIGERIA

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo nyingine huko Lagos nchini Nigeria kutoka The Future Awards Africa Prize in Entertainment 2014.
Tuzo hiyo ya Diamond ilipokelewa na Meneja wake Salaam na kwenye kipengele cha tuzo hiyo kulikuwa na wakali wengine wakiwemo Panshack au Ice Prince wa Nigeria na Michael Kwesi kutoka nchini Ghana.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond aliandika ujumbe huu: "Thanks God, we have cheated another one on the...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mo Dewji anyakua tuzo ya mwaka ya mfanyabiashara anayesaidia zaidi jamii

IMG_9463

 Mkurugenzi Mtendaji wa CNBC Africa, Roberta Naicker akimkabidhi tuzo ya ‘2015 Philanthropist of the year-East Africa’ Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji katika sherehe zilizofanyika hoteli ya DusitD2 jijini Nairobi.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

IMG_9492

Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji akizungumza kwenye hafla ya tuzo za All Africa Business Leaders Awards 2015 (AABLA). Kulia ni  Mkurugenzi Mtendaji wa CNBC Africa, Roberta...

 

9 years ago

GPL

MO DEWJI ANYAKUA TUZO YA MWAKA YA MFANYABIASHARA ANAYESAIDIA ZAIDI JAMII‏

Mkurugenzi Mtendaji wa CNBC Africa, Roberta Naicker akimkabidhi tuzo ya '2015 Philanthropist of the year-East Africa' Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji katika sherehe zilizofanyika hoteli ya DusitD2 jijini Nairobi. Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji akizungumza kwenye hafla ya tuzo za All Africa Business Leaders Awards 2015 (AABLA). Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa CNBC...

 

9 years ago

Bongo5

MTV EMAs 2015: Justin Bieber anyakua tuzo 5, pata orodha kamili ya washindi

Jumapili ya Oct.25 ulikuwa ni usiku wa furaha zaidi kwa mwimbaji wa Canada, Justin Bieber ambaye ameshinda tuzo 5 kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 zilizofanyika Milan, Italy. Bieber ambaye pia alitumbuiza hit song yake ‘What Do You Mean?’ ameshinda vipengele vya ‘Best Male’, ‘Best Look’, ‘Worldwide Act: North America’, ‘Biggest Fans’ na […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Diamond Platnumz anyakua ‘3’ tuzo za AFRIMMA 2015, awaacha kwenye mataa Ali Kiba, Davido!

12096534_1001918109830003_2835486665383612207_n

Tayari ‘Icon’ wa Tanzania Diamond Platnum ‘Dangote wa Bongo’ ameweza kuibuka na ushindi wa tuzo tatu katika usiku wa utoaji wa tuzo Africa Muzik Magazine Award ‘AFRIMMA 2015’. Marekani katika mji wa Texas.

(Pichani ni baada ya ushindi huo, Diamond aliweza kuweka picha yake hiyo kupitia mitandao yake yote ya kijamii na kuandika: I realy don’t know What to say  …dha! hata sijui nizungumze nini… 

(Eeh Mungu baba tunakushkuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani