Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTV EMAs 2015: Justin Bieber anyakua tuzo 5, pata orodha kamili ya washindi

Jumapili ya Oct.25 ulikuwa ni usiku wa furaha zaidi kwa mwimbaji wa Canada, Justin Bieber ambaye ameshinda tuzo 5 kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 zilizofanyika Milan, Italy. Bieber ambaye pia alitumbuiza hit song yake ‘What Do You Mean?’ ameshinda vipengele vya ‘Best Male’, ‘Best Look’, ‘Worldwide Act: North America’, ‘Biggest Fans’ na […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Orodha kamili ya vipengele vyote vya tuzo za MTV EMA 2015

Taylor Swift ndiye msanii anayeongoza kwa nominations nyingi kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 akiwa anawania vipengele 9, akifuatiwa na Justin Bieber mwenye nominations 6. Tuzo hizo zitaoaneshwa Live Jumapili ya October 25 kupitia MTV (DStv channel 130) na MTV Base (DStv channel 322) kutokea Milan, Italy zitakakotolewa. Upigaji kura tayari umefunguliwa kupitia […]

 

9 years ago

Bongo5

Washindi wa tuzo za ‘Nigeria Entertainment Awards’ 2015 (Orodha kamili)

Orodha kamili ya washindi wa tuzo za Nigeria Entertainment Awards 2015 (NEA) zilizotolewa Sept 6 New York, Marekani tayari imetolewa. Katika tuzo hizo msanii wa Uganda, Eddy Kenzo ndiye ameshinda kipengele cha ‘African Artist of The Year’ cha wasanii wasiotoka Nigeria ambacho Diamond pia alikuwa nominee. Hii ni orodha kamili ya washindi. Album of the […]

 

10 years ago

Bongo5

Majina ya washindi wa tuzo za Grammy 2015 zilizofanyika Jumapili Feb.8 (Orodha kamili)

Tuzo za 57 za Grammy Awards 2015 zimetolewa Jumapili Feb.8 huko Los Angeles, California nchini Marekani. Beyonce, Pharrell Williams, Eminem, Kendrick Lamar ni miongoni mwa wasanii walioibuka washindi. Beyonce akipokea tuzo Miongoni mwa wasanii waliotumbuiza kwenye tuzo hizo ni pamoja na Rihanna na Kanye West, Pharrell Williams, Beyonce, Mary J Blige. Pharrell baada ya kupokea […]

 

9 years ago

Bongo5

Orodha ya washindi wa MTV Video Music Awards 2015

Tuzo za MTV Video Music Awards 2015 zimetolewa Jumapili Agosti 30, 2015 huko Los Angeles, Marekani. Muimbaji Taylor Swift aliyekuwa anawania vipengele 10 ameongoza kwa kushinda tuzo 4 za ‘Video of the year’ , Best Female Video’ ambayo kawashinda Nicki Minaj na Beyonce. Zingine alizoshinda ni ‘Best Pop Video’ pamoja na ‘Best Collaboration’. Hii ni […]

 

9 years ago

Bongo5

American Music Awards 2015: Orodha kamili ya washindi

amas

Tuzo za za Muziki za Marekani ‘American Music Awards 2015’(AMAs) zimetolewa usiku wa Jumapili (Nov 22) kwenye ukumbi wa Microsoft Theater jijini Los Angeles.

amas

Jennifer Lopez ndiye alikuwa mc wa shughuli hiyo.

Ifuatayo ni orodha ya washindi:

ARTIST OF THE YEAR
• Luke Bryan
• Ariana Grande
• Maroon 5
• Nicki Minaj
• One Direction — WINNER
• Ed Sheeran
• Sam Smith
• Taylor Swift
• Meghan Trainor
• The Weeknd

NEW ARTIST OF THE YEAR PRESENTED BY KOHL’S
• Fetty Wap
• Sam Hunt — WINNER
• Tove...

 

10 years ago

Bongo5

MTV VMA 2014: Beyonce azoa tuzo nyingi zaidi, Drake, Eminem, Miley Cyrus pia washinda (orodha kamili)

Beyonce licha ya kupata tuzo ya ‘Michael Jackson Video Vanguard Award, ndiye aliyeshinda tuzo nyingi zaidi katika MTV VMA 2014 zilizofanyika Jumapili (Agosti 24), huko California, Marekani. Bey alishinda tuzo nyingine tatu, ‘Best Collaboration’ na Jay Z, ‘Best Video With a Social Message’ pamoja na ‘Best Cinematography’. Wengine walioshinda ni Drake, Miley Cyrus, Eminem na […]

 

10 years ago

Bongo5

Orodha ya washindi wa tuzo za Oscars 2015 zilizofanyika Hollywood

Tuzo za 87 za The Academy au The Oscars 2015 zimefanyika usiku wa kuamkia leo the Dolby Theatre huko Hollywood, Los Angeles, Marekani. Hii ni orodha kamili ya ya washindi wa tuzo hizo. Best Picture American Sniper Birdman — WINNER Boyhood The Grand Budapest Hotel The Imitation Game Selma The Theory of Everything Whiplash Actress […]

 

10 years ago

Africanjam.Com

LIST KAMILI YA WASHINDI TUZO ZA KILIMANJARO (KTMA 2015)


Bendi Bora ya Mwaka - FM Academia

Wimbo bora wa kushirikiana/kushirikishwa - MwanaFA ft. Ali Kiba - Kiboko Yangu

Msanii Bora Chipukizi Anayechipukia - Barakah Da Prince

Wimbo bora wenye vionjo vya asili ya Tanzania - Waite - Mrisho Mpoto

Wimbo bora wa Zouk/Rhumba - Ntampata Wapi - Diamond Platnumz

Wimbo bora wa Afro-Pop - Mwana - Ali Kiba

Video ya bora ya muziki ya Mwaka - Mdogo Mdogo - Diamond Platnumz

Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka bendi - Amoroso

Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka Bongo...

 

10 years ago

Vijimambo

JUSTIN BIEBER, DOGO ANAEKULA PATA KUKU WAMETOA MACHO TU


Ni muimbaji, mvaaji wa nguo za ndani zinazobuniwa na calvin klein, ambaye amechukua makaazi ya nyumba ya vyumba sita, vyoo saba huko beverly hills ijulikanayo kama "Salad Spinner" ndio amekodi, lakini huwezi amini malipo anayolipa, dola 59,000 kwa mwezi sawa na Tsh 107,970,000

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani