Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUSTIN BIEBER, DOGO ANAEKULA PATA KUKU WAMETOA MACHO TU


Ni muimbaji, mvaaji wa nguo za ndani zinazobuniwa na calvin klein, ambaye amechukua makaazi ya nyumba ya vyumba sita, vyoo saba huko beverly hills ijulikanayo kama "Salad Spinner" ndio amekodi, lakini huwezi amini malipo anayolipa, dola 59,000 kwa mwezi sawa na Tsh 107,970,000

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

MTV EMAs 2015: Justin Bieber anyakua tuzo 5, pata orodha kamili ya washindi

Jumapili ya Oct.25 ulikuwa ni usiku wa furaha zaidi kwa mwimbaji wa Canada, Justin Bieber ambaye ameshinda tuzo 5 kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 zilizofanyika Milan, Italy. Bieber ambaye pia alitumbuiza hit song yake ‘What Do You Mean?’ ameshinda vipengele vya ‘Best Male’, ‘Best Look’, ‘Worldwide Act: North America’, ‘Biggest Fans’ na […]

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Justin Bieber — What Do You Mean?

Hii ni ngoma mpya ya Justin Bieber iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ‘What Do You Mean’ iliyotoka jana. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Justin Bieber — Sorry

After earning his first No. 1 with “What Do You Mean?” Justin Bieber takes aim at the charts once again with “Sorry,” the second single off his upcoming album Purpose. The breezy mid-tempo, produced by Skrillex (“Where Are Ü Now”), finds the pop heartthrob apologizing for doing wrong in a relationship. Jiunge na Bongo5.com sasa […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Justin Bieber — What Do You Mean

Justin Bieber debuted his short film for “What Do You Mean?” The cinematic clip, directed by Brad Furman, co-stars John Leguizamo and Xenia Deli. Bieber stages a kidnapping for his girlfriend, but it’s all part of an elaborate plan to surprise her. In addition to the suspense, a shirtless Biebs cozies up to his sexy […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Justin Bieber akamatwa na polisi

Mwanamuziki mashuhuri duniani Justin Bieber,amekamatwa na polisi nchini Marekani kwa kosa la kuendesha gari akiwa mlevi.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Justin Bieber — I’ll Show You

justin-bieber-ill-show-youJustin Bieber anazidi kuachia nyimbo mpya za album yake mpya ‘Purpose’ ambayo zimesalia wiki mbili itoke (Nov.13). Mwimbaji huyo kutoka Canada ametoa wimbo uitwao I’ll Show You’ pamoja na video yake. Single hii imekuja siku chache baada ya kuachia ‘Sorry’ pamoja na remix ya wimbo wa Drake ‘Hotline Bling’. Hii ni baadhi ya mistari ya […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Justin Bieber afunguliwa mashtaka

Amekaribishwa kituo cha polisi na umati mkubwa wa wapiga picha za televisheni pamoja na 'unyende' wa mashabiki wake.

 

9 years ago

GPL

JUSTIN BIEBER AUMBUKA JUKWAANI

Mkali wa Ngoma ya What Do You Mean, Justin Bieber. Los Angeles, Marekani. MKALI wa Ngoma ya What Do You Mean, Justin Bieber usiku wa kuamkia leo aliumbuka jukwaani baada ya kutimba na ‘Skate Board’ kisha kuteleza na kumuumiza goti. Tukio hilo lilitokea katika Ukumbi wa Staples Center, Los Angeles Marekani ambapo Bieber alionekana akiingia kwa mbwewe na Skate Board na baada ya kufika jukwaani akateleza na...

 

11 years ago

BBC

VIDEO: Wizkid - Nigeria's 'Justin Bieber'

In the first of a special series about Nigerian musicians, Wizkid talks about being called the country's answer to Justin Bieber.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani