Video: Justin Bieber — I’ll Show You
Justin Bieber anazidi kuachia nyimbo mpya za album yake mpya ‘Purpose’ ambayo zimesalia wiki mbili itoke (Nov.13). Mwimbaji huyo kutoka Canada ametoa wimbo uitwao I’ll Show You’ pamoja na video yake. Single hii imekuja siku chache baada ya kuachia ‘Sorry’ pamoja na remix ya wimbo wa Drake ‘Hotline Bling’. Hii ni baadhi ya mistari ya […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo531 Aug
Video: Justin Bieber — What Do You Mean
Justin Bieber debuted his short film for “What Do You Mean?” The cinematic clip, directed by Brad Furman, co-stars John Leguizamo and Xenia Deli. Bieber stages a kidnapping for his girlfriend, but it’s all part of an elaborate plan to surprise her. In addition to the suspense, a shirtless Biebs cozies up to his sexy […]
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/73778000/jpg/_73778282_wizkid-%26apos%3Bnigeria%26apos%3Bsjustinbieber%26apos%3B.jpg)
VIDEO: Wizkid - Nigeria's 'Justin Bieber'
In the first of a special series about Nigerian musicians, Wizkid talks about being called the country's answer to Justin Bieber.
10 years ago
GPL22 May
9 years ago
Bongo523 Oct
Music: Justin Bieber — Sorry
After earning his first No. 1 with “What Do You Mean?” Justin Bieber takes aim at the charts once again with “Sorry,” the second single off his upcoming album Purpose. The breezy mid-tempo, produced by Skrillex (“Where Are Ü Now”), finds the pop heartthrob apologizing for doing wrong in a relationship. Jiunge na Bongo5.com sasa […]
9 years ago
Bongo529 Aug
New Music: Justin Bieber — What Do You Mean?
Hii ni ngoma mpya ya Justin Bieber iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ‘What Do You Mean’ iliyotoka jana. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
BBCSwahili23 Jan
Justin Bieber akamatwa na polisi
Mwanamuziki mashuhuri duniani Justin Bieber,amekamatwa na polisi nchini Marekani kwa kosa la kuendesha gari akiwa mlevi.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j52o*TELl6H4NjrpMV5ziXgchRA6tu6Rp-UW-rivUkiOILcimEfsos7H8vJ3BW3*2qnjO7L73VQEuJvIjZcCpgFJdnpJyec-/Justin_Bieber.jpg?width=650)
JUSTIN BIEBER AUMBUKA JUKWAANI
Mkali wa Ngoma ya What Do You Mean, Justin Bieber. Los Angeles, Marekani. MKALI wa Ngoma ya What Do You Mean, Justin Bieber usiku wa kuamkia leo aliumbuka jukwaani baada ya kutimba na ‘Skate Board’ kisha kuteleza na kumuumiza goti. Tukio hilo lilitokea katika Ukumbi wa Staples Center, Los Angeles Marekani ambapo Bieber alionekana akiingia kwa mbwewe na Skate Board na baada ya kufika jukwaani akateleza na...
11 years ago
BBCSwahili30 Jan
Justin Bieber afunguliwa mashtaka
Amekaribishwa kituo cha polisi na umati mkubwa wa wapiga picha za televisheni pamoja na 'unyende' wa mashabiki wake.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania