Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waafrika waliowahi kushinda tuzo ya Nobel

Kundi la mashirika ya kiraia Tunisia limetunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel. Je, wawajua Waafrika wengine waliowahi kushinda tuzo hiyo kuu?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Malala apata Tuzo ya Nobel

RAIA wa Pakistan, Malala Yousafzai na wa India, Kailash Satyarthi kwa pamoja leo wametunukiwa Tuzo ya Nishani ya Amani ya Nobel kwa juhudi zao za kupambana na ukandamizaji wa vijana na kutetea haki ya watoto kusoma.

 

9 years ago

Vijimambo

ULIISIKIA HII YA MANJI KUSHINDA SHANI AU TUZO KUBWA ZAIDI, TUZO AMBAYO HUWANIWA NA WATU KAMA DANGOTE


Mwenyekiti wa makampuni ya Quality group, Yusuf Manji ameibuka mshindi wa tuzo maarufu ya Mfanyabiashara Gwiji Duniani.
Manji ambaye ni mwenyekiti wa mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga ameibuka mshindi wa tuzo hiyo na kuwashinda mabosi wengine kama bilionea namba moja Afrika Aliko Dangote.Kwa mujibu wa mtandao wa Business Forum, Mwenyekiti huyo wa amekuwa kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kushinda tuzo hiyo ambayo awali walikuwa wakichukua matajiri wengine wakubwa na maarufu kutoka katika...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mshindi wa tuzo kuu ya Nobel kutangazwa

Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel atatangazwa leo asubuhi, Papa Francis na Angela Merkel wakiwa miongoni mwa wanaopigiwa upatu kushinda.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wapatanishi wa Tunisia wapewa tuzo ya Nobel

Kundi la wapatanishi wa mazungumzo nchini Tunisia limetunukiwa tuzo ya Nobel ya mwaka huu kwa jukumu lao la kufanikisha demokrasia nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Malala ashinda tuzo ya amani ya Nobel

Malala Yousafzai pamoja na mwanaharakati mwingine wa maswala ya watoto India Kailash Satyrathi wameshinda tuzo ya amani ya Nobel.

 

9 years ago

BBCSwahili

Je, ungependa nani atunukiwe tuzo ya Nobel mwaka huu?

Mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel mwaka huu anatarajiwa kutajwa siku ya Ijumaa asubuhi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yampongeza msanii Diamond Platnumz kwa kushinda tuzo ya Kimataifa

DSC_0048

Meneja wa huduma ya Tigo music, Balla Shareeph akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kumpongeza msanii Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ kwa kupata tuzo ya msanii bora wa Afrika za MTV 2015 zilizofanyika mjini Durban, Afrika Kusini, Kampuni ya Tigo ilidhamini tukio hilo jana jijini Dar Es Salaam.

DSC_0105

Msanii Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kumpongeza kushinda tuzo ya msanii bora wa Afrika za MTV 2015 zilizofanyika mjini...

 

9 years ago

Vijimambo

MPIGIE KURA MO DEWJI KUSHINDA TUZO YA HESHIMA BARANI AFRIKA #FAPOY2015

mohammed-dewji_416x416“NINAFURAHA KUKUARIFU KUWA NIMETEULIWA KUWANIA TUZO YA “ FORBES PERSON OF THE YEAR 2015” #FAPOY2015KWA HESHIMA NA TAADHIMA NINAOMBA KURA YAKO; Bonyeza Link hii: [ ttp://t.co/8mPEDbghsB] KUNIPIGIA KURA ILI TUIPEPERUSHE BENDERA YA TANZANIA JUU ZAIDI NA KUIWAKILISHA VYEMA AFRIKA MASHARIKI.”MO DEWJI"I am humbled to be one of the nominees for Forbes Person of the Year and i hope to make Tanzania/East Africa & Africa Proud. Please share with your friends and cast your votes here: http://t.co/8mPEDbghsB...

 

11 years ago

GPL

WEMA AWAJIBU WANAOMPONDA BAADA YA KUSHINDA TUZO YA IJUMAA SEXIEST GIRL

Mrembo Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye' akiwa na tuzo yake baada ya kuibuka Ijumaa Sexiest Girl 2013/14 ndani ya Dar Live. Tangu akabidhiwe tuzo yake ya Ijumaa sexiest girl, Mrembo Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye' tayari inaonekana ameshakutana na negative comments baada ya kushinda hiyo tuzo. Wema Sepetu ameibuka mshindi katika shindano la Ijumaa Sexiest Girls akiwabwaga Lulu, Nelly, Wolper, Jokate.
Wema ametumia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani