Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je, ungependa nani atunukiwe tuzo ya Nobel mwaka huu?

Mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel mwaka huu anatarajiwa kutajwa siku ya Ijumaa asubuhi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Nani na nani kuibuka mshindi wa tuzo za Watu usiku huu leo Mei 22!!

TUZO-ZA-WATU-Logo-black-background

Baada ya wiki kadhaa za mpambano mkali wa kura za tuzo za watu, leo ndio fainali.

Majina matatu yanashindania tuzo kwenye vipengele 13 vya mwaka huu. Majina hayo yameingia baada ya kuvuka michujo miwili migumu. Ni kura za mashabiki peke yake ndio ziliwaingiza kwenye fainali hiyo na mshindi atapatikana kwa kura za wananchi, hakuna kingine.

Washereheshaji kwenye fainali hizo ni Vj Penny na mchekeshaji Dogo Pepe huku muimbaji wa kike anayechipukia kwa kasi Ruby akitarajiwa kutumbuiza.

“Watu...

 

10 years ago

Michuzi

TUZO ZA TASWA KUFANYIKA DESEMBA 12 MWAKA HUU

TUZO za Wanamichezo Bora wa Tanzania zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) zinatarajiwa kufanyika Desemba 12 mwaka huu, huku Kampuni ya Said Salim Bakhresa (SSB) Group Limited ikijitokeza kuwa mdhamini mshiriki wa tuzo hizo kwa kutoa Sh. Milioni 10. Akizungumza na waandishi wa habari katika mgahawa wa City Sports Lounge, Dar es Salaam katika hafla ya kutangaza udhamini huo jana, Meneja Mkuu wa SSB Limited, Said Muhammad Said alisema wameamua kudhamini tuzo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wafahamu washindi wa Tuzo za Swahili Fashion kwa mwaka huu

kiki msuya

Mkurugenzi Msaidizi wa Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Leah Kihimbi akimkabidhi Tuzo mshindi wa kipengele cha Mbunifu Bora wa mwaka wa Swahii Fashio Weeek mwaka huu Kiki Zimba.

Na Mwandishi Wetu

Mbunifu wa mavazi Kiki Zimba ametunukiwa tuzo ya kuwa mbunifu bora wa mavazi kwa mwaka huu iliyotolewa katika onesho la mavazi la Swahili Fashion 2014.

Pia Mwanamitindo wa kimataifa mtanzania aishie Marekani Millen Magese alishinda tuzo ya mtu mwenye mvuto zaidi...

 

10 years ago

CloudsFM

H.BABA: MWAKA HUU TUZO ZANGU ZA KIFAMILIA NIMEONGEZA CATEGORY,ZIPO ZAIDI YA 20.

Mwaka 2013 ndiyo mwaka ambao msanii wa Bongo Fleva,H baba aliamua kuanzisha tuzo zake za kifamilia ambazo alizitoa kwa ajili ya familia yake,ambapo ilikuwa yeye pamoja na Mke wake Flora Mvungi.
Tuzo hizo walizipa jina la Tuzo za Familia,ambapo Flora Mvungi alipata tuzo za Msanii Bora wa filamu kwa mwaka 2014 na H baba akajipa tuzo ya Mtumbuizaji Bora wa mwaka 2014.
Baadhi ya category hizo ni mtumbuizaji bora wa mwaka,msanii bora wa mwaka.

 

10 years ago

Habarileo

Malala apata Tuzo ya Nobel

RAIA wa Pakistan, Malala Yousafzai na wa India, Kailash Satyarthi kwa pamoja leo wametunukiwa Tuzo ya Nishani ya Amani ya Nobel kwa juhudi zao za kupambana na ukandamizaji wa vijana na kutetea haki ya watoto kusoma.

 

9 years ago

BBCSwahili

Waafrika waliowahi kushinda tuzo ya Nobel

Kundi la mashirika ya kiraia Tunisia limetunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel. Je, wawajua Waafrika wengine waliowahi kushinda tuzo hiyo kuu?

 

9 years ago

BBCSwahili

Mshindi wa tuzo kuu ya Nobel kutangazwa

Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel atatangazwa leo asubuhi, Papa Francis na Angela Merkel wakiwa miongoni mwa wanaopigiwa upatu kushinda.

 

10 years ago

BBCSwahili

Malala ashinda tuzo ya amani ya Nobel

Malala Yousafzai pamoja na mwanaharakati mwingine wa maswala ya watoto India Kailash Satyrathi wameshinda tuzo ya amani ya Nobel.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani