Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


H.BABA: MWAKA HUU TUZO ZANGU ZA KIFAMILIA NIMEONGEZA CATEGORY,ZIPO ZAIDI YA 20.

Mwaka 2013 ndiyo mwaka ambao msanii wa Bongo Fleva,H baba aliamua kuanzisha tuzo zake za kifamilia ambazo alizitoa kwa ajili ya familia yake,ambapo ilikuwa yeye pamoja na Mke wake Flora Mvungi.
Tuzo hizo walizipa jina la Tuzo za Familia,ambapo Flora Mvungi alipata tuzo za Msanii Bora wa filamu kwa mwaka 2014 na H baba akajipa tuzo ya Mtumbuizaji Bora wa mwaka 2014.
Baadhi ya category hizo ni mtumbuizaji bora wa mwaka,msanii bora wa mwaka.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

TANROADS Singida yatumia zaidi ya sh 5.1 B kutengeneza barabara zake Julai mwaka jana na februari mwaka huu

DSC07622

Mkuu wa mkoa wa Singida na mwenyekiti wa bodi ya barabara, Dk.Parseko Vicent Kone, akifungua kikao cha bodi ya barabara cha 36 kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa VETA mjini Singida. Kulia (aliyekaa) ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan.

DSC07610

Meneja wa wakala wa barabara mkoa wa Singida (TANROADS), Mhandisi Yustaki Kangole, akitoa ufafanuzi juu ya sheria zinazotawala akiba/hifadhi  ya barabara kwenye kikao cha 36 cha bodi ya barabara mkoa wa Singida.

DSC07617

Mbunge wa jimbo la...

 

10 years ago

Michuzi

TUZO ZA TASWA KUFANYIKA DESEMBA 12 MWAKA HUU

TUZO za Wanamichezo Bora wa Tanzania zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) zinatarajiwa kufanyika Desemba 12 mwaka huu, huku Kampuni ya Said Salim Bakhresa (SSB) Group Limited ikijitokeza kuwa mdhamini mshiriki wa tuzo hizo kwa kutoa Sh. Milioni 10. Akizungumza na waandishi wa habari katika mgahawa wa City Sports Lounge, Dar es Salaam katika hafla ya kutangaza udhamini huo jana, Meneja Mkuu wa SSB Limited, Said Muhammad Said alisema wameamua kudhamini tuzo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Je, ungependa nani atunukiwe tuzo ya Nobel mwaka huu?

Mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel mwaka huu anatarajiwa kutajwa siku ya Ijumaa asubuhi.

 

9 years ago

MillardAyo

Video ya H.Baba alivyozitoa tuzo zake za mwaka 2015… kaongea pia

Usiku wa Dec 20 2015 mastaa wa Bongo H.Baba pamoja na mke wake Flora Mvungi walizitoa tuzo zao za mwaka 2015 kama walivyofanya mwaka uliopita, H Baba amekua akisema tuzo anazozitoa yeye ni tuzo zisizo na upendeleo tofauti na tuzo nyingine ndio maana anaona asawazishe, tazama hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa […]

The post Video ya H.Baba alivyozitoa tuzo zake za mwaka 2015… kaongea pia appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wafahamu washindi wa Tuzo za Swahili Fashion kwa mwaka huu

kiki msuya

Mkurugenzi Msaidizi wa Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Leah Kihimbi akimkabidhi Tuzo mshindi wa kipengele cha Mbunifu Bora wa mwaka wa Swahii Fashio Weeek mwaka huu Kiki Zimba.

Na Mwandishi Wetu

Mbunifu wa mavazi Kiki Zimba ametunukiwa tuzo ya kuwa mbunifu bora wa mavazi kwa mwaka huu iliyotolewa katika onesho la mavazi la Swahili Fashion 2014.

Pia Mwanamitindo wa kimataifa mtanzania aishie Marekani Millen Magese alishinda tuzo ya mtu mwenye mvuto zaidi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mo Dewji anyakua tuzo ya mwaka ya mfanyabiashara anayesaidia zaidi jamii

IMG_9463

 Mkurugenzi Mtendaji wa CNBC Africa, Roberta Naicker akimkabidhi tuzo ya ‘2015 Philanthropist of the year-East Africa’ Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji katika sherehe zilizofanyika hoteli ya DusitD2 jijini Nairobi.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

IMG_9492

Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji akizungumza kwenye hafla ya tuzo za All Africa Business Leaders Awards 2015 (AABLA). Kulia ni  Mkurugenzi Mtendaji wa CNBC Africa, Roberta...

 

9 years ago

GPL

MO DEWJI ANYAKUA TUZO YA MWAKA YA MFANYABIASHARA ANAYESAIDIA ZAIDI JAMII‏

Mkurugenzi Mtendaji wa CNBC Africa, Roberta Naicker akimkabidhi tuzo ya '2015 Philanthropist of the year-East Africa' Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji katika sherehe zilizofanyika hoteli ya DusitD2 jijini Nairobi. Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji akizungumza kwenye hafla ya tuzo za All Africa Business Leaders Awards 2015 (AABLA). Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa CNBC...

 

9 years ago

Bongo5

ALikiba: Mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo na muziki wangu una thamani zaidi ya tuzo

king kiba3

Alikiba ameweka wazi jinsi anavyozichukulia tuzo kwenye kazi yake ya muziki, na kama zinamuongezea thamani yoyote yeye kama msanii.

king kiba3

Mwimbaji huyo wa ‘Mwana’ ambaye amekuwa haendi kwenye tuzo nyingi zikiwemo hata zile ambazo anaibuka kuwa mshindi, ametaja sababu za kwanini huwa haudhurii.

“Nimegundua kwamba mimi ni mwanamuziki ambaye si focus sana kwenye tuzo japokuwa ndio moja ya sifa” Alikiba ameiambia AYO TV. “lakini kiukweli muziki wangu una thamani kubwa na mimi ni mkubwa zaidi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani