Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LIST YA WACHEZAJI WANAOLIPWA PESA NYINGI ZAIDI LIGI YA MAREKANI


Kwanza kabisa ujue Kaka ndie mchezaji anaelipwa pesa nyingi kuliko wachezaji wote kwenye MLS ambapo yeye anapokea $7.16m (£4.51m) kwa mwaka. Pia anaefuatia sio Lampard wala Gerrad.Clint Dempsey ambae alikua Fulham and Tottenham na sasa anachezea Seattle Sounders, Michael Bradley wa Toronto FC wanalipwa pesa nyingi kuliko wachezaji hawa wa England.

.
Clint Dempsey analipwa kiasi cha $6.7m (£4.2m) na Michael Bradley analipwa $6.5m (£4.1m).Namba 4 anakaa Steven Gerrard amabe anacheza L.A Galaxy...

africanjam.com

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Hii ni orodha ya wachezaji 10 wanaolipwa fedha nyingi kwenye EPL

Hii ni orodha ya nyota wanaolipwa mishahara mikubwa kwenye ligi kuu, ya Uingereza. Wayne Rooney analipwa pauni 260,000 kwa wiki Wastani wa mshahara kwa kila mchezaji wa katika ligi hiyo ni pauni 44,000 kwa wiki ambazo ni sawa na pauni milioni 2.29 kwa mwaka lakini vilabu vikubwa hulipa zaidi ya hivyo. Sergio Aguero huchukua pauni […]

 

11 years ago

Bongo5

Forbes: Waigizaji wa kiume wa Hollywood wanaolipwa fedha nyingi zaidi 2014

Mtandao wa Forbes umetoa orodha ya waigizaji wa kiume wa Hollywood wanaolipwa fedha nyingi zaidi. Nao ni kama wafuatao: Robert Downey, Jr. Robert Downey, Jr. $75 million Dwayne Johnson ‘The Rock’ $52 million Bradley Cooper $46 million Leonardo DiCaprio $39 million Chris Hemsworth $37 million Liam Neeson $36 million Ben Affleck $35 million Christian Bale […]

 

9 years ago

MillardAyo

TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa …

Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016 moja kati ya mitandao inayoandika stori za michezo duniani imeandika TOP ya wachezaji bora wakali wa Ligi Kuu Uingereza. Mtandao wa bleacherreport.com umeandika list ya wachezaji 20 wakali wa Ligi Kuu Uingereza kwa mwaka 2015. Hii ndio list ya majina yote 20 mtu wangu. David De […]

The post TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa … appeared first on...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je ni msanii yupi anayelipwa pesa nyingi zaidi ?

Robert Downey Jr awapiku Jackie Chan na Tom Cruise katika orodha ya Forbes ya wasanii waliopokea mshahara mkubwa zaidi

 

11 years ago

Bongo5

Forbes: Orodha ya waigizaji wa kike wa Hollywood waliolipwa pesa nyingi zaidi 2013-2014

Forbes imetoa orodha ya waigizaji wa kike wa Hollywood ambao wamelipwa pesa nyingi zaidi katika kipindi cha kati ya June 2013 na June 2014 kupitia filamu (Hollywood’s Highest Paid Actresses). Miongoni na waigizaji walioingia kwenye Top 10 ni pamoja na Sandra Bullock, Angelina Jolie, Jennifer Lawrence na Cameron Diaz. Hii ni Top 10: 1. Sandra […]

 

10 years ago

Mwananchi

Mabeki wa pembeni wanaolipwa fedha nyingi

Katika timu yoyote ya soka kuna nafasi nyingi wanazocheza wachezaji, wapo mabeki, viungo na washambuliaji. Mabeki ni miongoni mwa nafasi zilizopo kwenye mchezo wa soka.

 

9 years ago

MillardAyo

Fabregas kaongea haya kuhusu wachezaji wenzake wa Chelsea wanaolipwa mishahara mikubwa …

Klabu ya Chelsea ya Uingereza ni miongoni mwa vilabu vinavyolipa mishahara mikubwa wachezaji wake, klabu hiyo ambayo inamilikiwa na bilionea wa kirusi Roman Abromavich imekumbana na wakati mgumu msimu huu, baada ya kupokea jumla ya vipigo 9 katika mechi 16 ilizocheza. Kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho alinukuliwa siku moja nyuma akilaumu wachezaji wake wanamsaliti, ila […]

The post Fabregas kaongea haya kuhusu wachezaji wenzake wa Chelsea wanaolipwa mishahara mikubwa … appeared first on...

 

10 years ago

Mwananchi

Makipa wanaolipwa zaidi: Casillas afunika ulaya

Soka ni mchezo unaopendwa sana ulimwenguni na wachezaji wengi wa mchezo huo kwenye ligi mbalimbali za Ulaya wamekuwa wakivuna fedha nyingi kutoka na mchezo huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani