Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fabregas kaongea haya kuhusu wachezaji wenzake wa Chelsea wanaolipwa mishahara mikubwa …

Klabu ya Chelsea ya Uingereza ni miongoni mwa vilabu vinavyolipa mishahara mikubwa wachezaji wake, klabu hiyo ambayo inamilikiwa na bilionea wa kirusi Roman Abromavich imekumbana na wakati mgumu msimu huu, baada ya kupokea jumla ya vipigo 9 katika mechi 16 ilizocheza. Kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho alinukuliwa siku moja nyuma akilaumu wachezaji wake wanamsaliti, ila […]

The post Fabregas kaongea haya kuhusu wachezaji wenzake wa Chelsea wanaolipwa mishahara mikubwa … appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Fabregas: Wachezaji wacheze sawa na mishahara

Kiungo wa kati wa Chelsea amesema wachezaji wa Chelsea wanaolipwa mishahara mikubwa wanafaa kucheza kama wachezaji nyota.

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Fabregas kuzomewa na mashabiki wa Chelsea, Pedro kaamua kuongea haya ….

December 19 Ligi Kuu Uingereza iliendelea na moja ya mechi zilizochezwa ni ile ya Chelsea dhidi ya Sunderland, mchezo uliomalizika kwa Chelsea kuibuka na ushindi wa goli 3-1. Katika mchezo huo, mashabiki wa Chelsea walionekana kumzomea Fabregas kwa kauli yake aliyoitoa juu ya Diego Costa kuwa anachangia kupata matokeo mabovu kwa timu hiyo. Mshambuliaji Pedro Rodriguez […]

The post Baada ya Fabregas kuzomewa na mashabiki wa Chelsea, Pedro kaamua kuongea haya …. appeared first on...

 

9 years ago

BBCSwahili

Fabregas afoka kuhusu matokeo ya Chelsea

Kiungo wa Chelsea ya Uingereza Cesc Fabregas ameelezea hasira kutokana na matokeo duni ya klabu ya Chelsea msimu huu

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Chelsea kupitia kipindi kigumu, Terry ana haya, Fabregas na Pedro muda wa kupiga self umepatikana …

Klabu ya soka ya Chelsea January 3 ilivunja mwiko wa kutopata matokeo mazuri kwa kuiadhibu klabu ya Crystal Palace kwa jumla ya goli 3-0 katika uwanja wa ugenini. Chelsea ambayo ilikuwa katika wakati mgumu kwa kupoteza mechi nyingi kuliko kawaida yake, wachezaji wameanza kuwa na furaha na matokeo hayo. Nahodha wa klabu hiyo John Terry […]

The post Baada ya Chelsea kupitia kipindi kigumu, Terry ana haya, Fabregas na Pedro muda wa kupiga self umepatikana … appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

Fabregas hajui nini tatizo katika klabu yake Chelsea kuhusu matokeo mabaya

Fabregas

Kiungo Cesc Fabregas wa Chelsea na timu ya taifa ya Hispania ameelezea hasira kutokana na matokeo duni ya klabu ya Chelsea msimu huu kwao umekua mbaya sana na kwamba hajui nini kinaenda vibaya katika kikosi hicho cha kocha Jose Mourinho.

Fabregas

Akiongea kwa uchungu sana na Gazeti la kihispania Marca., Cesc ameonesha kukasirishwa sana na jinsi msimu unavyoenda huku akisema matokeo hayawatendei haki kwani wanacheza vizuri kuliko matokeo wanayopata uwanjani.

”Kwa hakika sifahamu ninikimetusibu msimu...

 

9 years ago

MillardAyo

David Silva kaweka wazi wanachofikiria wachezaji wenzake kuhusu tetesi za Pep Guardiola kujiunga Man City …

Licha ya kuhusishwa kujiunga na kikosi cha Manchester United kocha wa FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola kwa asilimia kubwa anapewa nafasi ya kujiunga na kikosi cha Manchester City, kwani mambo yanatajwa kuwa katika mipango ya mwisho kukamilika. Najua headlines za Pep Guardiola kujiunga na Man City umeshazisikia sana japokuwa hazijathibitishwa rasmi Guardiola atajiunga na klabu […]

The post David Silva kaweka wazi wanachofikiria wachezaji wenzake kuhusu tetesi za Pep Guardiola...

 

10 years ago

Africanjam.Com

LIST YA WACHEZAJI WANAOLIPWA PESA NYINGI ZAIDI LIGI YA MAREKANI


Kwanza kabisa ujue Kaka ndie mchezaji anaelipwa pesa nyingi kuliko wachezaji wote kwenye MLS ambapo yeye anapokea $7.16m (£4.51m) kwa mwaka. Pia anaefuatia sio Lampard wala Gerrad.Clint Dempsey ambae alikua Fulham and Tottenham na sasa anachezea Seattle Sounders, Michael Bradley wa Toronto FC wanalipwa pesa nyingi kuliko wachezaji hawa wa England.

.
Clint Dempsey analipwa kiasi cha $6.7m (£4.2m) na Michael Bradley analipwa $6.5m (£4.1m).Namba 4 anakaa Steven Gerrard amabe anacheza L.A Galaxy...

 

9 years ago

Bongo5

Hii ni orodha ya wachezaji 10 wanaolipwa fedha nyingi kwenye EPL

Hii ni orodha ya nyota wanaolipwa mishahara mikubwa kwenye ligi kuu, ya Uingereza. Wayne Rooney analipwa pauni 260,000 kwa wiki Wastani wa mshahara kwa kila mchezaji wa katika ligi hiyo ni pauni 44,000 kwa wiki ambazo ni sawa na pauni milioni 2.29 kwa mwaka lakini vilabu vikubwa hulipa zaidi ya hivyo. Sergio Aguero huchukua pauni […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Haya ndiyo aliyoyasema Neymar kuhusu kuwepo kwake katika orodha ya wachezaji wanaowania tuzo Za mchezaji bora duniani (Ballon D’or)

neymar-fc-barcelona-2013-2014

Mchezaji wa klabu ya Barcelona, Neymar.

Na Rabi Hume

Staa wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya Barcelona, Neymar Da Silva Santos maarufu kama Neymar mwishoni kwa wiki hii alizungumzia kuhusu kushiriki kwake katika tuzo za mchezaji bora duniani maarufu kama Ballon d’Or zinazotolewa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).

Neymar amesema amekuwa akishiriki katika tuzo hizo lakini si kitu ambacho amekuwa akikipa nafasi katika maisha yake ya soka kutokana na kuwepo kwa wachezaji wengine ambao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani