David Silva kaweka wazi wanachofikiria wachezaji wenzake kuhusu tetesi za Pep Guardiola kujiunga Man City …
Licha ya kuhusishwa kujiunga na kikosi cha Manchester United kocha wa FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola kwa asilimia kubwa anapewa nafasi ya kujiunga na kikosi cha Manchester City, kwani mambo yanatajwa kuwa katika mipango ya mwisho kukamilika. Najua headlines za Pep Guardiola kujiunga na Man City umeshazisikia sana japokuwa hazijathibitishwa rasmi Guardiola atajiunga na klabu […]
The post David Silva kaweka wazi wanachofikiria wachezaji wenzake kuhusu tetesi za Pep Guardiola...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Ni kweli Pep Guardiola kaamua hivi kuhusu Man City? Ujerumani wameandika hivi …
Kocha wa zamani wa klabu ya FC Barcelona ambaye kwa sasa anaitumikia klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola jina lake limekuwa likitumika kupamba headlines tofauti tofauti za magazeti ya michezo barani Ulaya na Afrika, hususani juu ya stori za kocha huyo kuhusishwa kutaka kujiunga na Man City ila Chelsea na Man United […]
The post Ni kweli Pep Guardiola kaamua hivi kuhusu Man City? Ujerumani wameandika hivi … appeared first on TZA_MillardAyo.
5 years ago
Manchester Evening News23 Feb
How Man City squad reacted to Pep Guardiola contract statement
5 years ago
Mirror Online06 Apr
Man City announce Pep Guardiola's mother has died from coronavirus
5 years ago
Liverpool Echo04 Apr
Liverpool thrashed Man City to show Pep Guardiola they were his biggest threat
5 years ago
Bleacher Report20 Feb
Pep Guardiola Warns Barcelona 'Don't Talk Too Loud' About Man City FFP Ban
5 years ago
BBCSwahili26 Feb
Real Madrid v Man City: Kwanini Pep Guardiola huenda akafanya maaajabu katika Ligi ya Mabingwa Ulaya
5 years ago
CNN International20 Feb
Pep Guardiola vows to stay at Manchester City despite Champions League ban
9 years ago
MillardAyo27 Dec
Yalioandikwa Dec 27 kuhusu Van Gaal, Wenger na Pep Guardiola kupigiwa simu na Rais wa PSG
VKama kawaida kila linalonifikia siachi kukujuza, ninazo headlines za stori za soka za Ulaya, ninazo headlines kuhusu maendeleo ya stori za maisha ya Louis van Gaal ndani ya Man United, ninazo stori kuhusu anayetajwa kuwa kocha ghali zaidi duniani Pep Guardiola, bila kusahau headlines za mkali wa Man United Michael Carrick. Haya ndio yalioandikwa leo December 27. […]
The post Yalioandikwa Dec 27 kuhusu Van Gaal, Wenger na Pep Guardiola kupigiwa simu na Rais wa PSG appeared first on...
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Wakati Man United na Chelsea ikiwaza namna ya kupata saini ya Pep Guardiola, kutana na pichaz zake akitalii Kenya …
Kocha wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola December 29 aliingia kwenye headlines baada ya kutua Kenya kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu ya Christimas na mwaka mpya, ujio wake Kenya uliwashangaza wengi kutokana na kuja kimya kimya. Ninazo pichaz za Pep Guardiola akitalii Kenya wakati ambao vilabu vya Chelsea na Man United vikitajwa kwa […]
The post Wakati Man United na Chelsea ikiwaza namna ya kupata saini ya Pep Guardiola, kutana na pichaz zake akitalii Kenya … appeared...