Wabunge waweka kambi majimboni
>Baada ya kumalizika mkutano wa 18 wa Bunge Jumamosi iliyopita, wabunge wengi wamekimbilia kwenye majimbo yao hatua inayohusishwa na homa ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM14 Nov
NUSU YA WABUNGE WOTE WACHOKWA MAJIMBONI
KARIBU nusu ya wabunge wa majimbo yote ya uchaguzi nchini, wapo hatarini kuangushwa na wapigakura wao katika katika uchaguzi mkuu wa mwakani, kutokana na kutotekeleza ahadi walizotoa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.
Asilimia 47 ya Watanzania wote, wameweka wazi kutowapigia kura wabunge wao, kutokana na kushindwa kuzitekeleza au kuzitekeleza kwa kiwango kidogo ahadi, walizotoa wa kampeni za uchaguzi.
Ahadi hizo zilihusisha kuboresha barabara, miradi ya maji, kujenga hospitali na zahanati,...
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Wabunge wanawajibika kuimarisha elimu majimboni?
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/--Qln2nlj_sI/XoMYEv7ufVI/AAAAAAALlqg/XdS6vz9iygIg5fOuYVfCzPEt-4bN-06pQCLcBGAsYHQ/s72-c/Pic-1-aAA-768x512.jpg)
Wabunge Waweka Siasa Pembeni na Kupambana na Corona
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameweka nguvu zao pamoja kupambana na ugonjwa wa Corona na kuweka itikadi zao za kisiasa pembeni.
Akizungumza leo Bungeni jijini Dodoma katika kikao cha kwanza cha Bunge la Bajeti la 2020/21, Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai amewataka wabunge na wadau wengine waweke umbali kati ya mtu na mtu (sociali distance) ili kuepuka maambukizi ya Corona.
Kwa kuzingatia hilo, jumla ya wabunge wasiozidi 150 ndio wanaoruhusiwa...
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Sugu aongoza orodha wabunge waliovuna kura nyingi majimboni
10 years ago
Dewji Blog04 Jan
Baadhi ya wabunge mkoa wa Singida wapumulia mashine kwenye nafasi zao majimboni
Mbunge wa jimbo la Manyoni Mashariki Mh. John Chiligati pamoja na Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mh. Mohammed Dewji wakipungia mikono wakazi wa Singida wakati wa mikutano ya chama cha Mapinduzi mkoani humo.
JIMBO LA MKALAMA.
Hili kwa sasa linafananishwa na ‘mzoga’ kwa madai hadi sasa kuna dalili ya watu 12 wanaonyesha dalili la kuliwania jimbo hilo ambalo zamani lilikuwa likijulikana kwa jina la Iramba mashariki.
Mbunge wa sasa Salome Mwambu wa CCM ambaye anamaliza kipindi chake cha...
10 years ago
Uhuru Newspaper10 Sep
‘Msiwabebe wanaojipitisha majimboni’
NA MWANDISHI WETU, MUFINDI
HALMASHAURI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Mufindi, imewataka viongozi wa matawi na kata kutokubali kuwabeba baadhi ya wanachama walioanza kujipitisha kwenye majimbo, kwa lengo la kujiandaa na uchaguzi mkuu mwakani.
Katibu wa CCM wilayani Mufindi, Miraji Mtaturu, alisema hayo wakati akisoma maazimio ya halmashauri hiyo, iliyokuwa na lengo la kupokea utekelezaji wa ilani ya uchaguzi kwa kipindi cha miezi sita iliyopita.
Alisema ni kosa kikanuni kuanza...
9 years ago
Mwananchi01 Nov
Wanawake 22 waliotikisa majimboni
10 years ago
Mwananchi08 Mar
Moto wawaka majimboni
9 years ago
Habarileo17 Aug
Mtifuano Ukawa wakolea majimboni
SIKU chache baada ya uongozi wa NLD mkoani Mtwara kudai hautambui mpango wa kuachiana majimbo unaohubiriwa na viongozi wakuu wa umoja wa vyama vinne vya upinzani, hali si shwari katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, baada ya Chadema na CUF, kila kimoja kusimamisha mgombea wake jimboni humo.