Baadhi ya wabunge mkoa wa Singida wapumulia mashine kwenye nafasi zao majimboni
Mbunge wa jimbo la Manyoni Mashariki Mh. John Chiligati pamoja na Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mh. Mohammed Dewji wakipungia mikono wakazi wa Singida wakati wa mikutano ya chama cha Mapinduzi mkoani humo.
JIMBO LA MKALAMA.
Hili kwa sasa linafananishwa na ‘mzoga’ kwa madai hadi sasa kuna dalili ya watu 12 wanaonyesha dalili la kuliwania jimbo hilo ambalo zamani lilikuwa likijulikana kwa jina la Iramba mashariki.
Mbunge wa sasa Salome Mwambu wa CCM ambaye anamaliza kipindi chake cha...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper10 Mar
Vigogo wa Escrow wapumulia mashine
*** *** *** *** *** *** *** *** ***
.... Wapumulia mashine
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
LICHA ya kuanza kuhojiwa na Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma na mamlaka zingine za uchunguzi, hali bado ngumu kwa watendaji wa umma waliohusika kwenye kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow. Tangu kuibuliwa kwa...
10 years ago
VijimamboWerema,Maswi,Mboma wapumulia mashine
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) inatarajia kuwahoji Mwanasheria Mkuu (AG), Jaji Frederick...
10 years ago
Habarileo28 Oct
Wabunge Nkasi watetea nafasi zao
WABUNGE wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliomaliza muda wao katika majimbo ya Nkasi Kaskazini na Kusini mkoani Rukwa, wametetea nafasi zao baada ya kuibuka washindi katika uchaguzi.
10 years ago
Michuzi
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KATIKA JESHI LA MAGEREZA KWENYE BAADHI YA MITANDAO YA KIJAMII

Katika siku za hivi karibuni, kumekuwepo na tangazo kuhusu nafasi za ajira katika Jeshi la Magereza linalodaiwa kuwa limetolewa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza na kusambazwa kwenye baadhi ya Mitandao ya kijamii. Umma unajulishwa kuwa taarifa hizo siyo za kweli.
Jeshi la Magereza linapenda kuufahamisha umma kuwa ajira hutolewa na kutangazwa kupitia Vyombo vya Habari pamoja na tovuti ya Jeshi la Magereza ya www.magereza.go.tz
Hivyo, Jeshi la Magereza linawatahadharisha Wananchi wote...
10 years ago
Dewji Blog01 Aug
Mshindi wa nafasi ya ubunge viti maalum CCM mkoa wa Singida, ampongeza msimamizi wa uchaguzi, Dk.Kone

10 years ago
Mwananchi10 Feb
Wabunge waweka kambi majimboni
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Wabunge wanawajibika kuimarisha elimu majimboni?
10 years ago
CloudsFM14 Nov
NUSU YA WABUNGE WOTE WACHOKWA MAJIMBONI
KARIBU nusu ya wabunge wa majimbo yote ya uchaguzi nchini, wapo hatarini kuangushwa na wapigakura wao katika katika uchaguzi mkuu wa mwakani, kutokana na kutotekeleza ahadi walizotoa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.
Asilimia 47 ya Watanzania wote, wameweka wazi kutowapigia kura wabunge wao, kutokana na kushindwa kuzitekeleza au kuzitekeleza kwa kiwango kidogo ahadi, walizotoa wa kampeni za uchaguzi.
Ahadi hizo zilihusisha kuboresha barabara, miradi ya maji, kujenga hospitali na zahanati,...
11 years ago
Dewji Blog11 Sep
Ajali yaua askari Magereza mkoa wa Singida, wengine watatu wafa kwenye matukio tofauti
Askari Magereza Ramadhan Mussa (54) enzi za uhai wake.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
WATU wanne wamefariki dunia Mkoani Singida katika matukio tofauti likiwemo la askari magereza mmoja wa Mkoa wa Singida kufa baada ya kupata ajali mbaya ya gari lake dogo kugongana uso kwa uso na lori usiku.
Kamanda wa polisi Mkoani hapa Geofrey Kamwela alisema askari magereza wa huyo ametambuliwa kuwa ni Staff Sagenti Ramadhan Mussa (54) alikufa papo hapo baada ya gari lake alilokuwa akiendesha kuacha njia na...