Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge Waweka Siasa Pembeni na Kupambana na Corona

Na Jonas Kamaleki, Dodoma

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameweka nguvu zao pamoja kupambana na ugonjwa wa Corona na kuweka itikadi zao za kisiasa pembeni.

Akizungumza leo Bungeni jijini Dodoma katika kikao cha kwanza cha Bunge la Bajeti la 2020/21, Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai amewataka wabunge na wadau wengine waweke umbali kati ya mtu na mtu (sociali distance) ili kuepuka maambukizi ya Corona.

Kwa kuzingatia hilo, jumla ya wabunge wasiozidi 150 ndio wanaoruhusiwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Chris Brown na mzazi mwenzie waweka tofauti pembeni kumlea pamoja mtoto wao Royalty

Chris Brown na mzazi mwenzie, Nia Guzman wamemaliza tofauti zao ili kushirikiana pamoja kumlea mtoto wao, Royalty mwenye umri wa mwaka mmoja. Vyanzo vilivyo karibu na Chris na Nia vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa wawili hao hivi karibuni walikubaliana kumlea mtoto wao kwa amani. Wameamua kumpeleka pamoja kwenye mazoezi ya kuogelea, shuleni na michezo mbalimbali. […]

 

9 years ago

Bongo Movies

Kisa Siasa, Wolper Aweka Pembeni Uigizaji

UPO? Habari ikufikie kuwa ‘mtoto mtamu’ anayesumbua katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Massawe ameweka pembeni masuala ya uigizaji kwa muda usiojulikana kwa kile alichodai ni kujipa muda wa kupumzika na kujikita zaidi kwenye mambo ya siasa.

Rafiki wa karibu na Wolper aliyeomba hifadhi ya jina lake mwanzoni mwa wiki hii, aliliambia gazeti hili kuwa Wolper kwa sasa amekolea sana kwenye mambo ya siasa na kuona kama amekuwa akipoteza muda mwingi kwenye mambo ya uigizaji.

Baada ya...

 

9 years ago

GPL

KISA SIASA, WOLPER AWEKA PEMBENI UIGIZAJI

‘Mtoto mtamu’ anayesumbua katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper. Na Brighton Masalu
UPO? Habari ikufikie kuwa ‘mtoto mtamu’ anayesumbua katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Massawe ameweka pembeni masuala ya uigizaji kwa muda usiojulikana kwa kile alichodai ni kujipa muda wa kupumzika na kujikita zaidi kwenye mambo ya siasa. Rafiki wa karibu na Wolper aliyeomba hifadhi ya jina lake mwanzoni mwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

RC Gama: Tuweke siasa pembeni kuisaidia Panone

MKUU wa Mkoa (RC), wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, amewataka wapenzi wa soka mkoani hapa kuweka siasa pembeni na badala yake waungane kuisaidia Klabu Bingwa ya Mkoa, Panone FC inayojiandaa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge waweka kambi majimboni

>Baada ya kumalizika mkutano wa 18 wa Bunge Jumamosi iliyopita, wabunge wengi wamekimbilia kwenye majimbo yao hatua inayohusishwa na homa ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wajiweka pembeni ‘vigogo’ waliosafishwa Ikulu

Siku moja baada ya Ikulu kutangaza kuwasafisha mawaziri watano na Katibu Mkuu, Eliackim Maswi, wabunge wamejiweka pembeni na suala hilo wakisema Bunge lilishatimiza wajibu wake.

 

10 years ago

Habarileo

NEC, vyama vya siasa waweka maadili

Jaji Damian LubuvaTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefikia mwafaka na vyama vya siasa kuweka maadili ambayo yataviongoza vyama hivyo wakati wa kampeni hadi siku ya kupiga kura.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi viongozi wa Afrika wanavyojikata mishahara kupambana na corona

Rais wa Rwanda na serikali yake aungana na wazo la rais wa Kenya na Malawi kutaka mishahara yao kukatwa ikiwa ni jitihada za kukabiliana na ugonjwa wa corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani