Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC Gama: Tuweke siasa pembeni kuisaidia Panone

MKUU wa Mkoa (RC), wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, amewataka wapenzi wa soka mkoani hapa kuweka siasa pembeni na badala yake waungane kuisaidia Klabu Bingwa ya Mkoa, Panone FC inayojiandaa na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tuweke propaganda pembeni, tuelekeze nguvu kujenga Taifa

Tuliambiwa kwamba Abdulrahman Kinana ni mtu hatari sana kwa mbinu za kisiasa, anaweza kuviyumbisha vyama vya upinzani na hata kuvifuta kabisa. Dalili zimeanza kujitokeza.

 

9 years ago

GPL

KISA SIASA, WOLPER AWEKA PEMBENI UIGIZAJI

‘Mtoto mtamu’ anayesumbua katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper. Na Brighton Masalu
UPO? Habari ikufikie kuwa ‘mtoto mtamu’ anayesumbua katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Massawe ameweka pembeni masuala ya uigizaji kwa muda usiojulikana kwa kile alichodai ni kujipa muda wa kupumzika na kujikita zaidi kwenye mambo ya siasa. Rafiki wa karibu na Wolper aliyeomba hifadhi ya jina lake mwanzoni mwa...

 

5 years ago

Michuzi

Wabunge Waweka Siasa Pembeni na Kupambana na Corona

Na Jonas Kamaleki, Dodoma

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameweka nguvu zao pamoja kupambana na ugonjwa wa Corona na kuweka itikadi zao za kisiasa pembeni.

Akizungumza leo Bungeni jijini Dodoma katika kikao cha kwanza cha Bunge la Bajeti la 2020/21, Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai amewataka wabunge na wadau wengine waweke umbali kati ya mtu na mtu (sociali distance) ili kuepuka maambukizi ya Corona.

Kwa kuzingatia hilo, jumla ya wabunge wasiozidi 150 ndio wanaoruhusiwa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Kisa Siasa, Wolper Aweka Pembeni Uigizaji

UPO? Habari ikufikie kuwa ‘mtoto mtamu’ anayesumbua katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Massawe ameweka pembeni masuala ya uigizaji kwa muda usiojulikana kwa kile alichodai ni kujipa muda wa kupumzika na kujikita zaidi kwenye mambo ya siasa.

Rafiki wa karibu na Wolper aliyeomba hifadhi ya jina lake mwanzoni mwa wiki hii, aliliambia gazeti hili kuwa Wolper kwa sasa amekolea sana kwenye mambo ya siasa na kuona kama amekuwa akipoteza muda mwingi kwenye mambo ya uigizaji.

Baada ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Panone FC yaongoza ligi Kilimanjaro

TIMU ngeni katika Ligi Daraja la Tatu ngazi ya Mkoa wa Kilimanjaro, Panone FC, hadi sasa inaongoza ligi hiyo ikiwa imejikusanyia pointi sita baada ya kushuka dimbani mara mbili. Panone...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Panone FC na safari ya mafanikio ya soka

TIMU ya soka ya Panone FC ‘Matajiri wa Moshi’, ndio mabingwa wa Mkoa wa Kilimanjaro msimu wa 2013/2014, wakipokea kijiti kutoka kwa Machava FC. Tangu Panone wajitwalie taji Machi 30...

 

9 years ago

Michuzi

PANONE FC KUFUNGUA DIMBA NA JKT OLJORO

Na Woinde Shizza,Arusha TIMU ya panone FC ya mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro maarufu kama matajiri wa mafuta ,inatarajia kuanza kutupa karata yake ya mchezo wa kwanza wa ligi daraja la kwanza(FDL) dhidi ya maafande wa JKT Oljoro ya jijini Arusha.Mchezo  huo utafanyika septemba 19 mwaka huu, katika uwanja wa Ushirika mjini moshi mkoani kilimanjaro,ambapo  baada ya mchezo huo pia wataikaribisha timu ya Polisi Tabora semptemba  26.
Katibu wa timu ya Panone FC  Augstino mwakatumbula alisema...

 

10 years ago

TheCitizen

Gama still in hot water

Dodoma. Two opposition legislators are up in arms demanding the President to sack Kilimanjaro regional commissioner Leonidas Gama over allegations of being linked with a land grabbing scandal in the region.

 

10 years ago

Mtanzania

RC Gama alipuliwa bungeni

mkuuNA ARODIA PETER, Dodoma
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, amehusishwa na tuhuma za kutaka kumiliki ardhi kwa njia za kifisadi katika maeneo mbalimbali, ikiwamo Wilaya ya Rombo mkoani humo.
Kutokana na hali hiyo, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imemwomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kuzuia mchakato wowote haramu utakaofanywa na Gama kuhusu ardhi.
RC Gama, alitajwa bungeni na Waziri Kivuli wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Halima Mdee...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani