PANONE FC KUFUNGUA DIMBA NA JKT OLJORO
Na Woinde Shizza,Arusha TIMU ya panone FC ya mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro maarufu kama matajiri wa mafuta ,inatarajia kuanza kutupa karata yake ya mchezo wa kwanza wa ligi daraja la kwanza(FDL) dhidi ya maafande wa JKT Oljoro ya jijini Arusha.Mchezo huo utafanyika septemba 19 mwaka huu, katika uwanja wa Ushirika mjini moshi mkoani kilimanjaro,ambapo baada ya mchezo huo pia wataikaribisha timu ya Polisi Tabora semptemba 26.Katibu wa timu ya Panone FC Augstino mwakatumbula alisema...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi28 Aug
TWIGA KUFUNGUA DIMBA NA IVORY COAST
![](http://tff.or.tz/images/tanzanite.png)
10 years ago
Mwananchi06 Nov
Simiyu, Kigoma kufungua dimba Copa
9 years ago
Habarileo29 Aug
Twiga Stars kufungua dimba na Ivory Coast
TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) imepangwa kufungua dimba na Ivory Coast katika fainali za Michezo ya Afrika inayoanza Septemba 4, mwaka huu jijini Brazzaville katika Jamhuri ya Congo.
9 years ago
StarTV09 Nov
JKT Oljoro yatinga kileleni.
Maafande wa JKT Oljoro wametinga kileleni mwa kundi C baada ya kuwachezesha kwata maafande wenzao wa Polisi Tabora kwa bao 1-0, katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
Haikuwa rahisi kwa wafunga buti hao wa Oljoro kupata bao hilo mapema kwani iliwabidi wasubiri hadi kipindi cha kwanza kimalizike.
Kipindi cha pili kilianza kwa kila timu kuanza kwa kasi baada ya makocha wa timu zote mbili kufanya mabadiliko ya wachezaji , mabadiliko hayo yalizaa matunda kwa...
10 years ago
TheCitizen14 Nov
Relief as JKT Oljoro pip Rhino
9 years ago
StarTV04 Nov
JKT Oljoro wazidi kung’ara.
Wafunga buti wa JKT Oljoro kwa mara nyingine wametoka na ushindi baada ya kuwachezesha gwaride wachimba madini wa Geita gold sports mabao 2- 1 mchezo wa ligi daraja la kwanza uliochezwa kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid,Jijini Arusha.
Maafande hao wa JKT Oljoro wameutumia vizuri uwanja wao wa nyumbani mara baada ya kuinyuka timu ya Geita gold sports magoli 2 kwa 1 mchezo ambao ulianza kwa kasi kwa kila timu kuonekana kuupania mchezo huo uliotimua vumbi katika viunga vya Sheikh Amri Abeid...
11 years ago
TheCitizen01 Feb
Simba SC target JKT Oljoro scalp
11 years ago
Tanzania Daima08 May
JKT Oljoro yapania daraja la kwanza
TIMU ya JKT Oljoro imepania kukabili ushindani wa ligi Daraja la Kwanza kwa kuanza maandalizi mapema ikiwemo kuingia kambini na kujifua kwa mazoezi magumu ili waweze kurejea Ligi Kuu ya...
11 years ago
GPLSIMBA SC YAIANGUSHIA KICHAPO CHA BAO 4-0 JKT OLJORO