Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simiyu, Kigoma kufungua dimba Copa

Mikoa ya Simiyu na Kigoma itakutana uso kwa uso kwenye mchezo wa fungua dimba wa fainali za Taifa za mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 15 ya Copa Coca-Cola utakaofanyika kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es Salaam, Desemba 13.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Simiyu face baptism of fire, play Kigoma in Copa opener

Newcomers Simiyu and Kigoma will lock horns in the opening match of the U-15 Copa Coca-Cola finals at the Karume Memorial Stadium in Dar es Salaam on December 13.

 

9 years ago

Michuzi

TWIGA KUFUNGUA DIMBA NA IVORY COAST

TIMU ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) inayotarajiwa kuondoka nchini mwishoni mwa mwezi Agosti kuelekea nchini Congo-Brazzavile kwenye Fainali za Michezo ya Afrika (All Africa Games) imepangwa kufungua dimba na timu ya Wanawake ya Ivory Coast Septemba 6, 2105.Twiga Stars iliyoweka kambi kisiwani Zanzibar kwa takribani mwezi mmoja sasa, itacheza mchezo wake pili Septemba 9, dhidi ya Nigeria kabla ya kumalizia mchezo wake wa mwisho hatua ya makundi dhidi ya wenyeji Congo-Brazzavile Septemba...

 

9 years ago

Michuzi

PANONE FC KUFUNGUA DIMBA NA JKT OLJORO

Na Woinde Shizza,Arusha TIMU ya panone FC ya mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro maarufu kama matajiri wa mafuta ,inatarajia kuanza kutupa karata yake ya mchezo wa kwanza wa ligi daraja la kwanza(FDL) dhidi ya maafande wa JKT Oljoro ya jijini Arusha.Mchezo  huo utafanyika septemba 19 mwaka huu, katika uwanja wa Ushirika mjini moshi mkoani kilimanjaro,ambapo  baada ya mchezo huo pia wataikaribisha timu ya Polisi Tabora semptemba  26.
Katibu wa timu ya Panone FC  Augstino mwakatumbula alisema...

 

9 years ago

Habarileo

Twiga Stars kufungua dimba na Ivory Coast

TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) imepangwa kufungua dimba na Ivory Coast katika fainali za Michezo ya Afrika inayoanza Septemba 4, mwaka huu jijini Brazzaville katika Jamhuri ya Congo.

 

10 years ago

TheCitizen

Kigoma and Dom in Copa Coca-Cola semis

>Uncompromising Kigoma boys blasted into the semi-finals of the U-15 Copa Coca-Cola youth football championship after squeezing a 1-0 win over Mwanza in a tough but thrilling match at Karume Memorial Stadium yesterday.

 

10 years ago

TheCitizen

Kigoma shine in Copa Coca-Cola opener

Newcomers Simiyu got a rough welcome yesterday when they crashed to a 3-1 defeat at the hands Kigoma in a curtain raiser of the U-15 Copa Coca-Cola national championships held at Karume Memorial Stadium.

 

5 years ago

Michuzi

TARURA SIMIYU KUFUNGUA BARABARA ZILIZOATHIRIWA NA MVUA KUZIFANYA ZIPITIKE WAKATI WOTE

Ujenzi wa daraja katika eneo la Mto Ndoba linalounganisha Mtaa wa Bunamhala na Majahida katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi ukiendelea ambao unatarajia kukamilika Mei 15, 2020 kupitia fedha za mpango wa dharura.

Mratibu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Simiyu, Eng. Dkt. Philemon Msomba akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja linalojengwa kwa mpango wa dharura katika eneo la Mto Ndoba ...

 

9 years ago

Bongo5

Baba Levo apanga kufungua studio Kigoma

Mshindi wa udiwani katika kata ya Mwanga Kigoma, Baba Levo, amesema baada ya kutangazwa kuwa mshindi anatarajia kuachia wimbo mpya uitwao ‘Baba la Hip Hop’ pamoja na kujenga studio kubwa ya muziki mkoani humo. Baba Levo ameiambia Bongo5 kuwa wananchi wa kata ya Mwanga wamempatia nafasi hiyo wakiwa na imani atasaidia vipaji vya muziki vya […]

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KUFANYA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI KIGOMA KIGOMA

Na Editha Karlo-Michuzi TV,Kigoma.
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kufanya ziara ya siku moja
mkoani Kigoma leo kwa ajili ya kugawa miche ya michikichi kwa makundi
mbalimbali ya wakulima ikiwa ishara ya kuanza rasmi utekelezaji wa
mkakati wa serikali kuelekea kujitegemea kwa mafuta ya kula
yatakayokuwa yakizalishwa kupitia zao la michikichi.

Mkuu wa mkoa Kigoma,Emanuel Maganga akizungumza na waandishi wa habari mjini Kigoma leo alisema kuwa mpango wa ugawaji wa miche hiyo
utafanyika katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani