Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baba Levo apanga kufungua studio Kigoma

Mshindi wa udiwani katika kata ya Mwanga Kigoma, Baba Levo, amesema baada ya kutangazwa kuwa mshindi anatarajia kuachia wimbo mpya uitwao ‘Baba la Hip Hop’ pamoja na kujenga studio kubwa ya muziki mkoani humo. Baba Levo ameiambia Bongo5 kuwa wananchi wa kata ya Mwanga wamempatia nafasi hiyo wakiwa na imani atasaidia vipaji vya muziki vya […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Daz Baba apanga kufungua kituo cha mafunzo ya ujasiriamali utokanao na muziki

Member wa kundi la Daz Nundaz, Daz Baba anatarajia kuanza kufanya ziara za muziki mikoani ili kukusanya pesa zitazosaidia kuanzisha kituo cha mafunzo ya ujasiriamali utokanao na muziki. Daz ameiambia Bongo5 kuwa tayari ameshapanga kuanza na mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Mbeya. “Hii tuor ni kwaajili ya tasisi yangu Tanzania Songambele Daima Organization,” amesema. […]

 

10 years ago

GPL

MENINA,BABA LEVO LIVE

Musa Mateja Live! Mastaa wawili wa Bongo Fleva, Menina Atick na Baba Levo wamenaswa kimahaba hivyo kuibua viulizo kuwa huenda kuna ‘projekti’ inaendelea kati yao. Katika tukio hilo ambalo Baba Levo alishuhudiwa ‘akijibebisha’ kwa Menina lilijiri kwenye Ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini Dar ambapo wawili hao walijumuika na wasanii wenzao katika hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya Ishi Kistaa iliyokuwa...

 

11 years ago

GPL

BABA LEVO ADAIWA KUMDUNDA SHEMEJIYE

Stori: Mwandishi Wetu
STAA wa Bongo Fleva, Trey Revocatus ‘Baba Levo’ amedaiwa kumshushia kipigo shemeji yake aliyefahamika kwa jina la Pili Kimenya, mkazi wa Kisangani, Kigoma. Staa wa Bongo Fleva, Trey Revocatus ‘Baba Levo’ akipozi. Kwa mujibu wa chanzo, Baba Levo alikwenda kwenye mazishi ya kaka yake ambaye alikuwa mchumba wa Pili, Patrick Revocatus, baada ya kuzika alimtuhumu shemeji yake huyo...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

MillardAyo

Picha 20 Shilole, Linah, Baba Levo walivyoidondosha burudani Zanzibar

Jan 2 2016 mastaa wa Bongo Shilole, Linah, Baba Levo, Bonge la nyau, Bill Nas na wengine walijumuika Zanzibar na kutoa burudani ya kufungulia mwaka. Hapa nakukutanisha na matukio mbalimbali katika picha kwenye show hiyo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa […]

The post Picha 20 Shilole, Linah, Baba Levo walivyoidondosha burudani Zanzibar appeared first on...

 

10 years ago

Bongo5

Baba Levo apata ajali akiwa ndani ya basi la AM lililogongana na Coaster

Msanii wa kundi la 2mbili wa Town, Baba Levo amepata ajali baada ya basi la kampuni ya AM Coach alilokuwa amepanda kugongana na Coaster. Kwa mujibu wa Millardayo.com, ajali hiyo imetokea kwenye pori la kijiji cha Uluwila ambapo alikuwa anatokea Tabora kwenda Mpanda. Inadaiwa kuwa dereva wa Coaster alikuwa akikwepa barabara mbovu na hivyo kuhamia […]

 

5 years ago

Michuzi

Mwananchi apanga kufungua shauri,Mahakama izuie uchaguzi mwaka huu,fedha zielekezwe kupambana na Corona



Na Amiri kilagalila,Njombe

Mwananchi mmoja anaefahamika kwa jina la Johnson Mgimba mkazi wa Njombe Mjini amesema kutokana na ugonjwa wa covid19 kuendelea kushika kasi nchini na duniani kote , amekusudia kufungua kesi katika mahakama kuu kanda ya Iringa ya kuomba serikali kusitisha mchakato na maandalizi ya uchaguzi mkuuu na fedha iliyotengwa kuelekezwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

Raia huyo ambaye amejibatiza jina la kijana mzalendo amesema kuna kila sababu ya kusitisha uchaguzi...

 

9 years ago

MillardAyo

Utani wa Baba levo kuhusu matatizo ya simu za wasanii Shilole, Nay wa mitego na wengine.

Kutana na Fix za mchekeshaji na msanii Baba Levo, leo kaja na hii ya kufichua matatizo ya simu za mastaa mbalimbali wa Bongo, kazungumzia ya Lanah, Shilole, Nay wa mitego na wengine, bonyeza play kwenye hii video hapa chini usikie fix zake… Baba Levo kuhusu magari ya wasanii yalivyo na tabu Baba Levo akiongelea nyumba ya […]

The post Utani wa Baba levo kuhusu matatizo ya simu za wasanii Shilole, Nay wa mitego na wengine. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Bongo5

2mbili wa Town: Kundi jipya la Baba Levo na Peter Msechu litakalotambulishwa hivi karibuni

Muungano wa wasanii wawili wacheshi na wenye vituko kutoka Kigoma, Peter Msechu na Baba Levo hivi sasa utakuwa ukitambulika kwa jina moja la ‘2mbili Wa Town’. Wasanii hao ambao ukibahatika kukutana nao ni ngumu kuondoka bila kuvunja mbavu zako, wanatarajia kutambulisha project yao mpya ya pamoja ya ‘2mbili wa Town’ hivi karibuni. “Jina la project […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani