BABA LEVO ADAIWA KUMDUNDA SHEMEJIYE
![](http://api.ning.com:80/files/mrjGDDFzeeFajNbnD9rjV*ZSLWaja51EsV89H9gvfv1rUEVOI3T8EEvqWwiM3Suqk5-pQXbbIYvZL0bW71PRazXzZrps7rz5/babalevo.jpg)
Stori: Mwandishi Wetu STAA wa Bongo Fleva, Trey Revocatus ‘Baba Levo’ amedaiwa kumshushia kipigo shemeji yake aliyefahamika kwa jina la Pili Kimenya, mkazi wa Kisangani, Kigoma. Staa wa Bongo Fleva, Trey Revocatus ‘Baba Levo’ akipozi. Kwa mujibu wa chanzo, Baba Levo alikwenda kwenye mazishi ya kaka yake ambaye alikuwa mchumba wa Pili, Patrick Revocatus, baada ya kuzika alimtuhumu shemeji yake huyo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 May
Mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye
11 years ago
Mwananchi28 May
Mume wa mwimbaji nguli wa Injili adaiwa kumbaka shemejiye
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-TLmRyEsKEAKWBARjMR-RByB9OlMczM0cAkPSk2-GKq-BbdZdpjBXRZT*ZUhuJEwUPJPkZ8FA8GWIJEwWIsQEpRGG88iIgIk/1.jpg?width=650)
MENINA,BABA LEVO LIVE
9 years ago
Bongo528 Oct
Baba Levo apanga kufungua studio Kigoma
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/ezNduQlf_nA/default.jpg)
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Picha 20 Shilole, Linah, Baba Levo walivyoidondosha burudani Zanzibar
Jan 2 2016 mastaa wa Bongo Shilole, Linah, Baba Levo, Bonge la nyau, Bill Nas na wengine walijumuika Zanzibar na kutoa burudani ya kufungulia mwaka. Hapa nakukutanisha na matukio mbalimbali katika picha kwenye show hiyo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa […]
The post Picha 20 Shilole, Linah, Baba Levo walivyoidondosha burudani Zanzibar appeared first on...
10 years ago
Bongo510 Oct
Baba Levo apata ajali akiwa ndani ya basi la AM lililogongana na Coaster
9 years ago
Bongo519 Nov
Nimeshauriwa na Zitto nisiache kazi ya muziki kwasababu Udiwani hauna pesa – Baba Levo
![Baba Levoooo_full](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/10/Baba-Levoooo_full-300x194.jpg)
Msanii wa muziki na mchekeshaji, Baba Levo ambaye sasa ni Diwani wa Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma, amebadili uamuzi aliopanga kuuchukua baada ya kushinda nafasi hiyo ya kuwatumikia wananchi, ambao ni kuacha kufanya muziki.
Uamuzi wa kuendelea na kazi ya muziki huku akiwa Diwani umetokana na ushauri aliopata kutoka kwa Mbunge wa Kigoma Mjini mhe. Zitto Kabwe.
Baba Levo ameiambia Bongo5 kuwa Zitto amemshauri asiache kufanya kazi yake ya muziki kwasababu udiwani sio ajira ya kutegemea...
9 years ago
MillardAyo15 Dec
Utani wa Baba levo kuhusu matatizo ya simu za wasanii Shilole, Nay wa mitego na wengine.
Kutana na Fix za mchekeshaji na msanii Baba Levo, leo kaja na hii ya kufichua matatizo ya simu za mastaa mbalimbali wa Bongo, kazungumzia ya Lanah, Shilole, Nay wa mitego na wengine, bonyeza play kwenye hii video hapa chini usikie fix zake… Baba Levo kuhusu magari ya wasanii yalivyo na tabu Baba Levo akiongelea nyumba ya […]
The post Utani wa Baba levo kuhusu matatizo ya simu za wasanii Shilole, Nay wa mitego na wengine. appeared first on TZA_MillardAyo.