Mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye
Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, (jina tunalihifadhi kwa sasa), anatuhumiwa kumbaka shemeji yake mdogo (17).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 May
Mume wa mwimbaji nguli wa Injili adaiwa kumbaka shemejiye
11 years ago
CloudsFM29 May
MUME WA MWANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI ADAIWA KUMBAKA SHEMEJI YAKE WA MIAKA 17
Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, (jina tunalihifadhi kwa sasa), anatuhumiwa kumbaka shemeji yake mdogo (17).
Taarifa za tukio hilo ziliripotiwa juzi saa 12 jioni katika Kituo cha Polisi Tabata (Tabata Shule), zikimtuhumu mwanamume huyo kwamba alimbaka binti huyo mara tatu na kumsababishia maumivu makali.
Binti huyo alifika katika kituo hicho cha polisi akiwa na ndugu zake wawili ambao walilalamika kwamba kulikuwa na jitihada kubwa kutoka upande wa mtuhumiwa wa kuzima kesi hiyo.
...
11 years ago
Uhuru Newspaper23 Jul
Mbasha akana kumbaka shemejiye
NA SYLVIA SEBASTIAN
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, jana ilisikiliza maelezo ya awali dhidi ya Emmanuel Mbasha, anayekabiliwa na shitaka la kumbaka shemeji yake.
Mbasha, alikana maelezo yote yaliyotolewa mahakamani hapo yaliyokuwa yakielezea jinsi alivyotenda kosa.
Akisaidiwa na Wakili wake, Mathew Kakamba, Mbasha alidai mahakamani kuwa hakuhusika kwenye matukio yote mawili ya ubakaji.
Mtuhumiwa huyo alikana kutenda kosa hilo, wakati upande wa jamhuri ulipokuwa unatoa maelezo ya awali jana, mbele...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mrjGDDFzeeFajNbnD9rjV*ZSLWaja51EsV89H9gvfv1rUEVOI3T8EEvqWwiM3Suqk5-pQXbbIYvZL0bW71PRazXzZrps7rz5/babalevo.jpg)
BABA LEVO ADAIWA KUMDUNDA SHEMEJIYE
11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
Mwimbaji wa Injili kuipeperusha CHADEMA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Dodoma, kimempitisha mwimbaji wa nyimbo za Injili wa Kanisa Kuu la Kianglikana mkoani humo, Josiah Mtonyi, kuwania nafasi ya udiwani wa Kata ya...
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Mwimbaji injili aomba kuwezeshwa
MWIMBAJI chipukizi wa nyimbo za injili anayekuja kwa kasi, Magdalena Nyambalya, amesema ndoto yake ni kuja kuwa mwimbaji jukwaani. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam juzi, Nyambalya alisema...
11 years ago
GPLMWIMBAJI INJILI DEBORAH SAID AZIKWA MAKUBURI DAR
11 years ago
Mwananchi25 May
Mwimbaji nyimbo za Injili mwenye ndoto za uigizaji
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
EPHRAIM SEKELETI : Mwimbaji Injili Mzambia anayeihusudu Tanzania
JINA la Ephraim Sekeleti Mutalange si geni masikioni na machoni pa wengi si kutokana na umaarufu wake katika uimbaji na utungaji wa vibao vilivyobeba ujumbe murua, pia uwezo wake wa...