Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


2mbili wa Town: Kundi jipya la Baba Levo na Peter Msechu litakalotambulishwa hivi karibuni

Muungano wa wasanii wawili wacheshi na wenye vituko kutoka Kigoma, Peter Msechu na Baba Levo hivi sasa utakuwa ukitambulika kwa jina moja la ‘2mbili Wa Town’. Wasanii hao ambao ukibahatika kukutana nao ni ngumu kuondoka bila kuvunja mbavu zako, wanatarajia kutambulisha project yao mpya ya pamoja ya ‘2mbili wa Town’ hivi karibuni. “Jina la project […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MENINA,BABA LEVO LIVE

Musa Mateja Live! Mastaa wawili wa Bongo Fleva, Menina Atick na Baba Levo wamenaswa kimahaba hivyo kuibua viulizo kuwa huenda kuna ‘projekti’ inaendelea kati yao. Katika tukio hilo ambalo Baba Levo alishuhudiwa ‘akijibebisha’ kwa Menina lilijiri kwenye Ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini Dar ambapo wawili hao walijumuika na wasanii wenzao katika hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya Ishi Kistaa iliyokuwa...

 

11 years ago

GPL

BABA LEVO ADAIWA KUMDUNDA SHEMEJIYE

Stori: Mwandishi Wetu
STAA wa Bongo Fleva, Trey Revocatus ‘Baba Levo’ amedaiwa kumshushia kipigo shemeji yake aliyefahamika kwa jina la Pili Kimenya, mkazi wa Kisangani, Kigoma. Staa wa Bongo Fleva, Trey Revocatus ‘Baba Levo’ akipozi. Kwa mujibu wa chanzo, Baba Levo alikwenda kwenye mazishi ya kaka yake ambaye alikuwa mchumba wa Pili, Patrick Revocatus, baada ya kuzika alimtuhumu shemeji yake huyo...

 

10 years ago

Vijimambo

Please vote for PETER MSECHU



I would like to ask for your vote on AAFRIMA 2014 NIGERIA.. am nominated as BEST MALE ARTIST IN EAST AFRICA. to vote for me click this link bellow and scrow down you will see my picture with a box writen "VOTE" by cliking this box your vote will be counted..

http://afrima.org/index.php/vote/continental-category/the-regional-categories/best-male-artiste-in-east

would be greatful if you will help me share this link on your facebook/twitter/instagram accounts.

NAKUSHUKURU SANA SANA.

 

10 years ago

Mwananchi

Mastori na Peter Msechu

Wakati wasanii wengine wakiwakandia wanamuziki waliofanikiwa, hali ni tofauti kwa Peter Msechu ambaye anaamini kuwa nyota hao ni hazina kwa Taifa na chachu ya maendeleo ya muziki wa kizazi kipya Afrika Mashariki.

 

9 years ago

Bongo5

Baba Levo apanga kufungua studio Kigoma

Mshindi wa udiwani katika kata ya Mwanga Kigoma, Baba Levo, amesema baada ya kutangazwa kuwa mshindi anatarajia kuachia wimbo mpya uitwao ‘Baba la Hip Hop’ pamoja na kujenga studio kubwa ya muziki mkoani humo. Baba Levo ameiambia Bongo5 kuwa wananchi wa kata ya Mwanga wamempatia nafasi hiyo wakiwa na imani atasaidia vipaji vya muziki vya […]

 

10 years ago

Mtanzania

Nyimbo 10 zamchelewesha Peter Msechu

MSECHUNa Leticia Bwire (TUDARCO)

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Peter Msechu, amesema nyimbo 10 alizokuwa akiziandaa pamoja na video zake ndizo zinazomfanya awe kimya kimuziki.

“Nimekuwa kimya kwa muda mrefu kwa kuwa nilikuwa najipanga kuachia ngoma zangu mpya ambazo kwa sasa ndiyo namalizia video zake.

“Nimeshatimiza nyimbo 10 ambazo zipo katika hatua ya mwisho kukamilisha video zake hivyo mashabiki wangu wakae tayari kupokea kazi nyingi zenye ubora wa kutosha kutoka kwangu,” alieleza...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Peter Msechu – Malava

Peter Msechu - MaLava Official

Mwanamuziki wa bongo fleva Peter Msechu ameachia waimbo mpya unaitwa “Malava”. Producer Teaz Villah

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Peter Msechu – Malava

Msechu

2015 haukuwa mwaka mbaya kwa muimbaji Peter Msechu, ambaye mbali na kutengeneza mkwanja mrefu katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu uliopita, lakini pia aliweza kuachia kazi kadhaa ikiwemo wimbo huu ‘Malava’. Msechu anauanza mwaka mpya 2016 kwa kutambulisha video ya wimbo huo ambao audio yake ilitoka mwezi November, 2015. Video imeongozwa na director wa Kenya, Kevin Bosco Jnr.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani