KISA SIASA, WOLPER AWEKA PEMBENI UIGIZAJI
![](http://api.ning.com:80/files/hA00SIFl6AUtcBclmCEs1u4fK3EmyeoVIHfIVjxKz98VGgJA2k0oaks3lKUrLBiT7AY85mGWVVHlEemGSpOn4l2yAM2kmc33/W2.png?width=650)
‘Mtoto mtamu’ anayesumbua katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper. Na Brighton Masalu UPO? Habari ikufikie kuwa ‘mtoto mtamu’ anayesumbua katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Massawe ameweka pembeni masuala ya uigizaji kwa muda usiojulikana kwa kile alichodai ni kujipa muda wa kupumzika na kujikita zaidi kwenye mambo ya siasa. Rafiki wa karibu na Wolper aliyeomba hifadhi ya jina lake mwanzoni mwa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies13 Nov
Kisa Siasa, Wolper Aweka Pembeni Uigizaji
UPO? Habari ikufikie kuwa ‘mtoto mtamu’ anayesumbua katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Massawe ameweka pembeni masuala ya uigizaji kwa muda usiojulikana kwa kile alichodai ni kujipa muda wa kupumzika na kujikita zaidi kwenye mambo ya siasa.
Rafiki wa karibu na Wolper aliyeomba hifadhi ya jina lake mwanzoni mwa wiki hii, aliliambia gazeti hili kuwa Wolper kwa sasa amekolea sana kwenye mambo ya siasa na kuona kama amekuwa akipoteza muda mwingi kwenye mambo ya uigizaji.
Baada ya...
10 years ago
Mwananchi20 Sep
WOLPER: Urembo, kujipodoa havina nafasi katika uigizaji
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
RC Gama: Tuweke siasa pembeni kuisaidia Panone
MKUU wa Mkoa (RC), wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, amewataka wapenzi wa soka mkoani hapa kuweka siasa pembeni na badala yake waungane kuisaidia Klabu Bingwa ya Mkoa, Panone FC inayojiandaa na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/--Qln2nlj_sI/XoMYEv7ufVI/AAAAAAALlqg/XdS6vz9iygIg5fOuYVfCzPEt-4bN-06pQCLcBGAsYHQ/s72-c/Pic-1-aAA-768x512.jpg)
Wabunge Waweka Siasa Pembeni na Kupambana na Corona
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameweka nguvu zao pamoja kupambana na ugonjwa wa Corona na kuweka itikadi zao za kisiasa pembeni.
Akizungumza leo Bungeni jijini Dodoma katika kikao cha kwanza cha Bunge la Bajeti la 2020/21, Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai amewataka wabunge na wadau wengine waweke umbali kati ya mtu na mtu (sociali distance) ili kuepuka maambukizi ya Corona.
Kwa kuzingatia hilo, jumla ya wabunge wasiozidi 150 ndio wanaoruhusiwa...
10 years ago
Mwananchi12 Oct
Bado nipo kisanaa, siasa ilinificha kwenye uigizaji
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qeusznqd6YlFyYBCI1h4RNgMV2paYPp8IEZnI8YGPuAECr3Ia*2xSAxbLoWwZZQxVsNvyaz8FKLFYHXekCC8WfpyB4hBYgqt/jacklinewolper1.jpg?width=650)
WOLPER ACHARUKA KISA MIMBA
9 years ago
Bongo Movies24 Aug
Kisa Lowassa, Wolper Aoga Matusi
MTOTO mzuri Bongo Movies, Jacqueline Wolper, amejikuta akiambulia matusi mazito kutoka kwa staa mwenzake Isabela Mpanda kisa kikiwa ni kuonesha mapenzi yake kwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa.
Isabela aliamua kumtusi staa huyo akidai anamshanga kujinadi kila siku katika mtandao wa Instagram kuwa ni mfuasi wa Lowassa wakati amelelewa na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Kupitia mtandao huo wa Istagram, Isabela aliamua kumtolea uvivu Wolper hadharani...
10 years ago
Bongo Movies19 Apr
Wema, Wolper Walewa Chakari!,Kisa Msongo wa Mawazo
Mastaa warembo kutoka Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Jacqueline Wolper Massawe, wamejikuta wakipiga ulabu hadi kulewa chakari, kisa kikielezwa kwamba wana msongo wa mawazo.
Gazeti la Risasi la jana, limeripoti kuwa tukio hilo lilijiri hivi karibuni, usiku mnene kwenye pati ya kuzaliwa (birthday) ya meneja wa kampuni ya Wema ya Endless Fame almaarufu Petit Man iliyofanyika kwenye nyumba ya jamaa mmoja maeneo ya Kinondoni-Manyanya jijini Dar na kuhudhuriwa na mastaa kibao.
Katika pati...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zYvUvcLXovDxfSjpA6jJGq*TZVc9hNH8TwORFVExW06-SEO36NC7HYkGHY2XXilk1LnZgmhHlVmWP*L8Zze3Jd9fXGREtkwu/IMG_0006.jpg?width=650)
SHAMSA: MASTAA TUSIWEKEANE MABIFU KISA, SIASA