Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHAMSA: MASTAA TUSIWEKEANE MABIFU KISA, SIASA

STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford. STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford amewaasa wasanii kuwa wasigombane na kuwekeana mabifu kisa siasa kwani baada ya mchakato huo watarudi kukaa pamoja na kufanya kazi zao kama kawaida. Akipiga stori na Ijumaa, Shamsa alisema mastaa kwa sasa wanagombana na kutoleana maneno machafu, kitu ambacho si kizuri kwa kazi zao kwani wote wanategemeana. “Hiki ni kipindi cha mpito tu, mimi nawashauri...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MABIFU YA WEMA YAMCHEFUA SHAMSA

Na Imelda Mtema
 Kitendo cha Wema Sepetu kugombana mara kwa mara na kila mtu anayekuwa rafiki yake, kimeonesha kumkera staa mwezake Shamsa Ford ambaye anasema alipofikia watu wataogopa kujenga ushosti naye. Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford. Akizungumza na mwandishi wetu, Shamsa alisema ni kweli watu kugombana ni kitu cha kawaida lakini kwa Wema anatakiwa ajiangalie upya ili watu wasimfikirie vibaya. “Kwa kweli...

 

11 years ago

GPL

SHAMSA AWANANGA MASTAA WANAOJIONA

Stori: Mayasa Mariwata
MUUZA sura wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amesema wasanii wengi wenye majina makubwa wamekuwa wakiringia umaarufu wao na kuwadharau wengine jambo ambalo halina manufaa zaidi ya kuwashushia heshima. Msanii wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford. Akipiga stori na paparazi wetu, alisema kuna wasanii ambao ‘wametoka’ huwaonyesha dharau wenzao kwa kujivunia kujulikana kwao mbele ya jamii.… ...

 

10 years ago

GPL

SHAMSA AWAASA MASTAA WANAOMFUATA LOWASSA

Gladness mallya STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford amewaasa mastaa waliotangaza kumfuata Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ambaye amehamia UKAWA hivi karibuni akitokea CCM kwamba waachane na tabia ya kufuata mkumbo. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1MAwlXd

 

5 years ago

Bongo5

Shamsa Ford apasuka uso kisa ugomvi

Msanii wa filamu Shamsa Ford amepokea kichapo Jumanne hii katika harakati za kuamlia ugomvi wa watu ambao haijajulikana moja kwa moja ni nani, na sababu za ugomvi wao ni nini.

Malkia huyo wa filamu amekutwa na mkasa huo ikiwa ni mwezi mmoja toka aibiwe akaunti yake ya Instagram yenye followers zaidi ya milioni 2.

Muigizaji huyo amedai alipigwa ngumi ya uso katika harakati za kutafuta usalama wa watu hao ambao walikuwa wakipigana.

“Jana kwa moyo mmoja nimeenda kuamlia ugomvi watu wasipigane...

 

11 years ago

GPL

SHAMSA, DAVINA WAWASHANGAA MASTAA WANAOFICHA MIMBA

Stori: Gladness Mallya MASTAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford na Halima Yahaya ‘Davina’ wameshangazwa na mastaa wa kike wanaoficha mimba mbele ya ‘media’. Staa wa Bongo Muvi, Halima Yahaya ‘Davina’. Wakizungumza na mwanahabari wetu hivi karibuni baada ya kuulizwa kwa nini baadhi ya mastaa wanaficha ujauzito na baadaye kuumbuka baada ya kujifungua, walisema wao wanashangazwa na kitendo...

 

9 years ago

GPL

KISA KAMPENI, MTOTO WA SHAMSA ALELEWA NA BIBI YAKE

MTOTO wa staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford aitwaye Terry, analelewa na mama yake mzazi wakati yeye akiwa bize na kampeni kuelekea uchaguzi mkuu. Shamsa Ford akiwa na mwanaye, Terry. Shamsa akithibitisha jambo hilo, aliliambia gazeti hili kuwa amelazimika kumuacha mwanaye kwa bibi yake ili aende na kasi ya kampeni, lakini hujitahidi kuzungumza naye kwa simu kila siku ili kumfanya ajisikie vizuri. “Namkumbuka sana mwanangu,...

 

9 years ago

Bongo5

Shamsa Ford: Sitaki tena kutoka kimapenzi na mastaa

Shamsa Ford

Msanii wa filamu na mama wa mtoto mmoja, Shamsa Ford amesema amekoma kutoka kimapenzi na watu maarufu.

Shamsa Ford

Muigizaji huyo ambaye miezi michache iliyopita alikiri kutoka kimapenzi na rapa Nay wa Mitego, ameiambia Bongo5 kuwa sasa hivi amepata mpenzi mpya ambaye atamweka wazi siku ya harusi yake.

“Mimi ni mwanamke mzuri nakosaje mwanaume? Nimetimia kila idara, nina mchumba ambaye tunapendana Mungu akijalia kiukweli natamani awe mume wangu,” amesema.
“Nimeshatangaza kabisa mastaa sitaki nimekoma,...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hawa Ndio Mastaa 10 Wakiume wa Bongo Movies Ambao Shamsa Anawakubali

Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford ambae ni Binamu Wa Nay Wa Mitego amewataja hawa kua ndio wakali wake.

“Mambo vipi Tanzania? Leo ningependa kuwatajia wanaume 10 ambao huwa napenda sana uigizaji wao, haimanishi kwamba wao ndo the best kuliko wengine but napenda tu sanaa yao. (1) Single Mtambalike ‘Richie’ (2) Marehemu Adamu Kuambiana (3) Marehemu Kanumba (4) Muhogo Mchungu (5) Swebe (6)Tino (7) Gabo (8) Vincet Kigosi ‘Ray’ (9) Bishanga Bashaiga (10) Cloud112....nawakubali sanaaaaa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa Ford: Hawa Ndio Mastaa Wangu wa Tano wa Kiume Hapa Bongo

“Kwa upande wangu mimi kuna wanaume wa  5 ambao huwa nasemaga ni mastaa kupitiliza, yaani naamanisha akipita mtaani ni shida na kila mtu lazima ajue msanii kapita.. (1)Mzee majuto (2)Mboto (3)Kingwendu(4)Joti(5)Jacob……Hawa watu kwanza wanaongoza sana kupendwa na watoto yaani wakipita mtaani ni shida.aisee Mungu awabariki....na wewe nitajie wako 5 unaona wakipita mtaani kwako inakuwaga ni hekaheka”-Shamsa aliandika  mtandaoni.

Hebu na sisi tuwataje wetu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani