SHAMSA, DAVINA WAWASHANGAA MASTAA WANAOFICHA MIMBA
![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOaiMws9dIVGb9UF-jl*brprHDeTl7glzxdN-ZE2ZEUh8LXECvWVsM1pdOuEGVq79JLJ8mSnv8oFWWRnD9-5DWqA/shamsa.jpg?width=650)
Stori: Gladness Mallya MASTAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford na Halima Yahaya ‘Davina’ wameshangazwa na mastaa wa kike wanaoficha mimba mbele ya ‘media’. Staa wa Bongo Muvi, Halima Yahaya ‘Davina’. Wakizungumza na mwanahabari wetu hivi karibuni baada ya kuulizwa kwa nini baadhi ya mastaa wanaficha ujauzito na baadaye kuumbuka baada ya kujifungua, walisema wao wanashangazwa na kitendo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/LAl787uzrCCfK3zrV0j*I6DTX3VQYjeVRgjFvkx8-62CGf6b-hS92eScXQ538lO5y7oDmZwPn2K8GwIb6HMnlMWNF5ZuLN6q/davina.jpg)
VIFO VYA MASTAA VYAMPA HOFU DAVINA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wfufAsrgkK*K8JdJsu8eY-V*LUKG2-gAvap3OfKhOJiAziIS1sHB-mdsfv3ZGKElcOAaDWNtbz937NHecfestiLmTo3QG3x8/shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA AWANANGA MASTAA WANAOJIONA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a8ZZitQ2zfW14qkaTHrWMpuvsONAKUYsRGzBhV47MlcQJPL7kXgirfpWeZspl6cNSiWZjY809Dg2Ci6hmvhc-rrMg5Uu0S0Y/IMG_0006.jpg?width=650)
SHAMSA AWAASA MASTAA WANAOMFUATA LOWASSA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zYvUvcLXovDxfSjpA6jJGq*TZVc9hNH8TwORFVExW06-SEO36NC7HYkGHY2XXilk1LnZgmhHlVmWP*L8Zze3Jd9fXGREtkwu/IMG_0006.jpg?width=650)
SHAMSA: MASTAA TUSIWEKEANE MABIFU KISA, SIASA
9 years ago
Bongo524 Dec
Shamsa Ford: Sitaki tena kutoka kimapenzi na mastaa
![Shamsa Ford](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Shamsa-Ford-300x194.jpg)
Msanii wa filamu na mama wa mtoto mmoja, Shamsa Ford amesema amekoma kutoka kimapenzi na watu maarufu.
Muigizaji huyo ambaye miezi michache iliyopita alikiri kutoka kimapenzi na rapa Nay wa Mitego, ameiambia Bongo5 kuwa sasa hivi amepata mpenzi mpya ambaye atamweka wazi siku ya harusi yake.
“Mimi ni mwanamke mzuri nakosaje mwanaume? Nimetimia kila idara, nina mchumba ambaye tunapendana Mungu akijalia kiukweli natamani awe mume wangu,” amesema.
“Nimeshatangaza kabisa mastaa sitaki nimekoma,...
10 years ago
Bongo Movies11 Apr
Hawa Ndio Mastaa 10 Wakiume wa Bongo Movies Ambao Shamsa Anawakubali
Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford ambae ni Binamu Wa Nay Wa Mitego amewataja hawa kua ndio wakali wake.
“Mambo vipi Tanzania? Leo ningependa kuwatajia wanaume 10 ambao huwa napenda sana uigizaji wao, haimanishi kwamba wao ndo the best kuliko wengine but napenda tu sanaa yao. (1) Single Mtambalike ‘Richie’ (2) Marehemu Adamu Kuambiana (3) Marehemu Kanumba (4) Muhogo Mchungu (5) Swebe (6)Tino (7) Gabo (8) Vincet Kigosi ‘Ray’ (9) Bishanga Bashaiga (10) Cloud112....nawakubali sanaaaaa...
10 years ago
Bongo Movies08 Feb
Isabela: Mastaa wa Kike Bongo Wanaishi Kwa Kuuza Miili Yao, Jini Kabula na Davina nao waeleza!!
Akizungumza na GPL , msanii wa filamu na muziki Bongo, Isabela Mpanda ‘Bella’, alisema wasanii wengi wanaishi maisha ya thamani wakati kiuhalisia kazi yao haiwaingizii kipato kinachofanana na maisha ya thamani wanayoishi hivyo kuamua kujiuza.
“Filamu hazilipi, wengi tunajiuza. Bajeti yenyewe ya muvi ni ndogo, wasanii wengi wanataka kulipwa katika muvi moja, haiwezekani kumiliki vitu vya thamani ndiyo maana tunaamua kujiuza.
“Hakuna msanii anayeishi maisha ya kutegemea filamu, kwanza...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JcikeZL6OiLReFOV2YALf9ab7jvq0EoZPbHjRBu0yDF6nXH1xaDy1ZXZX2FPq3CdNphw-ojWhyOm0r4IRG1NcDXn30jPyjgH/Mastaa.jpg?width=650)
MASTAA HODARI WA KUFICHA MIMBA
10 years ago
Bongo Movies16 Mar
Shamsa Ford: Hawa Ndio Mastaa Wangu wa Tano wa Kiume Hapa Bongo
“Kwa upande wangu mimi kuna wanaume wa 5 ambao huwa nasemaga ni mastaa kupitiliza, yaani naamanisha akipita mtaani ni shida na kila mtu lazima ajue msanii kapita.. (1)Mzee majuto (2)Mboto (3)Kingwendu(4)Joti(5)Jacob……Hawa watu kwanza wanaongoza sana kupendwa na watoto yaani wakipita mtaani ni shida.aisee Mungu awabariki....na wewe nitajie wako 5 unaona wakipita mtaani kwako inakuwaga ni hekaheka”-Shamsa aliandika mtandaoni.
Hebu na sisi tuwataje wetu.