Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shamsa Ford: Sitaki tena kutoka kimapenzi na mastaa

Shamsa Ford

Msanii wa filamu na mama wa mtoto mmoja, Shamsa Ford amesema amekoma kutoka kimapenzi na watu maarufu.

Shamsa Ford

Muigizaji huyo ambaye miezi michache iliyopita alikiri kutoka kimapenzi na rapa Nay wa Mitego, ameiambia Bongo5 kuwa sasa hivi amepata mpenzi mpya ambaye atamweka wazi siku ya harusi yake.

“Mimi ni mwanamke mzuri nakosaje mwanaume? Nimetimia kila idara, nina mchumba ambaye tunapendana Mungu akijalia kiukweli natamani awe mume wangu,” amesema.
“Nimeshatangaza kabisa mastaa sitaki nimekoma,...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Shamsa Ford Na Nay wa Mitego Wakiri Uhusiano Wao wa Kimapenzi

Msanii wa filamu nchini, Shamsa Ford amekiri kuwahi kutoka kimapenzi na Nay wa Mitego na baadaye wakaachana.

Shamsha na Nay wa Mitego walikuwa wakizungumza kwa pamoja ndani ya Global TV hivi karibuni. “Ukweli ni kwamba finally nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Emanuel (Nay) lakini tumeachana,” alisema Shamsa.

Kwa upande wake Nay alisema uhusiano ulikuja baada ya kuwa marafiki.

“Tulikuwa washkaji, mahusiano yetu yalianza hivyo,” alisema rapper huyo.

“Tulienda Masaki baada ya kukaa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa Ford: Hawa Ndio Mastaa Wangu wa Tano wa Kiume Hapa Bongo

“Kwa upande wangu mimi kuna wanaume wa  5 ambao huwa nasemaga ni mastaa kupitiliza, yaani naamanisha akipita mtaani ni shida na kila mtu lazima ajue msanii kapita.. (1)Mzee majuto (2)Mboto (3)Kingwendu(4)Joti(5)Jacob……Hawa watu kwanza wanaongoza sana kupendwa na watoto yaani wakipita mtaani ni shida.aisee Mungu awabariki....na wewe nitajie wako 5 unaona wakipita mtaani kwako inakuwaga ni hekaheka”-Shamsa aliandika  mtandaoni.

Hebu na sisi tuwataje wetu.

 

9 years ago

Global Publishers

Shamsa Ford hana aibu!

shamsaaaaMsanii wa filamu, Shamsa Ford.

Imelda Mtema
Hana aibu! Msanii wa filamu, Shamsa Ford hivi karibuni alizua gumzo baada ya kutupia picha kwenye mtandao ikimuonesha akiwa nusu utupu mbele ya Wamasai walioonekana kupata mfadhaiko.

Mara baada ya msanii huyo kuiwekaN mtandaoni picha hiyo, mashabiki wake wengi walimchana kwa kuacha maungo yake wazi tena pembeni wakiwepo watoto.

Akiizungumzia picha hiyo, Shamsa alisema kuwa, aachwe avae anavyotaka kwani hakuna mtu anayeweza kumuingilia kwenye maisha...

 

11 years ago

GPL

SHAMSA FORD NA HOFU YA KIFO

Stori: Gladness Mallya DUH! Staa  wa filamu Bongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa anakiona kifo chake hivyo anawaomba msamaha aliowakosea na kuwasamehe waliomkosea. Staa  wa filamu Bongo, Shamsa Ford akipozi. Akistorisha na gazeti hili, Shamsa alisema ameamua kuanza kujisafishia njia kwani yeye ni binadamu na umauti unaweza kumkuta muda wowote hata kama akiwa mzima. “Ninaomba msamaha kwa wote niliowakosea kwani mimi ni...

 

11 years ago

GPL

SHAMSA FORD: POMBE IMENIZEESHA

Na Imelda Mtema
DIVA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford, amefunguka kuwa ameamua kuacha pombe kwa sababu ameona haina faida yoyote kwake zaidi ya kumzeesha na kumfanya aonekane kama mama mtu mzima. Shamsa Ford. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, juzikati jijini Dar es Salaam, Shamsa alisema: “Nilikuwa napiga sana mtungi, yaani nilikuwa nikipata nafasi ya kunywa, napiga balaa lakini naona hakuna cha maana, sanasana...

 

11 years ago

GPL

SHAMSA FORD AGOMA KUOLEWA

Na Mwandishi Wetu STAA wa filamu Bongo ‘Shamsa Ford’ amegoma kuolewa siku chache baada ya tarehe ya harusi yake kufika kwa madai kuwa mambo yalivyopangwa sivyo alivyotarajia. Shamsa Ford. Habari kutoka kwa chanzo chetu cha kuaminika, zinasema kuwa harusi ya Shamsa ilikuwa ifanyike kati ya Desemba 24 na 25, mwaka huu lakini aligoma kwa vile walikwenda kinyume na makubaliano ya tarehe husika. “Unajua mwanzoni...

 

10 years ago

GPL

SHAMSA FORD NAYE AMSALITI NAY

Brighton masalu
USALITI? Huenda maumivu ya mapenzi yakazidi kumuandama msanii wa muziki Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ baada ya gazeti hili kunasa picha za mchumba’ke Shamsa Ford akiwa katika mahaba mazito na msanii mwanaume mwingine aliyedaiwa kuwa ni mchepuko wake, Rammy Galis, Amani lilifuatilia hatua kwa hatua. Staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford akipozi kimahaba na Rammy Galis. Ishu hiyo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Shamsa Ford ajivunia mapokezi ya Chausiku

MWANADADA anayetamba katika filamu ya ‘Chausiku’, Shamsa Ford amewashukuru wapenzi wake kwa kuipokea vyema filamu hiyo na kwamba anauhakika kati ya kazi zote hiyo amecheza vizuri zaidi. Akizungumza jijini Dar...

 

10 years ago

GPL

SHAMSA FORD ATINGA GLOBAL TV ONLINE

Host wa kipindi cha kipindi cha Me & you with Love kupitia Global TV Online, Shorvieny Mohamed (kushoto) akifanya mahojiano na msanii wa filamu Bongo, Shamsa Ford (kulia). Shamsa Ford (kulia) akifafanua jambo. USIKOSE kutazama mahojiano haya siku ya…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani