Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Isabela: Mastaa wa Kike Bongo Wanaishi Kwa Kuuza Miili Yao, Jini Kabula na Davina nao waeleza!!

Akizungumza na GPL , msanii wa filamu na muziki Bongo, Isabela Mpanda ‘Bella’, alisema wasanii wengi wanaishi maisha ya thamani wakati kiuhalisia kazi yao haiwaingizii kipato kinachofanana na maisha ya thamani wanayoishi hivyo kuamua kujiuza.

“Filamu hazilipi, wengi tunajiuza. Bajeti yenyewe ya muvi ni ndogo, wasanii wengi wanataka kulipwa katika muvi moja, haiwezekani kumiliki vitu vya thamani ndiyo maana tunaamua kujiuza.
“Hakuna msanii anayeishi maisha ya kutegemea filamu, kwanza...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ISABELA: MASTAA WA KIKE BONGO WANAISHI KWA KUUZA MIILI YAO

IMEBAINIKA kuwa asilimia kubwa ya mastaa wa kike Bongo Muvi wanaishi kwa kuuza miili yao, Risasi Jumamosi linakupa mchapo kamili. Akizungumza na waandishi wetu, msanii wa filamu na muziki Bongo, Isabela Mpanda ‘Bella’, alisema wasanii wengi wanaishi maisha ya thamani wakati kiuhalisia kazi yao haiwaingizii kipato kinachofanana na maisha ya thamani wanayoishi hivyo kuamua kujiuza. Msanii wa filamu na muziki Bongo,...

 

11 years ago

GPL

JINI KABULA, ISABELA WAMALIZA BIFU

Stori: Gladness Mallya PEACE! Baada ya wasanii wawili waliokuwa wanaunda Kundi la Scorpion Girls, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ na Isabela Mpanda kuwa kwenye bifu kwa miezi kadhaa, hatimaye wamepatana. Wasanii wawili waliokuwa wanaunda Kundi la Scorpion Girls, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ na Isabela Mpanda wakiwa kwenye picha ya pamoja. chanzo makini ambacho ni rafiki wa karibu na wasanii hao kikizungumza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive: Mastaa Bongo wanaojiamini hadi ‘kujiachia’ miili yao hawa hapa!

nay 2Wasanii Ney wa Mitego (kushoto) na Diamond Platinumz (kulia

Na Andrew Chale wa Modewji Blog

Kwa muda mrefu sasa huenda nawe  umepata kushuhudia baadhi ya mastaa wa Bongo pamoja na watu maalufu wakiwa kwenye kurasa mbalimbaali za magazeti na majarida, mitandao ya kijamii na mabagno ya matangazoa wakiwa katika muonekano tofauti hasa katika kuonesha miili yao kiuhalisia.

Mastaa hao pia tunawashuhudia kwenye video zao iwe filamu, muziki na matangazo, wakionyesha sehemu za maumbilie yao kama...

 

10 years ago

Mtanzania

Jini Kabula: Asitafutwe mchawi anguko la filamu Bongo

jini+kabulaa789NA GEORGE KAYALA, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI wa filamu nchini, Mariam Jolwa ‘Jini Kabula’ amesema kuwa anguko la soko la filamu za Bongo asitafutwe mchawi, kwani wasanii wengi wanaigiza chini ya kiwango na ndiyo maana kazi zao hazifanyi vizuri, licha ya kutumia gharama kubwa kuziandaa.
Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Jini Kabula alisema kuwa ni filamu chache zinazofanya vizuri sokoni, ikiwemo ya Chozi la Wanjaa iliyochezwa na Aunt Ezekiel, Kulwa Kikumbi ‘Dude’ na wasanii wengine...

 

10 years ago

GPL

MAJUTO: MASTAA WA KIKE WAMENIGEUZA BABU YAO!

Nguli wa sinema za Komedi Bongo, Amri Athuman ‘Majuto’ akiwa na Kajala Masanja. Stori: Deogratius Mongela
NGULI wa sinema za Komedi Bongo, Amri Athuman ‘Majuto’ amefunguka kuwa, mastaa wengi wa kike wamemgeuza babu yao kwa kumfanyia vituko kila wanapokutana naye. Akitema mbili tatu na paparazi wetu baada ya kusambazwa kwa picha mtandaoni inayomuonesha akifanyiwa vituko  na staa mwenzake, Kajala...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WA KIKE BONGO MOVIES MTAIGIZA MAISHA YENU HADI LINI?

Mastaa wa Bongo Movies. Bila shaka mko poa na mnaendelea na harakati zenu za kila siku, najua mna mishemishe nyingi kweli japo najua nyingi ni za starehe zaidi.Binafsi mimi niko poa naendelea na majukumu yangu ya kila siku ikiwemo hili la kuwaandikia barua. Madhumuni ya barua hii ni kama inavyojieleza hapo juu katika kichwa chake cha habari. Ndugu zangu, nimekuwa nikifuatilia aina ya maisha mnayoishi kwa muda mrefu nimegundua...

 

10 years ago

GPL

JINI KABULA AMSHANGAA BUSHOKE!

Imelda Mtema MIRIAM Jolwa, maarufu kama Jini Kabula, ambaye ni staa kutoka Bongo Movie, amemshangaa aliyekuwa mpenzi wake, Ruta Bushoke kumkana kuwa hawajawahi kuwa wapenzi.Akistorisha na gazeti hili hivi karibuni, Kabula alisema maneno ya mkali huyo wa muziki wa Kizazi Kipya yanaashiria kama mtu anayechanganyikiwa, kwani asingeweza kujinadi kuwa ni mpenziwe kama haikuwa hivyo. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1TofnAr ...

 

10 years ago

GPL

JINI KABULA, BUSHOKE WAMWAGANA

Na Mayasa Mariwata/UWAZI
MSANII wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu, Ruta Maximilian Bushoke wamemwagana na hakuna cha ndoa tena. Msanii wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’. Akizungumza na Uwazi, Kabula alitoa ya rohoni na kusema kuwa wamefikia hatua hiyo baada ya kuona mwenzake haoneshi msimamo katika mkakati wao wa kuoana hivyo kwa sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani