Exclusive: Mastaa Bongo wanaojiamini hadi ‘kujiachia’ miili yao hawa hapa!
Wasanii Ney wa Mitego (kushoto) na Diamond Platinumz (kulia
Na Andrew Chale wa Modewji Blog
Kwa muda mrefu sasa huenda nawe umepata kushuhudia baadhi ya mastaa wa Bongo pamoja na watu maalufu wakiwa kwenye kurasa mbalimbaali za magazeti na majarida, mitandao ya kijamii na mabagno ya matangazoa wakiwa katika muonekano tofauti hasa katika kuonesha miili yao kiuhalisia.
Mastaa hao pia tunawashuhudia kwenye video zao iwe filamu, muziki na matangazo, wakionyesha sehemu za maumbilie yao kama...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLISABELA: MASTAA WA KIKE BONGO WANAISHI KWA KUUZA MIILI YAO
10 years ago
Bongo Movies08 Feb
Isabela: Mastaa wa Kike Bongo Wanaishi Kwa Kuuza Miili Yao, Jini Kabula na Davina nao waeleza!!
Akizungumza na GPL , msanii wa filamu na muziki Bongo, Isabela Mpanda ‘Bella’, alisema wasanii wengi wanaishi maisha ya thamani wakati kiuhalisia kazi yao haiwaingizii kipato kinachofanana na maisha ya thamani wanayoishi hivyo kuamua kujiuza.
“Filamu hazilipi, wengi tunajiuza. Bajeti yenyewe ya muvi ni ndogo, wasanii wengi wanataka kulipwa katika muvi moja, haiwezekani kumiliki vitu vya thamani ndiyo maana tunaamua kujiuza.
“Hakuna msanii anayeishi maisha ya kutegemea filamu, kwanza...
10 years ago
Bongo Movies16 Mar
Shamsa Ford: Hawa Ndio Mastaa Wangu wa Tano wa Kiume Hapa Bongo
“Kwa upande wangu mimi kuna wanaume wa 5 ambao huwa nasemaga ni mastaa kupitiliza, yaani naamanisha akipita mtaani ni shida na kila mtu lazima ajue msanii kapita.. (1)Mzee majuto (2)Mboto (3)Kingwendu(4)Joti(5)Jacob……Hawa watu kwanza wanaongoza sana kupendwa na watoto yaani wakipita mtaani ni shida.aisee Mungu awabariki....na wewe nitajie wako 5 unaona wakipita mtaani kwako inakuwaga ni hekaheka”-Shamsa aliandika mtandaoni.
Hebu na sisi tuwataje wetu.
10 years ago
GPLMASTAA HAWA WAMECHEZEA MIOYO YAO!
10 years ago
Bongo Movies17 Apr
Hawa Ndio Mastaa wa Bongo Movies Wanaoutamani Ubunge Mwaka Huu
Uchaguzi mkuu wa kupata Rais, Wabunge na Madiwani upo jirani. Utafanyika mwaka huu na tayari mpaka sasa watu wenye nia ya kuwania nafasi hizo wamesikika au kutajwa kujiweka mguu sawa kabla ya filimbi kupulizwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec).
Baadhi ya waigizaji wa filamu nao hawajalaza damu, wametangaza nia yao ya kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho, macho yao yakielekezwa kwenye Ubunge.
Dude, Tabora Mjini
Ni msanii wa maigizo anayegombea ubunge katika jimbo la Tabora Mjini. Dude...
10 years ago
Bongo Movies11 Apr
Hawa Ndio Mastaa 10 Wakiume wa Bongo Movies Ambao Shamsa Anawakubali
Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford ambae ni Binamu Wa Nay Wa Mitego amewataja hawa kua ndio wakali wake.
“Mambo vipi Tanzania? Leo ningependa kuwatajia wanaume 10 ambao huwa napenda sana uigizaji wao, haimanishi kwamba wao ndo the best kuliko wengine but napenda tu sanaa yao. (1) Single Mtambalike ‘Richie’ (2) Marehemu Adamu Kuambiana (3) Marehemu Kanumba (4) Muhogo Mchungu (5) Swebe (6)Tino (7) Gabo (8) Vincet Kigosi ‘Ray’ (9) Bishanga Bashaiga (10) Cloud112....nawakubali sanaaaaa...
9 years ago
VijimamboSHERIA YA MTANDAO, TCRA YAWAKAMATA HAWA, SOMA MAKOSA YAO HAPA
Maxmillian Rafael Msacky (wapili kushoto) na Patrick James Natala (wa tatu kulia) wakiwa mahakama ya kisutu jana Ijumaa.Watu wawili, Patrick Natala na Maxmillian Msacky wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 10 yakiwamo ya kughushi, kutengeneza tovuti feki na mifumo ya mtandao kwa kutumia majina ya Taasisi, viongozi na wanasiasa.Akiwasomea hati ya mashtaka jana Wakili wa Serikali, Theophil Mutakyawa akishirikiana na Wakili Mwandamizi Mkuu wa...
10 years ago
GPLMASTAA WA KIKE BONGO MOVIES MTAIGIZA MAISHA YENU HADI LINI?