MAJUTO: MASTAA WA KIKE WAMENIGEUZA BABU YAO!
![](http://api.ning.com:80/files/k3CULkKWsLZm*-C1VN*rtNtDpKmRo58c2Txx*-3czxo0Pjcp-bQ4NHwsQWy5iLeEkPus9Hh4OHNTJfWEo4YYtS8hsRHRmuur/Kajala2......png?width=650)
Nguli wa sinema za Komedi Bongo, Amri Athuman ‘Majuto’ akiwa na Kajala Masanja. Stori: Deogratius Mongela NGULI wa sinema za Komedi Bongo, Amri Athuman ‘Majuto’ amefunguka kuwa, mastaa wengi wa kike wamemgeuza babu yao kwa kumfanyia vituko kila wanapokutana naye. Akitema mbili tatu na paparazi wetu baada ya kusambazwa kwa picha mtandaoni inayomuonesha akifanyiwa vituko na staa mwenzake, Kajala...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ov90wJC7zCzpWuKmqSa0mujbzGcI6UOXd4nftcG1KPk3Qw9K0WDKUeTl-EbmyQxFCpCyuc6k66PSJcjztW-K2Ys6mWEIAqIb/majuto.jpg)
MZEE MAJUTO: MASTAA WA KIKE WANATAKA KUNIVUNJIA NDOA YANGU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xa7rDnAgaa4U3bVJPRu9bf*D50Hiji7Fkrry8vL5fw8VKcmb398oLggbr6SxM*1VG-uf3vLc8Y5PLGDv*e0UsqpvB6Q-Jt0e/22.jpg?width=650)
ISABELA: MASTAA WA KIKE BONGO WANAISHI KWA KUUZA MIILI YAO
10 years ago
Bongo Movies08 Feb
Isabela: Mastaa wa Kike Bongo Wanaishi Kwa Kuuza Miili Yao, Jini Kabula na Davina nao waeleza!!
Akizungumza na GPL , msanii wa filamu na muziki Bongo, Isabela Mpanda ‘Bella’, alisema wasanii wengi wanaishi maisha ya thamani wakati kiuhalisia kazi yao haiwaingizii kipato kinachofanana na maisha ya thamani wanayoishi hivyo kuamua kujiuza.
“Filamu hazilipi, wengi tunajiuza. Bajeti yenyewe ya muvi ni ndogo, wasanii wengi wanataka kulipwa katika muvi moja, haiwezekani kumiliki vitu vya thamani ndiyo maana tunaamua kujiuza.
“Hakuna msanii anayeishi maisha ya kutegemea filamu, kwanza...
10 years ago
Habarileo11 Feb
Babu alawiti mjukuu wa kike
POLISI wilayani Masasi mkoani Mtwara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Maili Sita kata ya Mtandi, Daudi Pilipili (44) kwa tuhuma za kumlawiti mjukuu wake wa kike mwenye umri wa 13.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*WZNj24es22uUMJXEHKzQXf9IoUuyxg2slZsnC*bPHNE88Mf8Ho8xtp4GfMtzL-oZOkGvsKWqOchvZ1NN6XTp*n/slim.jpg?width=650)
SLIM:MASTAA WA KIKE WANAJITONGOZESHA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OyuZptVegvz6vy8yvQTp4EoFle9qmA64uxoDRvtoLKWTGXUs27EKzxcjyYVZjErYrv4r---aiLN808zX0B4y-RRzsb-U3qYn/MASTAANYETI.jpg)
MASTAA WA KIKE WAFUNGUKIA NYETI BANDIA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jK7-NTyuxfATsd7LirusavNUQhIp9rauZfsjGBI4MqQ5h1q0w-FokR0TN27oMxIddFzOm1SFKGmyx-PEpcM0XxJ0fXtv4IKE/Mastaa.jpg)
SABABU 10 ZA MASTAA WA KIKE KUTODUMU KWENYE NDOA!
10 years ago
Bongo Movies14 Jan
Mastaa wa Kike: Watoto Kwanza, Ndoa Siyo Ishu
WAKATI mastaa kadhaa wa kike wa filamu Tanzania wakionekana umri wao kuwatupa mkono, lakini wakiwa hawana ndoa wala watoto, baadhi yao wamefunguka kuwa wanahitaji zaidi kupata uzao kuliko kuishi maisha ya kuolewa.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam, walisema suala la ndoa ni majaaliwa na si jambo unaloweza kupanga, kwa vile mwenye uwezo wa kufanya hayo yote ni Mungu, kama ilivyo katika kuamua kuzaa au la.
Coletha Raymond ‘Koletha’, alisema katika maisha ya Kitanzania,...