SHAMSA AWANANGA MASTAA WANAOJIONA
![](http://api.ning.com:80/files/wfufAsrgkK*K8JdJsu8eY-V*LUKG2-gAvap3OfKhOJiAziIS1sHB-mdsfv3ZGKElcOAaDWNtbz937NHecfestiLmTo3QG3x8/shamsa.jpg?width=650)
Stori: Mayasa Mariwata MUUZA sura wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amesema wasanii wengi wenye majina makubwa wamekuwa wakiringia umaarufu wao na kuwadharau wengine jambo ambalo halina manufaa zaidi ya kuwashushia heshima. Msanii wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford. Akipiga stori na paparazi wetu, alisema kuna wasanii ambao ‘wametoka’ huwaonyesha dharau wenzao kwa kujivunia kujulikana kwao mbele ya jamii.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vM7iDEJ0TmnooAEZf8YA04kwi6uQy*-hB9xkCTeH1-K3YLi8TcSSqevrLEyg1OpsKG-M5zeau0*c2AHbtjZezNK1lNCOQrH4/ESHE.jpg)
ESHE AWANANGA MASTAA BONGO MOVIE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a8ZZitQ2zfW14qkaTHrWMpuvsONAKUYsRGzBhV47MlcQJPL7kXgirfpWeZspl6cNSiWZjY809Dg2Ci6hmvhc-rrMg5Uu0S0Y/IMG_0006.jpg?width=650)
SHAMSA AWAASA MASTAA WANAOMFUATA LOWASSA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOaiMws9dIVGb9UF-jl*brprHDeTl7glzxdN-ZE2ZEUh8LXECvWVsM1pdOuEGVq79JLJ8mSnv8oFWWRnD9-5DWqA/shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA, DAVINA WAWASHANGAA MASTAA WANAOFICHA MIMBA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zYvUvcLXovDxfSjpA6jJGq*TZVc9hNH8TwORFVExW06-SEO36NC7HYkGHY2XXilk1LnZgmhHlVmWP*L8Zze3Jd9fXGREtkwu/IMG_0006.jpg?width=650)
SHAMSA: MASTAA TUSIWEKEANE MABIFU KISA, SIASA
9 years ago
Bongo524 Dec
Shamsa Ford: Sitaki tena kutoka kimapenzi na mastaa
![Shamsa Ford](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Shamsa-Ford-300x194.jpg)
Msanii wa filamu na mama wa mtoto mmoja, Shamsa Ford amesema amekoma kutoka kimapenzi na watu maarufu.
Muigizaji huyo ambaye miezi michache iliyopita alikiri kutoka kimapenzi na rapa Nay wa Mitego, ameiambia Bongo5 kuwa sasa hivi amepata mpenzi mpya ambaye atamweka wazi siku ya harusi yake.
“Mimi ni mwanamke mzuri nakosaje mwanaume? Nimetimia kila idara, nina mchumba ambaye tunapendana Mungu akijalia kiukweli natamani awe mume wangu,” amesema.
“Nimeshatangaza kabisa mastaa sitaki nimekoma,...
10 years ago
Bongo Movies11 Apr
Hawa Ndio Mastaa 10 Wakiume wa Bongo Movies Ambao Shamsa Anawakubali
Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford ambae ni Binamu Wa Nay Wa Mitego amewataja hawa kua ndio wakali wake.
“Mambo vipi Tanzania? Leo ningependa kuwatajia wanaume 10 ambao huwa napenda sana uigizaji wao, haimanishi kwamba wao ndo the best kuliko wengine but napenda tu sanaa yao. (1) Single Mtambalike ‘Richie’ (2) Marehemu Adamu Kuambiana (3) Marehemu Kanumba (4) Muhogo Mchungu (5) Swebe (6)Tino (7) Gabo (8) Vincet Kigosi ‘Ray’ (9) Bishanga Bashaiga (10) Cloud112....nawakubali sanaaaaa...
10 years ago
Bongo Movies16 Mar
Shamsa Ford: Hawa Ndio Mastaa Wangu wa Tano wa Kiume Hapa Bongo
“Kwa upande wangu mimi kuna wanaume wa 5 ambao huwa nasemaga ni mastaa kupitiliza, yaani naamanisha akipita mtaani ni shida na kila mtu lazima ajue msanii kapita.. (1)Mzee majuto (2)Mboto (3)Kingwendu(4)Joti(5)Jacob……Hawa watu kwanza wanaongoza sana kupendwa na watoto yaani wakipita mtaani ni shida.aisee Mungu awabariki....na wewe nitajie wako 5 unaona wakipita mtaani kwako inakuwaga ni hekaheka”-Shamsa aliandika mtandaoni.
Hebu na sisi tuwataje wetu.
10 years ago
Bongo Movies10 Apr
Penzi la Nay na Shamsa la Sababisha Vilio kwa Siwema na Mume wa Shamsa
Penzi la staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford na Staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe.
Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa, Mara baada ya wawili hao kutangazwa rasmi kuwa sasa ni mahaba niue huku picha za ushahidi zikimwagwa, aliyekuwa mwandani wa Nay, Siwema a.k.a Wemalicious na aliyekuwa mume wa Shamsa, Dickson ‘Dick’ wanadaiwa kujikuta kwenye hali mbaya kiasi cha kumwaga...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dMNnaPiQ3VhvVq8FWRvQvkm8yteaMqCsQcVPGBaznIAly7u77pSRlQUnCxyQg7lOCQRkiwgo9xFRUEPDvCBoJ8X5xqp3zTgP/FRONTIJUMAA.gif?width=650)
PENZI LA NAY, SHAMSA SIWEMA, MUME WA SHAMSA VILIO